Changamoto inakufanya uwe na Akili au Maarifa?

Ryan Holiday

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,860
3,920
Dunia ndio sayari pekee katika sayari zinazozunguka jua ambayo ina sifa ya kusupport uhai wa viumbe hai nikimaanisha wanyama na mimea. Japo kuna tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanywa na mataifa yaliyoendelea juu ya sayari Mars kusupport uhai wa viumbe hai.

Mwanadamu ndio kichwa cha dunia katika viumbe hai vyote vinavyoishi Dunia, kama vile brain ikiwa ndio super natural computer ya center of Human body coordination na Moyo Pump house organ ya miili ya wanyama. Tukirudi Mwanzo kabisa katika mafundisho ya Dini, mwanadamu ndiye kiumbe pekee ambaye Mwenyezi Mungu alimpa mamlaka ya kutawala viumbe hai wote wa ardhini na majini, na kupewa mamlaka ya kuitunza Dunia pamoja na viishivyo Duniani.

Let's look at Genesis 1:28 “Mungu akawabariki, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi." Huyu mwanadamu amepitia katika zama na vipindi tofauti tofauti, kama vile Early Stone Age, Middle Stone Age na Late Stone Age, katika vipindi hivi mwanadamu amekumbana na changamoto mbalimbali lakini hazikumfanya akate tamaa bali alizitatua kila changamoto kwa wakati wake na zama zake.

Hata kabla ya kuja kwa Yesu Kristu B.C (Before Christ) na baada ya kuja Yesu Kristu (Anno Domino) mwanadamu huyu anaendelea kukutana na changamoto mbalimbali za kimaisha. Mwisho wa matatizo au changamoto kwa mwanadamu ndio mwanzo wa kifo.

Usidharau tatizo au changamoto yoyote unayokutana nayo katika maisha. Watu wengi wanakawaida ya kulichukulia jambo kiwepesi. Changamoto yoyote lazima huipe uzito fulani hili uweze kuitatua kwa uchanya wake. Kwa sababu matatizo ni kama mimba kila siku inakuwa, kwa hiyo hatuna budi kuyatatua kwa uchanya wake. Lazima ujue tatizo unaloliface wewe leo wameshaliface mamia kwa mamia ya wanadamu miaka mingi iliyopita. Jinsi utakavyoreact kwenye tatizo na kulipa uzito unaostahili ndivyo itakavyo determine outcome yake.

Nobody is free from the problems until we are all free. Tunachotakiwa kukifanya nikubadilsisha matatizo yetu au changamoto zetu na kuwa matunda yetu. May our Almighty God bless us.
 
Changamoto zimegawanyika makundi makubwa mawili.
1.uchumi

Ndo kilio Cha kila mja, iwe ulaya hata huku mgongoni mwa dunia. . Asilimia kubwa ya wanadamu wakiamka kwenye makazi yao Ni wapi na leo nitaingiza fedha kiasi gani.

2.Afya.
45% ya wanadamu Wana matatizo ya kiafya magonjwa ya kansa ,Corona ,aids na mengine.

Hitimisho: Changamoto haikufanyi uwe na akili Wala maarifa ila itabadili mtazamo wako wa kifikra kuhusu Hilo tatizo ndo maana kwako Ni changamoto na kwa mwingine anaona kawaida no challenge.
 
Changamoto zimegawanyika makundi makubwa mawili.
1.uchumi

Ndo kilio Cha kila mja, iwe ulaya hata huku mgongoni mwa dunia. . Asilimia kubwa ya wanadamu wakiamka kwenye makazi yao Ni wapi na leo nitaingiza fedha kiasi gani.

2.Afya.
45% ya wanadamu Wana matatizo ya kiafya magonjwa ya kansa ,Corona ,aids na mengine.

Hitimisho: Changamoto haikufanyi uwe na akili Wala maarifa ila itabadili mtazamo wako wa kifikra kuhusu Hilo tatizo ndo maana kwako Ni changamoto na kwa mwingine anaona kawaida no challenge.
Unatumia njia gani kutatua changamoto zako, hebu tuanzie hapo Nktlogistics
 
Back
Top Bottom