Hofu, Malalamiko ya Makonda Mitandaoni yanafikirisha

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia mtandao wa Instagram amechapisha akilalamika kuwa kuna makundi 5 ya watu wanaopanga kumuangamiza.
Makonda amesema makundi hayo yanataka kuhakikisha anapata kesi ya uhujumu uchumi au auwawe kabisa kwa manufaa yao binafsi.
"Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida a familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi" Makonda ameandika.
Aidha makonda amebainisha makundi hayo yanaundwa na wauza madawa ya kulevya, mashoga, mafisadi, wanufaika na madawa ya kulevya na kundi la mwisho ambalo hakuliweka wazi.
Ameandika kuwa licha ya kazi nzuri aliyoifanya wakati akiwa ofisini lakini bado kuna watu wanataka kumpoteza.
Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndivo malipo yake?, mtu aliejenga hospital , aliejenga ofisi za CCM, magari ya police ofisi za walimu, vituo vya polisi, shule za secondari na
msingi, kutibu wagonjwa mpaka meli kuja Tanzania, kuhudumia makundi mbalimbali mpaka kuiunganisha serikali na viongozi wa
dini leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa?" amehoji.
Sio mara ya kwanza Makonda kulalamika ingawaje hapo awali alisema kuwa kuna watu wana muhujumu kutaka kupora mali zake kwa maksudi.
Malalamiko haya ya Makonda yanaibua hisia na maswali mengi ambayo mtu anaweza kujiuliza ni nini kinamsibu Makonda?
Alipo sema kuwa wanataka kumnyang'anya mali ikaonekana ni jambo dogo lakini kufika kuhofia uhai wake ni jambo kubwa linalohitaji kujulikana.
Kama kweli kuna watu wanataka kumdhuru makonda ni akina nani hao na kwanini wasichukuliwe hatua?
Makonda anadai hayo makundi 5 ya watu wanootaka kumpoteza yanajulikana kwanini asipeleke malalamiko kwenye vyombo vya dora Mahakama na polisi kwa hatua za kisheria zaidi?
Tuseme kwamba Makonda haviamini vyombo vya dora hadi anakimbilia mitandaoni kulalamika ili apate huruma ya raia wa kawaida?
Hatuwezi kufikiria kuwa Makonda aliyetatua migogoro lukuki akiwa mkuu wa Mkoa hajui taratibu za kufuata ili kuripoti matukio kama haya?
Hapana kabisa bado kuna maswali mengi tunapaswa kujiuliza ili tupate kujua makonda ana hofu gani inayomtafuna na kumfanya alalamike kila kukicha.
Hatuwezi kujua ukubwa wa madaraka ya watu hao alio wataja katika makundi matano pengine ni wakubwa kimamlaka anohofia hawezi kupata haki, lakini mahakama na polisi ni vyombo huru anaogopa nini?
Bila shaka serikali ina miongozo yake katika kuwasaidia viongozi wake wastaafu kwanini Makonda hajatumia nafasi hiyo kulalamika?
Malalamiko ya Makonda Mitandaoni yanafikirisha na yanahitaji majibu.

Peter Mwaihola
View attachment 2184198
Kwani akiuliwa kuna tatizo gani au nchi itapata hasara gani?
 
kama bashite ana haki, Mungu amtetee. kama hana haki, Mungu amrehemu. ila kama alimwaga damu za watu kama kina Ben saanane au Tundu Lisu, namhakikishia hakuna damu ya mtu iliwahi kwenda bure, huwa inalia, watoto wake wanapopata shida vilio vyao huwa vinafika kwa Muumbaji wetu, na sauti ya damu ikilia Mungu huwa anashuka haraka kushughulikia mhalifu. watu wanajidanganya kwamba bashite ni mtu wa kina kirefu hakuna anayemweza, NAKUHAKIKISHIA KWAMBA, Mungu akishuka kumwadhibu, huyo ni nyangarika takataka fulani tu, anapotezwa kama mabua. aache kiburi, amrudie Mungu la sivyo, ,hukumu ipo mlangoni pake, itamtafuna hadi apotee kabisa kwa aibu zote sawasawa na yale aliyowatendea wengine. Mungu hadhihakiwi, na wote wanaotegemea uchawi na uganga hawajawahi kudumu. wamtegemeao Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo pekee ndio ni kama Mlima Sayuni, hawatatikisika milele, wakaa milele yote.

