Hodi huku jamani,Mama V nimekuja

Wapendwa habari zenu,nilikuwa nafuatilia hili jukwaa kama guest kwa muda mrefu,nimeamua kuingia rasmi humu,kama kuna nyumba ndogo za my husband naomba tujuane kabisaa kiroho safi
Baba V Kakuruhusu uje humu...??
Karibu sana.
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa habari zenu,nilikuwa nafuatilia hili jukwaa kama guest kwa muda mrefu,nimeamua kuingia rasmi humu,kama kuna nyumba ndogo za my husband naomba tujuane kabisaa kiroho safi

Hv huyo mmeo Baba V hakupitia jandoni?
Nitaja muharibu shape yake.
Mpe onyo.
Mwambie anikome kunivunjia ndoa yangu.
Anituweeeeeeeeeeee...........!!!!!!!!!!!!!
Mwambie SIMTAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII...............!!!!!!!!!!!!
Nina wangu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahah mamito mbona wamkaribisha shosti kwa mkwara? Sheeni 2 bana kiroho safi...
Hv huyo mmeo Baba V hakupitia jandoni?
Nitaja muharibu shape yake.
Mpe onyo.
Mwambie anikome kunivunjia ndoa yangu.
Anituweeeeeeeeeeee...........!!!!!!!!!!!!!
Mwambie SIMTAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII...............!!!!!!!!!!!!
Nina wangu.
 
Last edited by a moderator:
Tunamsubiri Baba V aku'confirm vinginevyo hatutakuelewa!
Mtu yeyote anaweza ku'create id na kujitambulisha apendavyo.
 
Last edited by a moderator:
Hv huyo mmeo Baba V hakupitia jandoni?
Nitaja muharibu shape yake.
Mpe onyo.
Mwambie anikome kunivunjia ndoa yangu.
Anituweeeeeeeeeeee...........!!!!!!!!!!!!!
Mwambie SIMTAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII...............!!!!!!!!!!!!
Nina wangu.

Ndo mapepo ya uzushi aliyoyakemea Pombekali hayo!!!!, una UHAKIKA NA UNACHO KINENA!???
 
Last edited by a moderator:
Mh! Haya haya sasa muviishakua tamu. Ngoja nimPM mambo yako yoote unayoyafanya humu.

Kama una UHAKIKA NA UNACHO KINENA si uweke hapa hadharani na wadau wengine waone uongo wako uje usutwe ukiwa umevishwa kanga na sidiria na kupakwa wanja na lipstick
 
Tunashangaa mwanamke anakuja amebeba furushi kishwani mkononi bonge la kikapu,miguu vumbi tupu,kichwani ushungi,kushangaa mtu anatugongea ktk gari letu na mpenzi wangu Madame B,akatuomba ela ya nauli kumuangalia vizuri tukamfananisha ndo tumeamua tumlete mme wake Baba V amtambue.kwa nini mwananume anakula raha huku mke wake kachoka hivyo jmn?

Afu mkongomani na Madame B mbona mmekua wa kwanzakwanza kudeal na huu uzi? Mie chale cheja! Nahisi kuna mkono wa mtu hapa !
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom