Hodiii wana JF

Hodiii wana JF

Habari wana jf!
Siku izi zama zimebadilika sana, hadi kina bibi tunajua na bdo tunaendelea kujifunza ktumia mitandao..
Mim n bibi wa mwendokasi,
Naomba mnipokee kwa mikono mi2.

Povu ruksa,nataka nikafulie [emoji23] [emoji23] .

Ujumbe..Ng'ombe hazeeki maini, nayawexa yote.
Karibu bibi kijana na asante kwa huu msemo. Mimi mfanyabiashara za Khanga nitatumia kuweka hili neno. Ng'ombe hazeeki maini, nayaweza yote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom