Hodi wana CHADEMA

Hodi wana CHADEMA

kuna mbegu zilianguka kwenye mchanga, nyingine kwenye miba, nyingine kwenye miamba na nyingine kwenye udongo mzuri. wasiwasi wangu ni namna ulishawishika kuipenda chadema naona ni kama mbegu iliyoanguka kwenye miba ambayo nayo itaanza kumea na kuota lakini...

usijali pamoja na kutojua mambo ya siasa kiundan ila ni mathematics mzuri sana.nikikuambia nimechuja na nafsi yangu kufikia hayo maamuzi trust me kwa machache ninayoyajua kuhusu chadema yamenifanya niwe strong kwao.ccm wanakwaza watu kila kukucha chadema,chadema ndipo tusio na chama mimi na wenzangu tukaanza kujiukiza why chadema????ndipo tukapata jibu na kuona hapo ccm wanaposhindana napo kila cku ndipo penye ukomboz.
 
Utaipotosha familia...

kivipi ndugu yangu?ukoo wangu miaka nenda rudi kura zao ccm nn wamefanya kwa maisha ya mtanzania utaniambia barabara zina rami bibi yangu kijijin anaijua hiyo rami?watoto wetu wamerundika serikali za kata jaman hivi kweli kuna kuelimika huko au bora tu mtoto kavaa sare za shule?leo hii badala ya kufikir watanzania waliowaweka madarakan wawafanyie walioahidi kila cku chadema.jamani nn maana ya msemo wa kizuri chajiuza?gharama za kuiponda chadema wangetumia kutekeleza ahadi kwa wananchi nani angewapa pressure????naumia sana
 
kwanza kabisa ni binti ambaye nlikuwa sifuatilii mambo ya siasa.mwaka 2010 kidogo kupaa kwa cCHADEMA hakukunifanya niipende CHADEMA ila nilipenda tu slaa awe raisi wa nchi yangu.hivyo kwa mara ya kwanza nikapanga foleni kupiga kura.

Sikupiga kura sababu ya kuipenda CHADEMA bali sababu nilipenda slaa awe raisi.na baada ya slaa kutoingia ikulu nikarudi kuwa raia wa kawaida asiyejua taifa lake linakwenda wapi

.Ndipo katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na jamii forum na nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazohusu siasa pia na kuona mengi yanayoihusu CHADEMA na CCM. kwa kweli leo nimeamua kuwa mguu sawa CHADEMA kwan nimeona kwa ccm kutumia muda mwingi kuichafua CHADEMA chama ambacho hakipo madarakan na wao kuacha kutupa tathmin ya nn wametufanyia hadi leo hii zaidi ya maisha bora waliyotuahidi kuwa bora maisha nimewaza nimeona CCM inacheza na akili za watanzania.....kama mwanamke ninayejitambua sasa nimeona niweke miguu yote CHADEMA mimi na familia yangu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA.

Kamanda sis majo umechagua fungu lililo jema...Karibu CDM
 
Last edited by a moderator:
Aii!! yaani JF pekee ndiyo imekufanya uipende chadema???? usiwe laini kihivyo. Nenda kasome katiba za vyama vyote, katiba ya nchi, bible, koran pitia mitandao mbali mbali ya kijamii kisha wasikilize wengine mawazo yao halafu ndiyo ukae uchekeche kwa utulivu ndiyo ufanye uamuzi. Ninyi ndiyo kesho na kesho kutwa hamkawii kurudisha kadi

Acha Roho Mbaya mkaribishe mgeni chamani
 
Last edited by a moderator:
kwanza kabisa ni binti ambaye nlikuwa sifuatilii mambo ya siasa.mwaka 2010 kidogo kupaa kwa cchadema hakukunifanya niipende chadema ila nilipenda tu slaa awe raisi wa nchi yangu.hivyo kwa mara ya kwanza nikapanga foleni kupiga kura.

