Hodi wana CHADEMA

Hodi wana CHADEMA

ccm baba wa demokrasia ,imeilinda nchi hii toka mwaka 1961 kwa amani ndio maana hata wengine wanapata nafasi ya kufanya upinzani leo.laana kwa wanaokejeli kuwa ccm ni mkoloni wanataka ukombozi,ukombozi gani?nadhani know how hakuna kwa aina hii ya watanzania.badala ya cdm kuwafunza elimu ya uraia,imekalia maandamano yasio na tija kwa taifa.hii ni nchi yetu sote, cdm mnatakiwa kuungana na watanzania wenzenu kupambana na adui njaa,maradhi na umasikini,tunaongozwa na katiba moja ya jamuhuri ya muungano wa tanzania.ni kweli kuwa hamulielewi hilo?
mawazo mgando kama mtindi maana hauyeyuki
 
kwanza kabisa ni binti ambaye nlikuwa sifuatilii mambo ya siasa.mwaka 2010 kidogo kupaa kwa cCHADEMA hakukunifanya niipende CHADEMA ila nilipenda tu slaa awe raisi wa nchi yangu.hivyo kwa mara ya kwanza nikapanga foleni kupiga kura.

Sikupiga kura sababu ya kuipenda CHADEMA bali sababu nilipenda slaa awe raisi.na baada ya slaa kutoingia ikulu nikarudi kuwa raia wa kawaida asiyejua taifa lake linakwenda wapi

.Ndipo katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na jamii forum na nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazohusu siasa pia na kuona mengi yanayoihusu CHADEMA na CCM. kwa kweli leo nimeamua kuwa mguu sawa CHADEMA kwan nimeona kwa ccm kutumia muda mwingi kuichafua CHADEMA chama ambacho hakipo madarakan na wao kuacha kutupa tathmin ya nn wametufanyia hadi leo hii zaidi ya maisha bora waliyotuahidi kuwa bora maisha nimewaza nimeona CCM inacheza na akili za watanzania.....kama mwanamke ninayejitambua sasa nimeona niweke miguu yote CHADEMA mimi na familia yangu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA.

Karibu tuikomboe nchi yetu, mfumo kandamizi uliojengwa kwa miaka mingi kuondoa ni gharama, wakati mwingine hizo gharama huwa hata maisha ya watu, ndiyo maana ccm wanatumia nguvu nyingi kuichafua cdm badala ya kuleta maendeleo. Karibu tushindane nao kwa hoja na siyo hila na kama wao wanavyofanya.
 
Sasa sis majo ushapatiwa kadi? Halafu utunze kitambulisho chako chakupigia kura vizuri.

Usisahau kumwambia baba nae hii nisaa ya ukombozi arudi kundini.

wazazi wote 2015 npo nao mstar kuhakikisha tunapiga kura na nina jopo.la watu ambao ninahakika wataniunga mkono pia.npo.kwenye mchakato wa kupata kadi
 
sis majo karibu sana kwenye nuru ya walionyimwa nuru, naomba nikunong'oneze jambo: huku sio lelema hakika vita ni kubwa penginze zaidi ya goliathi na daudi, ndio maana tunaitana makamanda na tunavaa kompati kama ishara ya jeshi dogo na kubwa la ukombozi

CDM hawana dola physically ila wanadola mioyoni mwa wazalendo wa taifa hili,

Karibu sana!!!!

asante ndugu sitawaangusha hadi kufikia hapa nimejitoa dhabiti kuhakikisha jamii inayonizunguka hayufanyi makosa 2015
 
