Makonda: Nitawaleta Floyd Mayweather na Mike Tyson

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,744
Reaction score
5,101
Hizo fedha za kuwaleta Floyd na Tyson kwanini zisielekezwe kwenye miradi ambayo bado haijakamilika kuna vijiji shule hazina madawati, hospital ziko mbali, barabara mbovu kupita kiasi

Afrika ni bara linaloongoza kwa ulimbukeni duniani voongozi wengi wanatumia fedha nyingi kuleta watu maarufu ni matumizi mabaya ya fedha za umma.

======

Pia soma:
 
Hivi mkimsema sana ndiyo anawaleta kweli.Mtu mjinga ukimuelekeza njia njema lazima azidi kukengeuka ili akuudhi naye ajifurahishe.
 
Yaaaniii hizi takataka ndo zinatufanya tutekwe tukitoa maoni yetu.

Sasa hapo kwa akili zangu timamu ntamwambia nini zaidi ya kumtukana.

Hawa ndio viongozi waliobeba Vision ya nchi kwa mtizamo huu tutafika kwenye maendeleo tunayoyataraji kweli!!!!?

BASHITE unaliwa wewe!!!
 
Hizo fedha za kuwaleta Floyd na Tyson kwanini zisielekezwe kwenye miradi ambayo bado haijakamilika kuna vijiji shule hazina madawati, hospital ziko mbali, barabara mbovu kupita kiasi

Afrika ni bara linaloongoza kwa ulimbukeni duniani voongozi wengi wanatumia fedha nyingi kuleta watu maarufu ni matumizi mabaya ya fedha za umma.

======

Pia soma:
Anawaleta ma legend kutalii au ni mpambano? Mambo ya kijinga tena ya kuwadharirisha Watanzania tuonekane sote capacity yetu ya kufikiri ni ndogo.
Haya ndiyo matatizo ya elimu mtambuka/ya hapa na pale.
 
Tupo serious kweli.
Takataka kama hii ilitakiwa kuwa katibiu kata huko Ntimbila.
 
Hizo fedha za kuwaleta Floyd na Tyson kwanini zisielekezwe kwenye miradi ambayo bado haijakamilika kuna vijiji shule hazina madawati, hospital ziko mbali, barabara mbovu kupita kiasi

Afrika ni bara linaloongoza kwa ulimbukeni duniani voongozi wengi wanatumia fedha nyingi kuleta watu maarufu ni matumizi mabaya ya fedha za umma.

======

Pia soma:
.
 
Back
Top Bottom