Dunia ndiyo Sayari pekee ya Matatizo na Changamoto

Ryan Holiday

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,859
3,891
Dunia ndio sayari pekee katika sayari zinazozunguka jua ambayo ina sifa ya kusupport uhai wa viumbe hai nikimaanisha wanyama na mimea. Japo kuna tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanywa na mataifa yaliyoendelea juu ya sayari Mars kusupport uhai wa viumbe hai.

Mwanadamu ndio kichwa cha dunia katika viumbe hai vyote vinavyoishi Dunia, kama vile brain ikiwa ndio super natural computer ya center of Human body coordination na Moyo Pump house ya miili ya viumbe hai. Tukirudi Mwanzo kabisa katika mafundisho ya Dini, mwanadamu ndiye kiumbe pekee ambaye Mwenyezi Mungu alimpa mamlaka ya kutawala viumbe hai wote wa ardhini na majini, na kupewa mamlaka ya kuitunza Dunia pamoja na viishivyo Duniani.

Let's look at Genesis 1:28 “Mungu akawabariki, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi." Huyu mwanadamu amepitia katika zama na vipindi tofauti tofauti, kama vile Early Stone Age, Middle Stone Age na Late Stone Age, katika vipindi hivi mwanadamu amekumbana na changamoto mbalimbali lakini hazikumfanya akate tamaa bali alizitatua kila changamoto kwa wakati wake na zama zake.

Hata kabla ya kuja kwa Yesu Kristu B.C (Before Christ) na baada ya kuja Yesu Kristu (Anno Domino) mwanadamu huyu anaendelea kukutana na changamoto mbalimbali za kimaisha. Mwisho wa matatizo au changamoto kwa mwanadamu ndio mwanzo wa kifo.

Usidharau tatizo au changamoto yoyote unayokutana nayo katika maisha. Watu wengi wanakawaida ya kulichukulia jambo kiwepesi. Changamoto yoyote lazima huipe uzito fulani hili uweze kuitatua kwa uchanya wake. Kwa sababu matatizo ni kama mimba kila siku inakuwa, kwa hiyo hatuna budi kuyatatua kwa uchanya wake. Lazima ujue tatizo unaloliface wewe leo wameshaliface mamia kwa mamia ya wanadamu miaka mingi iliyopita. Jinsi utakavyoreact kwenye tatizo na kulipa uzito unaostahili ndivyo itakavyo determine outcome yake.

Nobody is free from the problems until we are all free. Tunachotakiwa kukifanya nikubadilsisha matatizo yetu au changamoto zetu na kuwa matunda yetu. God bless you.
7/7/20
 
Back
Top Bottom