Last edited by a moderator:
Mungu tazama taifa letu linavyotawaliwa kishetani ,tunaomba Baba utukufu na uweza wako utuangazia nuru ya amni na upendo kati yetu ili tukalisifu jina lako kwa upendo. tunajua ya kuwa baba wewe ndio muweza wa yote na hakuna linaloshindikana kwako. Imeandika baba hakuna mzazi mtotoe akimuomba sukari atampa chumvi. Tunaomba baba utupe nguvu na uweza wa kuweza kulikomboa taifa letu kutoka katika mikono ya wanyang'anyi. MUBARIKI HUYU DADA AWE MUKOMBOZI KWELI WALA ASIWE KAMA PETRO . AMINA

Amina ndugu yangu Mungu mwema saa ya ukombozi itatujia.
 
nenda uwe gaidi baada ya rwakatale na upewe dili la kuua kwa stmu kama ben saanane na ujifunze kuwa kigeugeu kama slaa

maisha ni uchaguzi na nani awe nani na kwa nini ni uchaguzi pia.maamuzi yako ya sehem ulipo na sababu za kuamua uwepo ni ya kwako binafsi please siasa c ugomvi heshim maamuz yangu pia kwani hayakuaffect popote
 
Jihadhari na watu wanaoligawa taifa katika misingi ya udini, ukanda na ukabila!!!... Usivunjwe moyo na hoja za watu hawa.. Amini usiamini wanalipwa pale LUMUMBA kufanya kazi hii!!!...

mi nashangaa kila mtu anaamua wapi awe na.kwa nn ili mradi huvunji sheria.nina msimamo sana nimeamua sirudi nyuma zaidi ya kujifunza zaidi nilipo
 
kumbuka uamuz uliofanya magamba povu linawatoka,hvyo uwe mlinzi wa meno,kucha,macho pamoja na roho yako. maana hawa jamii c kitu kuviondoa hvyo viungo vyako ili baadae waseme chadema. unamkumbuka aliye chinjwa usa river?dr.ulimboka? kadhalika na kibanda? unafahamu kwamba mwangosi imebaki historia? na je,kuna mhusika aliyehukumiwa? ukiuliza watasema bado upelelezi haujakamilika pamoja na kuwepo matukio yenye ushahd wa picha. ili kufahamu kwamba serikali inaratibu hayo matukio linganisha ni kifo cha kamanda baro ambapo ndani ya siku saba wahusika walijulikana. mimi kwa sasa ningependeza kila mtu atembee na mpiga picha kwa ajili ya ushahd pale policcm watakapoamua pengine kukumwangosi amb kukuulimboka. ni hayo tu mdogo wangu! take care and welcome home@cdm@

nimejipanga kukabiliana na hayo asante.
 
kwanza kabisa ni binti ambaye nlikuwa sifuatilii mambo ya siasa.mwaka 2010 kidogo kupaa kwa cCHADEMA hakukunifanya niipende CHADEMA ila nilipenda tu slaa awe raisi wa nchi yangu.hivyo kwa mara ya kwanza nikapanga foleni kupiga kura.

Sikupiga kura sababu ya kuipenda CHADEMA bali sababu nilipenda slaa awe raisi.na baada ya slaa kutoingia ikulu nikarudi kuwa raia wa kawaida asiyejua taifa lake linakwenda wapi

.Ndipo katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na jamii forum na nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazohusu siasa pia na kuona mengi yanayoihusu CHADEMA na CCM. kwa kweli leo nimeamua kuwa mguu sawa CHADEMA kwan nimeona kwa ccm kutumia muda mwingi kuichafua CHADEMA chama ambacho hakipo madarakan na wao kuacha kutupa tathmin ya nn wametufanyia hadi leo hii zaidi ya maisha bora waliyotuahidi kuwa bora maisha nimewaza nimeona CCM inacheza na akili za watanzania.....kama mwanamke ninayejitambua sasa nimeona niweke miguu yote CHADEMA mimi na familia yangu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA.