kwa hiyo yeye anaamini anaweza kushinda vita vyake kwasababu yeye ni kina kirefu? cha nini? cha uchawi na uganga? au cha nini? anategemea kina kirefu kliko Mungu? lazima ataanguka nakuhakikishia. markk my words.
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia mtandao wa Instagram amechapisha akilalamika kuwa kuna makundi 5 ya watu wanaopanga kumuangamiza.
Makonda amesema makundi hayo yanataka kuhakikisha anapata kesi ya uhujumu uchumi au auwawe kabisa kwa manufaa yao binafsi.
"Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida a familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi" Makonda ameandika.
Aidha makonda amebainisha makundi hayo yanaundwa na wauza madawa ya kulevya, mashoga, mafisadi, wanufaika na madawa ya kulevya na kundi la mwisho ambalo hakuliweka wazi.
Ameandika kuwa licha ya kazi nzuri aliyoifanya wakati akiwa ofisini lakini bado kuna watu wanataka kumpoteza.
Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndivo malipo yake?, mtu aliejenga hospital , aliejenga ofisi za CCM, magari ya police ofisi za walimu, vituo vya polisi, shule za secondari na
msingi, kutibu wagonjwa mpaka meli kuja Tanzania, kuhudumia makundi mbalimbali mpaka kuiunganisha serikali na viongozi wa
dini leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa?" amehoji.
Sio mara ya kwanza Makonda kulalamika ingawaje hapo awali alisema kuwa kuna watu wana muhujumu kutaka kupora mali zake kwa maksudi.
Malalamiko haya ya Makonda yanaibua hisia na maswali mengi ambayo mtu anaweza kujiuliza ni nini kinamsibu Makonda?
Alipo sema kuwa wanataka kumnyang'anya mali ikaonekana ni jambo dogo lakini kufika kuhofia uhai wake ni jambo kubwa linalohitaji kujulikana.
Kama kweli kuna watu wanataka kumdhuru makonda ni akina nani hao na kwanini wasichukuliwe hatua?
Makonda anadai hayo makundi 5 ya watu wanootaka kumpoteza yanajulikana kwanini asipeleke malalamiko kwenye vyombo vya dora Mahakama na polisi kwa hatua za kisheria zaidi?
Tuseme kwamba Makonda haviamini vyombo vya dora hadi anakimbilia mitandaoni kulalamika ili apate huruma ya raia wa kawaida?
Hatuwezi kufikiria kuwa Makonda aliyetatua migogoro lukuki akiwa mkuu wa Mkoa hajui taratibu za kufuata ili kuripoti matukio kama haya?
Hapana kabisa bado kuna maswali mengi tunapaswa kujiuliza ili tupate kujua makonda ana hofu gani inayomtafuna na kumfanya alalamike kila kukicha.
Hatuwezi kujua ukubwa wa madaraka ya watu hao alio wataja katika makundi matano pengine ni wakubwa kimamlaka anohofia hawezi kupata haki, lakini mahakama na polisi ni vyombo huru anaogopa nini?
Bila shaka serikali ina miongozo yake katika kuwasaidia viongozi wake wastaafu kwanini Makonda hajatumia nafasi hiyo kulalamika?
Malalamiko ya Makonda Mitandaoni yanafikirisha na yanahitaji majibu.

Peter Mwaihola
View attachment 2184198
Dhamira inamsuta. Ni wazi mirija imebanwa na inaendelea kubanwa na kukatwa mmoja mmoja. Utamsikia akilalamika sana tu.

Wakati watu walikuwa wakilalamika "vyuma vimekaza" Yeye alikuwa akitamba na magari anayopora na kuhongwa na matajiri kwa kumhofia asiwabambikie hizohizo kesi anazoziogopa yeye leo.

Niliwahi kufunguwa uzi humu nikiwatahadharisha wakuu wa mikoa. Hawakunielewa.
 
Angekuwa haogopi angepambana kimya kimya au angewaface hao anaowasema moja kwa moja bwashee.
Kifo kisikie tu hata mnyongaji anaogopa kunyongwa bwashee.
Makonda ni mwanasiasa mashuhuri unakubali?
 
"Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida a familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi" Makonda ameandika.
Ajitafakari ameua wangapi au kuhusika kwenye vifo vingapi? Imeandikwa, auae kwa upanga atakufa kwa upanga, wengi waliookotwa kwenye viroba walikuwa ufukwe wa bahari ya hindi ambako yeye alikuwa mtawala wake, je alichukua hatua gani? Je ina maana hao hawakuwa na hisia kama yeye ya kupenda kuishi ?
 
Hapa duniani hamna mjanja watu wakitaka kukuua wanakuua tu,watu wenye usalama wa kutosha kina Abraham Linkon,Stallin kina Magufuli wamepotea Makonda ni nani...We human are weakest among animals in this mother earth
 
Ulishauriwa sana Konda boy ,ukashupaza shingo acha ivunjike tu hakuna namna.
 
