Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Aaah samahani sana Bishanga ina maana unadhani Lizy ni mmoja tu?huu sasa umbea,ya Lizzy yametoka wapi?
Sikumaanisha Eliza wa Tegeta......nilimaanisha Lizy Unga LTD
Hahahaaaaa unawapenda majina ya Eliza eeeeeh lol
Uko juu sana
Naona ni Eliza mwanzo mwisho....
Yupo mwingine kuleeeeeee Kibosho ukimalizana na hao