Hofu, Malalamiko ya Makonda Mitandaoni yanafikirisha

Kwa ufupi ni dhaifu ye kama anaona mambo sio ajitoe tu muhanga(afe) lkn akijaa kwne mfumo wa police atajuta kuzaliwa mbona
 
Hata uwe mashuhuri kiais gani inategemea muda huo mwenye mamlaka ni nani!
Ushawahi kuskia kumkimbiza mwizi kimya kimya kelele akapiga mwenyewe?

Hahahaa hii noma sana uyu jamaa atakuja kulia zaidi y alivolia pale kanisani wanamsomea gepu lake tu akijaa tu imeisha iyo watalamu wanasema ngoma droo
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia mtandao wa Instagram amechapisha akilalamika kuwa kuna makundi 5 ya watu wanaopanga kumuangamiza.

Makonda amesema makundi hayo yanataka kuhakikisha anapata kesi ya uhujumu uchumi au auwawe kabisa kwa manufaa yao binafsi.

"Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida a familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi" Makonda ameandika.

Aidha makonda amebainisha makundi hayo yanaundwa na wauza madawa ya kulevya, mashoga, mafisadi, wanufaika na madawa ya kulevya na kundi la mwisho ambalo hakuliweka wazi.
Ameandika kuwa licha ya kazi nzuri aliyoifanya wakati akiwa ofisini lakini bado kuna watu wanataka kumpoteza.

Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndivo malipo yake?, mtu aliejenga hospital , aliejenga ofisi za CCM, magari ya police ofisi za walimu, vituo vya polisi, shule za secondari na msingi, kutibu wagonjwa mpaka meli kuja Tanzania, kuhudumia makundi mbalimbali mpaka kuiunganisha serikali na viongozi wa dini leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa?" amehoji.

Sio mara ya kwanza Makonda kulalamika ingawaje hapo awali alisema kuwa kuna watu wana muhujumu kutaka kupora mali zake kwa maksudi.

Malalamiko haya ya Makonda yanaibua hisia na maswali mengi ambayo mtu anaweza kujiuliza ni nini kinamsibu Makonda?
Alipo sema kuwa wanataka kumnyang'anya mali ikaonekana ni jambo dogo lakini kufika kuhofia uhai wake ni jambo kubwa linalohitaji kujulikana.

Kama kweli kuna watu wanataka kumdhuru makonda ni akina nani hao na kwanini wasichukuliwe hatua?

Makonda anadai hayo makundi 5 ya watu wanootaka kumpoteza yanajulikana kwanini asipeleke malalamiko kwenye vyombo vya dora Mahakama na polisi kwa hatua za kisheria zaidi?

Tuseme kwamba Makonda haviamini vyombo vya dora hadi anakimbilia mitandaoni kulalamika ili apate huruma ya raia wa kawaida?

Hatuwezi kufikiria kuwa Makonda aliyetatua migogoro lukuki akiwa mkuu wa Mkoa hajui taratibu za kufuata ili kuripoti matukio kama haya?

Hapana kabisa bado kuna maswali mengi tunapaswa kujiuliza ili tupate kujua makonda ana hofu gani inayomtafuna na kumfanya alalamike kila kukicha.

Hatuwezi kujua ukubwa wa madaraka ya watu hao alio wataja katika makundi matano pengine ni wakubwa kimamlaka anohofia hawezi kupata haki, lakini mahakama na polisi ni vyombo huru anaogopa nini?

Bila shaka serikali ina miongozo yake katika kuwasaidia viongozi wake wastaafu kwanini Makonda hajatumia nafasi hiyo kulalamika?
Malalamiko ya Makonda Mitandaoni yanafikirisha na yanahitaji majibu.

Peter Mwaihola
View attachment 2184198
Eti huyu Paul Makonda ndiyo Pascal Mayalla alituandikia humu kuwa anafaa kumrithi Magufuli pindi akistaafu. Amekweli mipango ya Mungu siyo ya binadamu.

Huyu Makonda hata IQ yake inaonekana haizidi 52!
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia mtandao wa Instagram amechapisha akilalamika kuwa kuna makundi 5 ya watu wanaopanga kumuangamiza.

Makonda amesema makundi hayo yanataka kuhakikisha anapata kesi ya uhujumu uchumi au auwawe kabisa kwa manufaa yao binafsi.

"Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida a familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi" Makonda ameandika.

