Hodi wana CHADEMA

Hodi wana CHADEMA

Slaa anatoa kadi chumbani,angalia tu na wewe usiwe kama wale wadada wa wasira
 
wewe kalale tu umekurupuka bila kufikiri.yanayoandikwa mtandaoni ni maoni ya wanachama sio matamko ya chama.

anapaswa kueleweshwa tofauti ya opinions na facts. tatizo lake ameegemea kwenye opinions na kufikia uamuzi na hili ndio janga la walio wengi nchini.
 
Aii!! yaani JF pekee ndiyo imekufanya uipende chadema???? usiwe laini kihivyo. Nenda kasome katiba za vyama vyote, katiba ya nchi, bible, koran pitia mitandao mbali mbali ya kijamii kisha wasikilize wengine mawazo yao halafu ndiyo ukae uchekeche kwa utulivu ndiyo ufanye uamuzi. Ninyi ndiyo kesho na kesho kutwa hamkawii kurudisha kadi

Wew umefuatilia hivyo vyote kwa huko uliko?
 
kwanza kabisa ni binti ambaye nlikuwa sifuatilii mambo ya siasa.mwaka 2010 kidogo kupaa kwa cCHADEMA hakukunifanya niipende CHADEMA ila nilipenda tu slaa awe raisi wa nchi yangu.hivyo kwa mara ya kwanza nikapanga foleni kupiga kura. Sikupiga kura sababu ya kuipenda CHADEMA bali sababu nilipenda slaa awe raisi.na baada ya slaa kutoingia ikulu nikarudi kuwa raia wa kawaida asiyejua taifa lake linakwenda wapi.Ndipo katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na jamii forum na nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazohusu siasa pia na kuona mengi yanayoihusu CHADEMA na CCM. kwa kweli leo nimeamua kuwa mguu sawa CHADEMA kwan nimeona kwa ccm kutumia muda mwingi kuichafua CHADEMA chama ambacho hakipo madarakan na wao kuacha kutupa tathmin ya nn wametufanyia hadi leo hii zaidi ya maisha bora waliyotuahidi kuwa bora maisha nimewaza nimeona CCM inacheza na akili za watanzania.....kama mwanamke ninayejitambua sasa nimeona niweke miguu yote CHADEMA mimi na familia yangu.MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA.
Mungu tazama taifa letu linavyotawaliwa kishetani ,tunaomba Baba utukufu na uweza wako utuangazia nuru ya amni na upendo kati yetu ili tukalisifu jina lako kwa upendo. tunajua ya kuwa baba wewe ndio muweza wa yote na hakuna linaloshindikana kwako. Imeandika baba hakuna mzazi mtotoe akimuomba sukari atampa chumvi. Tunaomba baba utupe nguvu na uweza wa kuweza kulikomboa taifa letu kutoka katika mikono ya wanyang'anyi. MUBARIKI HUYU DADA AWE MUKOMBOZI KWELI WALA ASIWE KAMA PETRO . AMINA
 
Nenda kwenye ofisi za chadema kachukue kadi, hapa JF hatuhitaji kujua itikadi za watu maana hii ni Forum huru wee leta mada tu tuijadiri, ina maana wewe hujamuelewa Chris Lukosi kwa ushauri wake kwa vijana?
ushaur c lazma ufuatwe tena koma
 
Last edited by a moderator:
nenda uwe gaidi baada ya rwakatale na upewe dili la kuua kwa stmu kama ben saanane na ujifunze kuwa kigeugeu kama slaa
 
Nenda kwenye ofisi za chadema kachukue kadi, hapa JF hatuhitaji kujua itikadi za watu maana hii ni Forum huru wee leta mada tu tuijadiri, ina maana wewe hujamuelewa Chris Lukosi kwa ushauri wake kwa vijana?

Karibu kwenye chama cha Yesu!

wewe kalale tu umekurupuka bila kufikiri.yanayoandikwa mtandaoni ni maoni ya wanachama sio matamko ya chama.

Slaa anatoa kadi chumbani,angalia tu na wewe usiwe kama wale wadada wa wasira

anapaswa kueleweshwa tofauti ya opinions na facts. tatizo lake ameegemea kwenye opinions na kufikia uamuzi na hili ndio janga la walio wengi nchini.

Mi.nakupa pole.sana .

nenda uwe gaidi baada ya rwakatale na upewe dili la kuua kwa stmu kama ben saanane na ujifunze kuwa kigeugeu kama slaa

Jihadhari na watu wanaoligawa taifa katika misingi ya udini, ukanda na ukabila!!!... Usivunjwe moyo na hoja za watu hawa.. Amini usiamini wanalipwa pale LUMUMBA kufanya kazi hii!!!...
 
