Hodi wana CHADEMA

Hodi wana CHADEMA

Wengi wanaanza hivi kumbe nguvu ya nape,baada ya siku mbili salar ya nape kunoga utasikia sitokaa niipende cdm,oooh nilipotea njia,narud magamban nk,hongera yako mie bado nafanya tathmin nijiunge wap

cjawahi kuwa member wa chama chochote nimechuja nimefikia lengo na kuamua kuwa muumin chadema naamin one day tutakuwa pa1
 
kwanza kabisa ni binti ambaye nlikuwa sifuatilii mambo ya siasa.mwaka 2010 kidogo kupaa kwa cCHADEMA hakukunifanya niipende CHADEMA ila nilipenda tu slaa awe raisi wa nchi yangu.hivyo kwa mara ya kwanza nikapanga foleni kupiga kura.

Sikupiga kura sababu ya kuipenda CHADEMA bali sababu nilipenda slaa awe raisi.na baada ya slaa kutoingia ikulu nikarudi kuwa raia wa kawaida asiyejua taifa lake linakwenda wapi

.Ndipo katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na jamii forum na nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazohusu siasa pia na kuona mengi yanayoihusu CHADEMA na CCM. kwa kweli leo nimeamua kuwa mguu sawa CHADEMA kwan nimeona kwa ccm kutumia muda mwingi kuichafua CHADEMA chama ambacho hakipo madarakan na wao kuacha kutupa tathmin ya nn wametufanyia hadi leo hii zaidi ya maisha bora waliyotuahidi kuwa bora maisha nimewaza nimeona CCM inacheza na akili za watanzania.....kama mwanamke ninayejitambua sasa nimeona niweke miguu yote CHADEMA mimi na familia yangu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA.

Nenda kwenye ofisi za chadema kachukue kadi, hapa JF hatuhitaji kujua itikadi za watu maana hii ni Forum huru wee leta mada tu tuijadiri, ina maana wewe hujamuelewa Chris Lukosi kwa ushauri wake kwa vijana?
 
Last edited by a moderator:

In short hakuna forum ya CHADEMA humu wala CCM. Chadema na CCM ni vyama vya siasa. Thread yako inaongelea wewe kuiunga mkono CHADEMA ambacho ni chama cha Siasa. Kwa hiyo mada inahusu siasa maana unaongelea vyama vya siasa. Sasa kwa nini imehamishwa kutoka Jukwaa la Siasa ikaja huku hoja mchanganyiko wakati inabidi upewe ushauri na ujengwe kisiasa kupitia jukwaa la siasa. Au mods wamefanya hivi kuthibitisha kwamba in politics yaani katika siasa kila kitu kinawezekana?

Mbali na hayo hongera kwa kuwa ume undergo "Emancipation, I mean mental liberation. Hongera kwa kujitambua na wafungue macho wanawake wenzio na familia yako na jamii ikuzungukayo.
 
Chris Lukos ni nani hadi awe reference nchi hiii.............who is she by the way...........kama wewe ndo muumini wake basi mfuate. Usilete yaleyale ya nani achinje
 
Nenda kwenye ofisi za chadema kachukue kadi, hapa JF hatuhitaji kujua itikadi za watu maana hii ni Forum huru wee leta mada tu tuijadiri, ina maana wewe hujamuelewa Chris Lukosi kwa ushauri wake kwa vijana?

usijali ni furaha tu nliyonayo kuweka nafsi yangu kuwa mwanachama huru.usikwazike
 
Last edited by a moderator:
In short hakuna forum ya CHADEMA humu wala CCM. Chadema na CCM ni vyama vya siasa. Thread yako inaongelea wewe kuiunga mkono CHADEMA ambacho ni chama cha Siasa. Kwa hiyo mada inahusu siasa maana unaongelea vyama vya siasa. Sasa kwa nini imehamishwa kutoka Jukwaa la Siasa ikaja huku hoja mchanganyiko wakati inabidi upewe ushauri na ujengwe kisiasa kupitia jukwaa la siasa. Au mods wamefanya hivi kuthibitisha kwamba in politics yaani katika siasa kila kitu kinawezekana?