Sikupiga kura sababu ya kuipenda chadema bali sababu nilipenda slaa awe raisi.na baada ya slaa kutoingia ikulu nikarudi kuwa raia wa kawaida asiyejua taifa lake linakwenda wapi

.ndipo katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na jamii forum na nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazohusu siasa pia na kuona mengi yanayoihusu chadema na ccm. Kwa kweli leo nimeamua kuwa mguu sawa chadema kwan nimeona kwa ccm kutumia muda mwingi kuichafua chadema chama ambacho hakipo madarakan na wao kuacha kutupa tathmin ya nn wametufanyia hadi leo hii zaidi ya maisha bora waliyotuahidi kuwa bora maisha nimewaza nimeona ccm inacheza na akili za watanzania.....kama mwanamke ninayejitambua sasa nimeona niweke miguu yote chadema mimi na familia yangu.

Mungu ibariki tanzania, mungu ibariki chadema.

mungu akubarikh nawe pia.
 
Ahsante kwa jibu mujarab..

baba yangu ni kada mzuri wa ccm matisheti ya hari mpya kasi mpya nguvu mpya hadi yametoboka bado anayo tu bora kavaa ukijani.hii kitu ya chadema,chadema cku moja c unajua vijijin ukoo unakuwa karibu karibu baada ya chakula maongezi yakaanza wajukuu wakaanza kumcheka mzee mwambie raisi wako akutumie tisheti jipya hilo limekwisha au unasubir ofa za kuhongwa cku za uchaguzi,akasema babu bwana unatusababishia haya kisa tisheti(rushwa)???watu tukacheza mzee kawaza akasema mwanangu mjukuu wangu kasema kweli ndipo akanipa msemo ccm inacheza na akili za watanzania!!!kwa kuwa kidogo umeelimika badilisha kizazi cha nyuma msiishi kizazi cha uongo kama hiki yote tuliyoahidiwa kijijin hapa hata moja hakuna natangaza hari mpya ipi?nikamwmbia heri umejua bado nguvu unayo na watu wanakuamin kwa ushawish ulionao naamin koo nyingi zitafanya mageuzi??hii ya chadema,chadema ndo mana inafanya watu wajiulize why chadema not cuf or nccr??nafurahi sana mada za cku hizi baada ya chakula cha usiku nafarijika kuipenda chadema na nafurah wakuu wangu wa kaya kujitambua pia.eeh Mungu tufikishe salama 2015
 
biblia inasema mtu mmoja akiokoka duniani,mbingu huwa inazizima kwa furaha,karibu sana dada,siamini kama utakuwa pandikizi la yule jamaa wa cd.
 
biblia inasema mtu mmoja akiokoka duniani,mbingu huwa inazizima kwa furaha,karibu sana dada,siamini kama utakuwa pandikizi la yule jamaa wa cd.

ndugu niamini vita yangu ya kuhakikisha ndugu,jamaa na marafiki tunasimama kidede kuhakikisha 2015 tunaiunga mkono chadema haitatokana kwa mie kujuana na yeyote yule wala kujulikana kokote kwan kama nlivyosema nataka kujifunza siasa kwa mlezi wangu chadema.ni dhamira yangu kutoka rohon na namaanisha.
 
kwanza kabisa ni binti ambaye nlikuwa sifuatilii mambo ya siasa.mwaka 2010 kidogo kupaa kwa cCHADEMA hakukunifanya niipende CHADEMA ila nilipenda tu slaa awe raisi wa nchi yangu.hivyo kwa mara ya kwanza nikapanga foleni kupiga kura.

Sikupiga kura sababu ya kuipenda CHADEMA bali sababu nilipenda slaa awe raisi.na baada ya slaa kutoingia ikulu nikarudi kuwa raia wa kawaida asiyejua taifa lake linakwenda wapi

.Ndipo katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na jamii forum na nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazohusu siasa pia na kuona mengi yanayoihusu CHADEMA na CCM. kwa kweli leo nimeamua kuwa mguu sawa CHADEMA kwan nimeona kwa ccm kutumia muda mwingi kuichafua CHADEMA chama ambacho hakipo madarakan na wao kuacha kutupa tathmin ya nn wametufanyia hadi leo hii zaidi ya maisha bora waliyotuahidi kuwa bora maisha nimewaza nimeona CCM inacheza na akili za watanzania.....kama mwanamke ninayejitambua sasa nimeona niweke miguu yote CHADEMA mimi na familia yangu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA.