Makonda aka Bashite anajihami tu kuhusu madhambi aliyowafanyia watu enzi ya Magufuli. Kama kweli anahisi kuna watu wanamuwinda na anawafahamu hana sababu ya kulalamika kwenye mitandao; jambo analotakiwa kufanya ni yeye kwenda kutoa taarifa kwa polisi ambao anawajua kwani alikuwa afande wao na wao watafanya kazi yao. Makonda kuja kulia lia mitandaoni ni ishara kuwa mabaya yake yamegundulika na sasa anatafuta huruma kutoka kwa wananchi.
Makonda hiyo janja janja yako ya Nyani imegundulika wala haitakusaidi, tulia ucheze mchiriku!!
Makonda aliwatendea maovu wengine, kumbe yeye ni muoga sana.
Atakufa kama kunguru.
Kunguru akiona unainama , anaruka na kupaa mbali, anafikiri unaokota jiwe kumrushia.
Makonda huyo, anaona watu wanainama , anafikiri wanataka kumrusia jiwe Kulipizia maovu yake.
Mabaya aliyotenda ya amuwinda.
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia mtandao wa Instagram amechapisha akilalamika kuwa kuna makundi 5 ya watu wanaopanga kumuangamiza.
Makonda amesema makundi hayo yanataka kuhakikisha anapata kesi ya uhujumu uchumi au auwawe kabisa kwa manufaa yao binafsi.
"Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida a familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi" Makonda ameandika.
Aidha makonda amebainisha makundi hayo yanaundwa na wauza madawa ya kulevya, mashoga, mafisadi, wanufaika na madawa ya kulevya na kundi la mwisho ambalo hakuliweka wazi.
Ameandika kuwa licha ya kazi nzuri aliyoifanya wakati akiwa ofisini lakini bado kuna watu wanataka kumpoteza.
Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndivo malipo yake?, mtu aliejenga hospital , aliejenga ofisi za CCM, magari ya police ofisi za walimu, vituo vya polisi, shule za secondari na
msingi, kutibu wagonjwa mpaka meli kuja Tanzania, kuhudumia makundi mbalimbali mpaka kuiunganisha serikali na viongozi wa
dini leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa?" amehoji.
Sio mara ya kwanza Makonda kulalamika ingawaje hapo awali alisema kuwa kuna watu wana muhujumu kutaka kupora mali zake kwa maksudi.
Malalamiko haya ya Makonda yanaibua hisia na maswali mengi ambayo mtu anaweza kujiuliza ni nini kinamsibu Makonda?
Alipo sema kuwa wanataka kumnyang'anya mali ikaonekana ni jambo dogo lakini kufika kuhofia uhai wake ni jambo kubwa linalohitaji kujulikana.
Kama kweli kuna watu wanataka kumdhuru makonda ni akina nani hao na kwanini wasichukuliwe hatua?
Makonda anadai hayo makundi 5 ya watu wanootaka kumpoteza yanajulikana kwanini asipeleke malalamiko kwenye vyombo vya dora Mahakama na polisi kwa hatua za kisheria zaidi?
Tuseme kwamba Makonda haviamini vyombo vya dora hadi anakimbilia mitandaoni kulalamika ili apate huruma ya raia wa kawaida?
Hatuwezi kufikiria kuwa Makonda aliyetatua migogoro lukuki akiwa mkuu wa Mkoa hajui taratibu za kufuata ili kuripoti matukio kama haya?
Hapana kabisa bado kuna maswali mengi tunapaswa kujiuliza ili tupate kujua makonda ana hofu gani inayomtafuna na kumfanya alalamike kila kukicha.
Hatuwezi kujua ukubwa wa madaraka ya watu hao alio wataja katika makundi matano pengine ni wakubwa kimamlaka anohofia hawezi kupata haki, lakini mahakama na polisi ni vyombo huru anaogopa nini?
Bila shaka serikali ina miongozo yake katika kuwasaidia viongozi wake wastaafu kwanini Makonda hajatumia nafasi hiyo kulalamika?
Malalamiko ya Makonda Mitandaoni yanafikirisha na yanahitaji majibu.

Peter Mwaihola
View attachment 2184198
Mtoto pendwa.
" HAKUNA MTU ANAYEKULA RAHA DUNIANI KAMA MIMI"

SASA unahofia nini wakati uko juu saana. Si umfuate aliko aliyekuweka kupata kula raha.!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Nakuaminia mdogo wangu. Kama fasihi umepitiliza na kama Saikologia basi wakupe phd ila siyo ya wale wenzetu. Hongera kwa hili na akisoma arudie tena Bashite akumbuke mateso ya Roma mkatoliki na wenzake na wengine wengi akina Mo wakiwemo. Damu ya mtu siyo maji.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] Shikamoo dada
 
Back
Top Bottom