Mbali na hayo hongera kwa kuwa ume undergo "Emancipation, I mean mental liberation. Hongera kwa kujitambua na wafungue macho wanawake wenzio na familia yako na jamii ikuzungukayo.

asante npo sambamba na nyie
 
Aii!! yaani JF pekee ndiyo imekufanya uipende chadema???? usiwe laini kihivyo. Nenda kasome katiba za vyama vyote, katiba ya nchi, bible, koran pitia mitandao mbali mbali ya kijamii kisha wasikilize wengine mawazo yao halafu ndiyo ukae uchekeche kwa utulivu ndiyo ufanye uamuzi. Ninyi ndiyo kesho na kesho kutwa hamkawii kurudisha kadi

cna pa kurudi kwan ndo nimeamua kuwa chadema.kwan ckuwa mwanachama wa chama chochote
 
Nipo toka zaman,CHADEMA Wote makamanda.tupiganie uhuru toka kwa chichi M.
 
karibu sana CHADEMA MANA MAISHA YALE BORA WAMEYAPNDISHIA NA NAULI ILI YAWE BORA ZAID
 
Sasa sis majo ushapatiwa kadi? Halafu utunze kitambulisho chako chakupigia kura vizuri.

Usisahau kumwambia baba nae hii nisaa ya ukombozi arudi kundini.
 
niamini ckuwa chama chochote sina pa kurudi ila nimeona niwe chadema.kama ni mchujo nimeufanya na kuona wapi mahala sahihi panaponifaa ni uchaguzi tu 2po pa1

huo uandishi wako sio wote ni vijana humu, utatupa wakati mgumu wengine kukuelewa jirekebishe ili usomeke..... karibu sana.!!
 
kwanza kabisa ni binti ambaye nlikuwa sifuatilii mambo ya siasa.mwaka 2010 kidogo kupaa kwa cchadema hakukunifanya niipende chadema ila nilipenda tu slaa awe raisi wa nchi yangu.hivyo kwa mara ya kwanza nikapanga foleni kupiga kura.

Sikupiga kura sababu ya kuipenda chadema bali sababu nilipenda slaa awe raisi.na baada ya slaa kutoingia ikulu nikarudi kuwa raia wa kawaida asiyejua taifa lake linakwenda wapi

.ndipo katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na jamii forum na nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazohusu siasa pia na kuona mengi yanayoihusu chadema na ccm. Kwa kweli leo nimeamua kuwa mguu sawa chadema kwan nimeona kwa ccm kutumia muda mwingi kuichafua chadema chama ambacho hakipo madarakan na wao kuacha kutupa tathmin ya nn wametufanyia hadi leo hii zaidi ya maisha bora waliyotuahidi kuwa bora maisha nimewaza nimeona ccm inacheza na akili za watanzania.....kama mwanamke ninayejitambua sasa nimeona niweke miguu yote chadema mimi na familia yangu.

Mungu ibariki tanzania, mungu ibariki chadema.
wewe kalale tu umekurupuka bila kufikiri.yanayoandikwa mtandaoni ni maoni ya wanachama sio matamko ya chama.
 
sis majo karibu sana kwenye nuru ya walionyimwa nuru, naomba nikunong'oneze jambo: huku sio lelema hakika vita ni kubwa penginze zaidi ya goliathi na daudi, ndio maana tunaitana makamanda na tunavaa kompati kama ishara ya jeshi dogo na kubwa la ukombozi

CDM hawana dola physically ila wanadola mioyoni mwa wazalendo wa taifa hili,

Karibu sana!!!!
 
Last edited by a moderator:
kuna mbegu zilianguka kwenye mchanga, nyingine kwenye miba, nyingine kwenye miamba na nyingine kwenye udongo mzuri. wasiwasi wangu ni namna ulishawishika kuipenda chadema naona ni kama mbegu iliyoanguka kwenye miba ambayo nayo itaanza kumea na kuota lakini...
 
Back
Top Bottom