Aidha makonda amebainisha makundi hayo yanaundwa na wauza madawa ya kulevya, mashoga, mafisadi, wanufaika na madawa ya kulevya na kundi la mwisho ambalo hakuliweka wazi. Ameandika kuwa licha ya kazi nzuri aliyoifanya wakati akiwa ofisini lakini bado kuna watu wanataka kumpoteza.

Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndivo malipo yake?, mtu aliejenga hospital , aliejenga ofisi za CCM, magari ya police ofisi za walimu, vituo vya polisi, shule za secondari na msingi, kutibu wagonjwa mpaka meli kuja Tanzania, kuhudumia makundi mbalimbali mpaka kuiunganisha serikali na viongozi wa dini leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa?" amehoji.

Sio mara ya kwanza Makonda kulalamika ingawaje hapo awali alisema kuwa kuna watu wana muhujumu kutaka kupora mali zake kwa maksudi.

Malalamiko haya ya Makonda yanaibua hisia na maswali mengi ambayo mtu anaweza kujiuliza ni nini kinamsibu Makonda?
Alipo sema kuwa wanataka kumnyang'anya mali ikaonekana ni jambo dogo lakini kufika kuhofia uhai wake ni jambo kubwa linalohitaji kujulikana.

Kama kweli kuna watu wanataka kumdhuru makonda ni akina nani hao na kwanini wasichukuliwe hatua?

Makonda anadai hayo makundi 5 ya watu wanootaka kumpoteza yanajulikana kwanini asipeleke malalamiko kwenye vyombo vya dora Mahakama na polisi kwa hatua za kisheria zaidi?

Tuseme kwamba Makonda haviamini vyombo vya dora hadi anakimbilia mitandaoni kulalamika ili apate huruma ya raia wa kawaida?

Hatuwezi kufikiria kuwa Makonda aliyetatua migogoro lukuki akiwa mkuu wa Mkoa hajui taratibu za kufuata ili kuripoti matukio kama haya?

Hapana kabisa bado kuna maswali mengi tunapaswa kujiuliza ili tupate kujua makonda ana hofu gani inayomtafuna na kumfanya alalamike kila kukicha.

Hatuwezi kujua ukubwa wa madaraka ya watu hao alio wataja katika makundi matano pengine ni wakubwa kimamlaka anohofia hawezi kupata haki, lakini mahakama na polisi ni vyombo huru anaogopa nini?

Bila shaka serikali ina miongozo yake katika kuwasaidia viongozi wake wastaafu kwanini Makonda hajatumia nafasi hiyo kulalamika?
Malalamiko ya Makonda Mitandaoni yanafikirisha na yanahitaji majibu.

Peter Mwaihola

P
 
aliodeal nao gizani wanadeal naye gizani walipe gharama zao walizopoteza..

Watoto wa mjini, ukideal nao kitaa nao wanadeal na wewe kitaa....kipindi anadeal nao kitaa wenzie walitulia na wengine kulala mbele kwa kutumia usemi, "mwenye nguvu mpishe"..
 
HOFU
kuna ndoto mbaya za kujirudiarudia
Kuna damu zinamnukia
Kuna vivuli vinamfuata
Kuna marehemu wanamtokea
Kuna sauti zinamwambia mambo ya kutisha sana

Anakaribia kuwa kwenye denial state.. Ama kuwehuka.. Ushingae aanze hata kukikimbia kivuli chake mwenyewe.. Na wala si ajabu ukasikia kajinyonga...

Anaota yuko Segerea gerezani halafu anastuka na kuhema sana kumbe yuko kwake anajabu kulala tena
Mara kinapita kivuli dirishani anadhani ni wauaji wameshamfikia kumbe ni mbwa wake
Akijaribu kulala tena anaota yuko kizimbani anahukumiwa kunyongwa
Anaota anapigwa risasi, anaota anakufa.. Anaona sura za wale wore aliowadhulumu haki ya kuishi zikimlaki ama zikimkibiza na silaha mbalimbali

Amejifungia kwenye ma grill
Ana CCTV camera
Nyumba ina uzio mtefu wenye waya live za umeme
Getini kuna kampuni ya ulinzi na silaha za moto
Ana bastola na bunduki
Ana hirizi
Ana Bible nknk lakini bado hajiamini ana woga, ana hofu ana sononi[emoji848][emoji2827]
yote haya kajitakia ukibaraka unaenda kufa soon,, si alijifanya anawazoom watu na midarubini now anajizoom mwenyeww 😏😏😏😏😖😚😚😚
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia mtandao wa Instagram amechapisha akilalamika kuwa kuna makundi 5 ya watu wanaopanga kumuangamiza.

