Old Granny
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 392
- 557
- Thread starter
- #61
Rangi gan iyo..kijan blue au njano..Umeshaanza kuonyesha rangi yako!
Watoto wa cku iz Mna mambo..sasa izo rangi znatokea WAP hapa
Rangi gan iyo..kijan blue au njano..Umeshaanza kuonyesha rangi yako!
Niekee doti moja please ukishadesign na uo msemo..asante piaKaribu bibi kijana na asante kwa huu msemo. Mimi mfanyabiashara za Khanga nitatumia kuweka hili neno. Ng'ombe hazeeki maini, nayaweza yote.
Aaaah cna mupya mieeeSawa usijali.
Lete stori
Op ndo nn tna iyo...kwa iyo nshaimbuka MTU mzima au?Op inakuumbua kuwa sio wa leo wala jana
Hata za zamani ni sawa tuAaaah cna mupya mieee
Utaziweza weye?Hata za zamani ni sawa tu
Zilete kwanza ndio utapata jibu la swali lakoUtaziweza weye?
Unataka kurusha roho kwa mke mwenza. hahahaNiekee doti moja please ukishadesign na uo msemo..asante pia
Ngoja nkazitafute kwanza basiijZilete kwanza ndio utapata jibu la swali lako
[emoji23] [emoji23] umejuaje tenaUnataka kurusha roho kwa mke mwenza. hahaha
SawaNgoja nkazitafute kwanza basiij
Hahaha swali chokonoziID yako ya zamani ni ipi?
KhaaaaNg'ombe hazeeki maini ila anapwelepweta kinena.
Karibu JF.
Mwaga mboga nimwage ugaliHahaha swali chokonozi
Shekhe yule yule kasoro kanzuMwaga mboga nimwage ugali
Waumini hawawezi kuipoteza sura yakeShekhe yule yule kasoro kanzu
Wanajua mpaka mapambio yake hahaha waumini ni nuksiWaumini hawawezi kuipoteza sura yake
Upele unakunywa na gunzi bwahahhahahaWanajua mpaka mapambio yake hahaha waumini ni nuksi
Kumbe wanijua sura yngu,mjukuu? Nafurahi jamaniiWaumini hawawezi kuipoteza sura yake