Hodi katika jukwaa lililo bora la JamiiForums

Elisha Sarikiel

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
889
1,515
BWANA ASIFIWE ............. !

Najitambulisha kwenu wana JamiiForums kwamba ni mgeni wenu.
Natarajia mapokezi na ushirikiano kama mwanajamii mzee lakini kijana katika jukwaa !

Mimi nina mke mmoja mpaka kifo, na nina watoto wa kiume na kike katika familia niliyojaliwa, na Mungu aliyemwumba mwanadamu na kumwambia " Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi; baada ya kuwabariki. "

Basi niseme haya kwa kila anayesoma ujumbe huu:-
Mungu akubariki kwa baraka zote za rohoni na mwilini;

na
Mungu akukulinde kila uingiapo na kutoka;
na
Mungu akungazie nuru za uso wake wakati wote;
na
Mungu akufadhili sawa na haja ya moyo wako;
na
Mungu akuinulie uso wake kila unaposali;
na
Mungu akupe amani ipitayo akili za wanadamu katika Jina la Yesu.

Mwisho, tuseme πŸ—£ #AMEN na itapendeaza ukiandika ✍ "AMEN".
 
karibu shujaa, Tuko wengi humu watoto wa baba ila tumevaa Mask!
 
Sawa mgeni mtiifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…