Makonda amesema makundi hayo yanataka kuhakikisha anapata kesi ya uhujumu uchumi au auwawe kabisa kwa manufaa yao binafsi.

"Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida a familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi" Makonda ameandika.

Aidha makonda amebainisha makundi hayo yanaundwa na wauza madawa ya kulevya, mashoga, mafisadi, wanufaika na madawa ya kulevya na kundi la mwisho ambalo hakuliweka wazi. Ameandika kuwa licha ya kazi nzuri aliyoifanya wakati akiwa ofisini lakini bado kuna watu wanataka kumpoteza.

Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndivo malipo yake?, mtu aliejenga hospital , aliejenga ofisi za CCM, magari ya police ofisi za walimu, vituo vya polisi, shule za secondari na msingi, kutibu wagonjwa mpaka meli kuja Tanzania, kuhudumia makundi mbalimbali mpaka kuiunganisha serikali na viongozi wa dini leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa?" amehoji.

Sio mara ya kwanza Makonda kulalamika ingawaje hapo awali alisema kuwa kuna watu wana muhujumu kutaka kupora mali zake kwa maksudi.

Malalamiko haya ya Makonda yanaibua hisia na maswali mengi ambayo mtu anaweza kujiuliza ni nini kinamsibu Makonda?
Alipo sema kuwa wanataka kumnyang'anya mali ikaonekana ni jambo dogo lakini kufika kuhofia uhai wake ni jambo kubwa linalohitaji kujulikana.

Kama kweli kuna watu wanataka kumdhuru makonda ni akina nani hao na kwanini wasichukuliwe hatua?

Makonda anadai hayo makundi 5 ya watu wanootaka kumpoteza yanajulikana kwanini asipeleke malalamiko kwenye vyombo vya dora Mahakama na polisi kwa hatua za kisheria zaidi?

Tuseme kwamba Makonda haviamini vyombo vya dora hadi anakimbilia mitandaoni kulalamika ili apate huruma ya raia wa kawaida?

Hatuwezi kufikiria kuwa Makonda aliyetatua migogoro lukuki akiwa mkuu wa Mkoa hajui taratibu za kufuata ili kuripoti matukio kama haya?

Hapana kabisa bado kuna maswali mengi tunapaswa kujiuliza ili tupate kujua makonda ana hofu gani inayomtafuna na kumfanya alalamike kila kukicha.

Hatuwezi kujua ukubwa wa madaraka ya watu hao alio wataja katika makundi matano pengine ni wakubwa kimamlaka anohofia hawezi kupata haki, lakini mahakama na polisi ni vyombo huru anaogopa nini?

Bila shaka serikali ina miongozo yake katika kuwasaidia viongozi wake wastaafu kwanini Makonda hajatumia nafasi hiyo kulalamika?
Malalamiko ya Makonda Mitandaoni yanafikirisha na yanahitaji majibu.

Peter Mwaihola

Mwisho wa kiburi chake ndio sasa anayo mengi ya kujifunza.
 
Marahaba nimeshasepa nipo Lebanon. Lakini nilikwambia kuwa nilifiwa na kaka yangu ninayemfuata wakati nipo uk na nilikuwa nina siku nnetu nimeondoka. Halafu March wakati nimkwenda kuhani msiba wa kaka nikafiwa na dada yangu wa baba mmoja. Yeye tumezaliwa mwaka mmoja ila ananizidi miezi mitatu. Dada alikuwa siyo mtu wa kufa ila nadhani kulikosewa kitu kwenye upasuaji wa pua. Kaka huyo hata yeye alijua mpaka alishanipa na wosia. Kafa bila kuwa na mke wala mtoto ila alikuwa na kimada.
 
HOFU
kuna ndoto mbaya za kujirudiarudia
Kuna damu zinamnukia
Kuna vivuli vinamfuata
Kuna marehemu wanamtokea
Kuna sauti zinamwambia mambo ya kutisha sana

Anakaribia kuwa kwenye denial state.. Ama kuwehuka.. Ushingae aanze hata kukikimbia kivuli chake mwenyewe.. Na wala si ajabu ukasikia kajinyonga...

