Hodi hodi....wenyewe mpooooooooo?????????

Hodi hodi....wenyewe mpooooooooo?????????

Shem ww unavomjua mme wangu ni wa kuniacha mpaka nitafutiwe hifadhi jaman!Atown ana mahekalu ni ishu ya kuchagua mtaa tu!alafu shem kauli hizo ucje chezea makofi ya rejao alafu Amy akakutupia cha mbavu lol!
Haaaa kwani hifadhi ni kukuchukua?
Lol shem wangu unanitafutia ugomvi eeeh
Lol siachiki ng'oooooo
 
nichekie kabisa na bei za maholi ya harusi kamanda!

mkuu,ukiwa tayari nicheki 0754348782,mi kazi zangu ni mambo yote ya harusi!leo niko ktk umc hapa police mess!hapa ukumbi bure...ni 200,000 tu!ukitaka La Bella Luna 1.5m!n.k,n.k,n.k
 
Angalia na wewe usije ukaanza kutumia CHA ARUSHA.
MAPROSOO.
 
Karibu Bishanga, mi nipo maeneo ya Majengo, kulipozuka moshi majuzi...mbona sikukuona ukija kutoa mkono wa pole?
 
Jamani tupeni macho hapo juu kulia mwa avatar yangu,mwenzenu nimebadili makazi(location).
Wenyeji jamani mpooooooooooooooooooooo??????????????????????

Wenyeji tupooo!!! karibu sana Arusha bwana Bishanga.
 
dah huyu small house sijui ndo nani tena ... Lizzy sina hakika

Sasa FirstLady unaanza kutibua mambo,ya nyumba ndogo yanatoka wapi tena? bishanga mtoto wa kiume nimevamia unga wa limited,nikiibuka natoka na kitu,stay tuned.
 
Unanchekesha-sosi FF

unataka kuwa bungua Arusha?

Ujue we konnie wewe jela ilikuharibu,hivi huku unga wa ltd unatafuta nini? We si mtu wa masaki? Achana na bishanga bana,bishanga mutu munene,mutu ya nguvu,atakacho anapata,hivi unajua hapa arusha hotel napata na nani dina?
 
Karibu Bishanga, mi nipo maeneo ya Majengo, kulipozuka moshi majuzi...mbona sikukuona ukija kutoa mkono wa pole?

Mkuu makazi nimehamishia leo kwa sababu maalum za kitaifa.poleni kwa moto.ngoja nijipange kisha nikutafuteni,si unajua kuwa na blanketi chapa binadamu ndo muhimu kwanza?
 
Ahsante mkuu,nahitaji bureau de change ninakowezz kubadilisha dola laki moja kwa siku kwa rate nzuri,ni ipo hiyo?
Halafu arusha wapi dry cleaner mzuri kwa suti zangu? Halafu pia nataka jua restaurant mzuri naweza pata jumbo prawns,octopus na cavier mzuri? Na good cuban cigars ziko arusha?
 
najua unapata dina na Lulu, kumbe wewe ni Huseni maranda?

Back
Top Bottom