Utaipotosha familia...
 
nn maana ya siasa?siwezi rudi nyuma trust me ntajifunza ntasimama ila kwa mtoto wa mkulima kama mimi ccm si pangu
Siyo lazima uende CCM kuna vyama vingine vingi tu. CUF,UDP, Chausta nk nk. Tumia akili yako kwa ukamilifu pata habari ya vyama vingine ndiyo uamue. Nani kakwambia CDM ni chama cha watoto wakulima?? Tuliza akili bora ubakie kuwa shabiki tu wa CDM kuliko kuingia uananchama wa chama ambacho hujapata taarifa zake muhimu :A S shade:
 
wewe umesma vyote hvo au unapga filimb t
Sijamaliza ndiyo maana si mwanachama wa chama chochote. Kama nawe umeingia uanachama kwa sababu ya kufuata upepo tu hujaitendea haki akili yako uliyopewa. Bora kuitwa shabiki kuliko kuitwa mwanachama usiojua chochote kuhusiana na chama chako:A S shade:
 
Wew umefuatilia hivyo vyote kwa huko uliko?
Khaa!! mie nimempa mwelekeo mzuri wa kufanya maamuzi mazito kama hayo. Sasa kuhusu mimi kama nafuatilia hivyo inakuhusu nini wewe? kama nafanya zaidi ya hivyo? Dont judge me.. judge my ideas!!!!:A S shade:
 
cna pa kurudi kwan ndo nimeamua kuwa chadema.kwan ckuwa mwanachama wa chama chochote
usiwe na papara kuwa shabiki tu kwanza kisha anza kujifunza ndiyo ufikie uamuzi. Ukifanya uamuzi wa harakaharaka leo utaitwa kamanda, jembe, mpini nk lakini kesho utaitwa majina kama kilaza, dada poa wa kisiasa nk nk. Nenda kaulize wenzio
 
kwanza kabisa ni binti ambaye nlikuwa sifuatilii mambo ya siasa.mwaka 2010 kidogo kupaa kwa cCHADEMA hakukunifanya niipende CHADEMA ila nilipenda tu slaa awe raisi wa nchi yangu.hivyo kwa mara ya kwanza nikapanga foleni kupiga kura.

Sikupiga kura sababu ya kuipenda CHADEMA bali sababu nilipenda slaa awe raisi.na baada ya slaa kutoingia ikulu nikarudi kuwa raia wa kawaida asiyejua taifa lake linakwenda wapi

.Ndipo katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na jamii forum na nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazohusu siasa pia na kuona mengi yanayoihusu CHADEMA na CCM. kwa kweli leo nimeamua kuwa mguu sawa CHADEMA kwan nimeona kwa ccm kutumia muda mwingi kuichafua CHADEMA chama ambacho hakipo madarakan na wao kuacha kutupa tathmin ya nn wametufanyia hadi leo hii zaidi ya maisha bora waliyotuahidi kuwa bora maisha nimewaza nimeona CCM inacheza na akili za watanzania.....kama mwanamke ninayejitambua sasa nimeona niweke miguu yote CHADEMA mimi na familia yangu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA.

Alafu wewe unahistoria inafanana na vijana wengi nikiwemo miye katika siasa zetu. Embu tupange mikakati yakumuingiza ikulu huyu mtetezi wawanyonge jmn
 
usiwe na papara kuwa shabiki tu kwanza kisha anza kujifunza ndiyo ufikie uamuzi. Ukifanya uamuzi wa harakaharaka leo utaitwa kamanda, jembe, mpini nk lakini kesho utaitwa majina kama kilaza, dada poa wa kisiasa nk nk. Nenda kaulize wenzio

Hata MASALIA kama wewe ulipofikia sasa, lakini unakuwa ni wewe mwenyewe umejitengenezea
 
nenda uwe gaidi baada ya rwakatale na upewe dili la kuua kwa stmu kama ben saanane na ujifunze kuwa kigeugeu kama slaa

Akiwa kibaka wa simu asubirie kuvishwa matairi tu. Embu mpe uzoefu huo Mkuu
 
Back
Top Bottom