Anaota yuko Segerea gerezani halafu anastuka na kuhema sana kumbe yuko kwake anajabu kulala tena
Mara kinapita kivuli dirishani anadhani ni wauaji wameshamfikia kumbe ni mbwa wake
Akijaribu kulala tena anaota yuko kizimbani anahukumiwa kunyongwa
Anaota anapigwa risasi, anaota anakufa.. Anaona sura za wale wore aliowadhulumu haki ya kuishi zikimlaki ama zikimkibiza na silaha mbalimbali

Amejifungia kwenye ma grill
Ana CCTV camera
Nyumba ina uzio mtefu wenye waya live za umeme
Getini kuna kampuni ya ulinzi na silaha za moto
Ana bastola na bunduki
Ana hirizi
Ana Bible nknk lakini bado hajiamini ana woga, ana hofu ana sononi[emoji848][emoji2827]
Katika watu wanaoishi kwa raha nchi hii basi ni mimi daah
 
🐒🐒🐒
16497540370460.jpg
 
Kwenye ....ana hirizi... nimecheka sana! Huyu jamaa kama ulivosema anaelekea denial state. Unakufa kabla hujafariki
 
Huyu jamaa ingekuwa ni mimi ningeondoka zangu mapemaaa sio kupambana na huu utawala maana sina wa kunitetea
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia mtandao wa Instagram amechapisha akilalamika kuwa kuna makundi 5 ya watu wanaopanga kumuangamiza.

Makonda amesema makundi hayo yanataka kuhakikisha anapata kesi ya uhujumu uchumi au auwawe kabisa kwa manufaa yao binafsi.

"Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida a familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi" Makonda ameandika.

Aidha makonda amebainisha makundi hayo yanaundwa na wauza madawa ya kulevya, mashoga, mafisadi, wanufaika na madawa ya kulevya na kundi la mwisho ambalo hakuliweka wazi. Ameandika kuwa licha ya kazi nzuri aliyoifanya wakati akiwa ofisini lakini bado kuna watu wanataka kumpoteza.

Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndivo malipo yake?, mtu aliejenga hospital , aliejenga ofisi za CCM, magari ya police ofisi za walimu, vituo vya polisi, shule za secondari na msingi, kutibu wagonjwa mpaka meli kuja Tanzania, kuhudumia makundi mbalimbali mpaka kuiunganisha serikali na viongozi wa dini leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa?" amehoji.

Sio mara ya kwanza Makonda kulalamika ingawaje hapo awali alisema kuwa kuna watu wana muhujumu kutaka kupora mali zake kwa maksudi.

Malalamiko haya ya Makonda yanaibua hisia na maswali mengi ambayo mtu anaweza kujiuliza ni nini kinamsibu Makonda?
Alipo sema kuwa wanataka kumnyang'anya mali ikaonekana ni jambo dogo lakini kufika kuhofia uhai wake ni jambo kubwa linalohitaji kujulikana.

Kama kweli kuna watu wanataka kumdhuru makonda ni akina nani hao na kwanini wasichukuliwe hatua?

Makonda anadai hayo makundi 5 ya watu wanootaka kumpoteza yanajulikana kwanini asipeleke malalamiko kwenye vyombo vya dora Mahakama na polisi kwa hatua za kisheria zaidi?

Tuseme kwamba Makonda haviamini vyombo vya dora hadi anakimbilia mitandaoni kulalamika ili apate huruma ya raia wa kawaida?

Hatuwezi kufikiria kuwa Makonda aliyetatua migogoro lukuki akiwa mkuu wa Mkoa hajui taratibu za kufuata ili kuripoti matukio kama haya?

Hapana kabisa bado kuna maswali mengi tunapaswa kujiuliza ili tupate kujua makonda ana hofu gani inayomtafuna na kumfanya alalamike kila kukicha.

Hatuwezi kujua ukubwa wa madaraka ya watu hao alio wataja katika makundi matano pengine ni wakubwa kimamlaka anohofia hawezi kupata haki, lakini mahakama na polisi ni vyombo huru anaogopa nini?

Bila shaka serikali ina miongozo yake katika kuwasaidia viongozi wake wastaafu kwanini Makonda hajatumia nafasi hiyo kulalamika?
Malalamiko ya Makonda Mitandaoni yanafikirisha na yanahitaji majibu.

Peter Mwaihola

Sasa ndio wakati wake kuyapangua
 
Back
Top Bottom