Baba V Kakuruhusu uje humu...??Wapendwa habari zenu,nilikuwa nafuatilia hili jukwaa kama guest kwa muda mrefu,nimeamua kuingia rasmi humu,kama kuna nyumba ndogo za my husband naomba tujuane kabisaa kiroho safi
Wapendwa habari zenu,nilikuwa nafuatilia hili jukwaa kama guest kwa muda mrefu,nimeamua kuingia rasmi humu,kama kuna nyumba ndogo za my husband naomba tujuane kabisaa kiroho safi
Hv huyo mmeo Baba V hakupitia jandoni?
Nitaja muharibu shape yake.
Mpe onyo.
Mwambie anikome kunivunjia ndoa yangu.
Anituweeeeeeeeeeee...........!!!!!!!!!!!!!
Mwambie SIMTAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII...............!!!!!!!!!!!!
Nina wangu.
Hahahah mamito mbona wamkaribisha shosti kwa mkwara? Sheeni 2 bana kiroho safi...
Hv huyo mmeo Baba V hakupitia jandoni?
Nitaja muharibu shape yake.
Mpe onyo.
Mwambie anikome kunivunjia ndoa yangu.
Anituweeeeeeeeeeee...........!!!!!!!!!!!!!
Mwambie SIMTAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII...............!!!!!!!!!!!!
Nina wangu.
Mh! Haya haya sasa muviishakua tamu. Ngoja nimPM mambo yako yoote unayoyafanya humu.
Kama una UHAKIKA NA UNACHO KINENA si uweke hapa hadharani na wadau wengine waone uongo wako uje usutwe ukiwa umevishwa kanga na sidiria na kupakwa wanja na lipstick