Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,825
Sijamuona kabisaa, Sasa Sijui anataka azikwe nacho??.🤔🤔🤔🤔🤔Au usiku walikutorosha wewe?ulikutana na mjumbe wa mtaa wa Kula tunda kimasihara bwana Carlos The Jackal ,,maana Kama mgeni umetembelea ule mtaa lazima awe na taarifa zako?
Mgeni kasema ameupenda Sana mtaa wako,na kaahidi kurudi huko Tena,hivyo nikamshauri awasiliane na mjumbe wa mtaa wa kimasihara,Sasa kwa vile mjumbe umetokea utamsajili huko mgeniSijamuona kabisaa, Sasa Sijui anataka azikwe nacho??.
Mletee mleteee
Ewaaaaaa kumbe ameupenda mtaa wetu? Ngoja nimtafute nimkaribishe Kwa bashashaa maana hivi vitu Huwa sio kunyimana banaaMgeni kasema ameupenda Sana mtaa wako,na kaahidi kurudi huko Tena,hivyo nikamshauri awasiliane na mjumbe wa mtaa wa kimasihara,Sasa kwa vile mjumbe umetokea utamsajili huko mgeni
hahah.Zipo nyingi na mojawapo ni wa
KULA TUNDA KIMASIHARA.
Imenifungua macho na kujifunza namna wanaume wanawachukulia wanawake.
Kila mwanamkeanapaswa asome ule uzi.
Ni mzuri.
Ni darasa kwetu.
Hapo Sasa itifaki itazingatiwa Kati ya mjumbe na mgeni,😁😁Ewaaaaaa kumbe ameupenda mtaa wetu? Ngoja nimtafute nimkaribishe Kwa bashashaa maana hivi vitu Huwa sio kunyimana banaa
😉😉 Umeona eeh ukiwa Mjumbe wamtaa Mara Moja Moja unapewa Cha kuonjeshwa tu ambacho hakikupunguzi kitu hahahah!!Hapo Sasa itifaki itazingatiwa Kati ya mjumbe na mgeni,😁😁
🤣🤣🤣🤣 Mjumbe Umeanza mipango yako kimasihara kabisaa😉😉 Umeona eeh ukiwa Mjumbe wamtaa Mara Moja Moja unapewa Cha kuonjeshwa tu ambacho hakikupunguzi kitu hahahah!!
Mapema sana siunajua hapana chochote chenye utamu Kushinda hapo 🤩🤩🤣🤣🤣🤣 Mjumbe Umeanza mipango yako kimasihara kabisaa
Mie amenikosha hapo tu venye anajua huyu ni dada huyu ni kaka!😊!Karibu, nimekupenda umeingia yente yente !
🤣🤣🤣Yaani mgeni Kama mwenyeji ujue!asije akawa anatuchora mgeni🤣🤣🤣🤣Mie amenikosha hapo tu venye anajua huyu ni dada huyu ni kaka!😊!
Akaribie sana
🤣🤣🤣🤣Me sikuwezi wewe kijana una Mambo mengi mi nawezana na wazeeMapema sana siunajua hapana chochote chenye utamu Kushinda hapo 🤩🤩
Wewe tuu na Roho yako mbaya, ukaamua kunipiga Cha mbavu
Kila siku nakuambia, achana na Wazee, Wazee ndio wanawapa Hela ila shooo hawana.🤣🤣🤣🤣Me sikuwezi wewe kijana una Mambo mengi mi nawezana na wazee
Mi Nakupenda,,kuwa na mdogo mjanja Ni deal!hamna wa kukutengaNajihisi kubaguliwa na hii familia ujue!