Slaa anatoa kadi chumbani,angalia tu na wewe usiwe kama wale wadada wa wasira

Mbona huzungumzii kiongozi mmoja wa juu katika chama unachokishabikia ambaye ni kiwembe hata kwa watoto wa kuwazaa mwenyewe?
 
Karibu kwenye chama cha Yesu!

Unadhani utawashawishi waislamu wenzako waichukie CHADEMA na kuhamia CCM.... Hujui waislamu hao hao waliwahi kuiita CCM - Catholic Church movement?!!!... UDINI HAUTAIOKOA CCM zaidi ya kuwageuza wananchi kujenga chuki dhidi yake na wafuasi wake!!!
 
sis majo, nipo nyuma yako
A%20S%2039.gif
 
Last edited by a moderator:
kumbuka uamuz uliofanya magamba povu linawatoka,hvyo uwe mlinzi wa meno,kucha,macho pamoja na roho yako. maana hawa jamii c kitu kuviondoa hvyo viungo vyako ili baadae waseme chadema. unamkumbuka aliye chinjwa usa river?dr.ulimboka? kadhalika na kibanda? unafahamu kwamba mwangosi imebaki historia? na je,kuna mhusika aliyehukumiwa? ukiuliza watasema bado upelelezi haujakamilika pamoja na kuwepo matukio yenye ushahd wa picha. ili kufahamu kwamba serikali inaratibu hayo matukio linganisha ni kifo cha kamanda baro ambapo ndani ya siku saba wahusika walijulikana. mimi kwa sasa ningependeza kila mtu atembee na mpiga picha kwa ajili ya ushahd pale policcm watakapoamua pengine kukumwangosi amb kukuulimboka. ni hayo tu mdogo wangu! take care and welcome home@cdm@
 
niamini ckuwa chama
chochote sina pa kurudi ila nimeona niwe chadema.kama ni mchujo
nimeufanya na kuona wapi mahala sahihi panaponifaa ni uchaguzi tu 2po
pa1

kwa mujibu wa maelezo yako. ujue ukimpenda slaa ndo umependa CDM ulikosa kadi tu.
 
kwanza kabisa ni binti ambaye nlikuwa sifuatilii mambo ya siasa.mwaka 2010 kidogo kupaa kwa cCHADEMA hakukunifanya niipende CHADEMA ila nilipenda tu slaa awe raisi wa nchi yangu.hivyo kwa mara ya kwanza nikapanga foleni kupiga kura.

Sikupiga kura sababu ya kuipenda CHADEMA bali sababu nilipenda slaa awe raisi.na baada ya slaa kutoingia ikulu nikarudi kuwa raia wa kawaida asiyejua taifa lake linakwenda wapi

.Ndipo katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na jamii forum na nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazohusu siasa pia na kuona mengi yanayoihusu CHADEMA na CCM. kwa kweli leo nimeamua kuwa mguu sawa CHADEMA kwan nimeona kwa ccm kutumia muda mwingi kuichafua CHADEMA chama ambacho hakipo madarakan na wao kuacha kutupa tathmin ya nn wametufanyia hadi leo hii zaidi ya maisha bora waliyotuahidi kuwa bora maisha nimewaza nimeona CCM inacheza na akili za watanzania.....kama mwanamke ninayejitambua sasa nimeona niweke miguu yote CHADEMA mimi na familia yangu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA.

Hongera kwa uamzi wako!! ushauri wa bure unashauriwa kutumia maziwa zaidi ili utoe sumu
 
CCM baba wa demokrasia ,imeilinda nchi hii toka mwaka 1961 kwa amani ndio maana hata wengine wanapata nafasi ya kufanya upinzani leo.Laana kwa wanaokejeli kuwa CCM ni mkoloni wanataka ukombozi,ukombozi gani?Nadhani know how hakuna kwa aina hii ya watanzania.Badala ya CDM kuwafunza elimu ya uraia,imekalia maandamano yasio na tija kwa taifa.Hii ni nchi yetu sote, CDM mnatakiwa kuungana na watanzania wenzenu kupambana na adui njaa,maradhi na umasikini,tunaongozwa na katiba moja ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania.Ni kweli kuwa hamulielewi hilo?
 
Sehemu salama ya kupanga mambo salama ya maendeleo
tulia tuikomboe nchi kupitia chadema
 
Back
Top Bottom