Ni mwanzo mzuri, bado safari ni ndefu. Tunahitaji mapinduzi kwanza kurudisha heshima. Unadhani Chadema pekee wataweza?
 
Ni mwanzo mzuri, bado safari ni ndefu. Tunahitaji mapinduzi kwanza kurudisha heshima. Unadhani Chadema pekee wataweza?

ndugu naamini chadema ni kama taasisi ambayo ina watu,umoja na kujiamini kwa watu hao na wengine tunaoingia kuongeza nguvu za mapambano tutaweza.ingawa ningependa zaidi ifikie mahali vyama vya upinzan viungane kurahisisha nguvu zaidi.ila ninaamin kitu kimoja Mungu yupo ipo ahadi kwa watanzania tunaomlilia kila cku atatupa tanzania yetu tuifaidi watanzania wote maskin na tajiri.wakati huo ukifika hakuna atayeweza kupinga.
 
nn maana ya siasa?siwezi rudi nyuma trust me ntajifunza ntasimama ila kwa mtoto wa mkulima kama mimi ccm si pangu

unakosea ukisema hutarudi nyuma, nilifikiri utasema nitasimama imara labda tu chadema ianze kuharibika na kuwa kama ccm ndio nitaiacha. hii ndio itakuwa siasa.
hata nyerere alifika sehemu alisema ikiwa ccm itakuwa kinyume na imani yangu sitaing'ang'ania nitaiacha.
 
upo sawa unenacho nimemaanisha kurudi nyuma means kutokuwa mwanachama wa chama chochote kile maana ndipo nilipotoka.ila pia siwezi ingia sehemu kwa kujua ipo cku ntatoka naamin nilipo na nina imani nao.kwa hayo unayosema kweli yapo watu wanachukua maamuzi wanayoona yapo sahihi kwa upande wao ila sipendi kuwazia hilo kwa wakat huu.pia asante kwa ushauri ndo kujifunza kwenyewe
 
Tahadhali tu hatutaki wakina juliana shonza...

Karibu sana kwenye mapambano ya demokrasia
 
upo sawa unenacho nimemaanisha kurudi nyuma means kutokuwa mwanachama wa chama chochote kile maana ndipo nilipotoka.ila pia siwezi ingia sehemu kwa kujua ipo cku ntatoka naamin nilipo na nina imani nao.kwa hayo unayosema kweli yapo watu wanachukua maamuzi wanayoona yapo sahihi kwa upande wao ila sipendi kuwazia hilo kwa wakat huu.pia asante kwa ushauri ndo kujifunza kwenyewe

salute kwako mamii,
ni wanawake wachache wanaoona siasa ni sehemu yao pia wengi hudhani siasa ni ya wanaume.
safi sana tusisubiri kuhusishwa tujihusishe
 
Siyo lazima uende CCM kuna vyama vingine vingi tu. CUF,UDP, Chausta nk nk. Tumia akili yako kwa ukamilifu pata habari ya vyama vingine ndiyo uamue. Nani kakwambia CDM ni chama cha watoto wakulima?? Tuliza akili bora ubakie kuwa shabiki tu wa CDM kuliko kuingia uananchama wa chama ambacho hujapata taarifa zake muhimu :A S shade:

ndugu nimejifunza mengi na kupata kujua mengi mara baada ya chama kilichopo madarakan kutumia nguvu nyingi kwa chadema.kwa akili ya kawaida why chademaa!????ccm imepewa dhamana kuwa madarakan timiza ahadi mbona hutapata shida kwenye chaguzi sasa nionacho mie na akili zangu fupi kwenye siasa na wengine niwajuao ccm wanajua ahadi nyingi zilikuwa hewa waliahid ilihali walijua hazitekelezeki tutakuwa wajinga hadi lini? jamani mnakula na vipofu hadi kutushika mkono??badala ya kuhangaika na wananchi waliowachagua wanahangaika na chadema ndio maana tuna imani kwa hili tuiunge hiyo chadema mkono kwan point hapa naona ccm inaishi kwa mazoea na kamwe kwa hatua hii mabadiliko hayawez kutokea.najua vipo vyama vingine ila nimeichagua chadema.asante kwa mawazo
 
Back
Top Bottom