Hodi wana CHADEMA

Hodi wana CHADEMA

Acha Roho Mbaya mkaribishe mgeni chamani
Siyo kihivyo bana watu wanachanganya uanachama na ushabiki. hadi uwe mwanachama lazima ujue katiba ya chama na mengineyo muhimu kuhusu chama na siyo kujua vibwagizo tu kama nginjanginja au hakuna kulala. Hawa ndiyo ukikutana ukawauliza maswali rahisi kuhusu chama kama sera ya chama hata hawajui kitu. Wao ni kupiga makofi na kushangilia ndiyo wanajua
 
ndugu nimejifunza mengi na kupata kujua mengi mara baada ya chama kilichopo madarakan kutumia nguvu nyingi kwa chadema.kwa akili ya kawaida why chademaa!????ccm imepewa dhamana kuwa madarakan timiza ahadi mbona hutapata shida kwenye chaguzi sasa nionacho mie na akili zangu fupi kwenye siasa na wengine niwajuao ccm wanajua ahadi nyingi zilikuwa hewa waliahid ilihali walijua hazitekelezeki tutakuwa wajinga hadi lini? jamani mnakula na vipofu hadi kutushika mkono??badala ya kuhangaika na wananchi waliowachagua wanahangaika na chadema ndio maana tuna imani kwa hili tuiunge hiyo chadema mkono kwan point hapa naona ccm inaishi kwa mazoea na kamwe kwa hatua hii mabadiliko hayawez kutokea.najua vipo vyama vingine ila nimeichagua chadema.asante kwa mawazo
Asante angalau sasa nimeelewa kwanini umeichagua chadema. Ni hapo kwenye red ni HURUMA YAKO kwa chadema ni si kwa ajili ya sera au muundo wake :A S shade:
 
Asante angalau sasa nimeelewa kwanini umeichagua chadema. Ni hapo kwenye red ni HURUMA YAKO kwa chadema ni si kwa ajili ya sera au muundo wake :A S shade:

sio huruma ndugu yangu kwa nn niihurumie chadema???ila huruma kubwa nliyonayo ni kwangu binafsi na wenzangu kama mimi.ninavyosema why chadema means sera zake na mitazamo yao na jinsi wanavyoelimisha watanzania juu yakupata haki zetu ndo mana naishangaa ccm badala ya kuzifanyia kazi changamoto wanazopewa na upinzani wao wanahangaika kuwatafutia marumbano yasiyo ya maana kwetu.kwa sasa watanzania tunaongozwa na ccm sasa kuna haja gani ya ccm kupoteza muda wao kwa chadema badala ya kuandaa mikakati itayofanya watimize ahadi zao.kusema why chadema sio huruma umenielewa vibaya
 
Back
Top Bottom