Hodi hodi....wenyewe mpooooooooo?????????

Habari ya kusikitisha ni kwamba hii thread inaonyesha tayari kuna mtu kashaumizwa moyo!! hivihivi kuna mtu umempiga chini??
 
Umetisha Bishanga lol,na mie niko kwenye mchakato wa kuhamia Atown lol!nikishachagua mtaa ntakutafuta tajiri la kihaya c unajua mme wangu ni papaa so kapan ya tajiri ndio mwake!
Dah afadhali...ukija A-Town ntaongea na Rejao nikusaidie Hifadhi ila tu Amyner asilete noma maana panaweza pasitoshe watakapoamua kuunda timu yao mpya na Rejao....
 
Habari ya kusikitisha ni kwamba hii thread inaonyesha tayari kuna mtu kashaumizwa moyo!! hivihivi kuna mtu umempiga chini??
We dogo unamzungumzia Eliza wa Tegeta?
Lol alishaachwa zamani sana..Bishanga ana kitu kipya kinaishi Unga LTD....Dah
 
Hivi bishanga ataweza ngumi kweli wakati kazeeka hadi mifupa yake imakubwa kama imebunguliwa na wadudu wa mahindi?
Akirusha ngumi anakuachia mkono mzima.

Afu usimuone, ngozi inavutika kama jojo.

Hujambo lakini?

Hahahahaha!x mke mwenza kwa hili lzm unlipe,yani umenichekesha mpaka konda anaomba naye asome ajue nacheka nn!mbona wamtenda ivo bishanga lol!
 
Dah afadhali...ukija A-Town ntaongea na Rejao nikusaidie Hifadhi ila tu Amyner asilete noma maana panaweza pasitoshe watakapoamua kuunda timu yao mpya na Rejao....

Shem ww unavomjua mme wangu ni wa kuniacha mpaka nitafutiwe hifadhi jaman!Atown ana mahekalu ni ishu ya kuchagua mtaa tu!alafu shem kauli hizo ucje chezea makofi ya rejao alafu Amy akakutupia cha mbavu lol!
 
CAnta upo momie?
 
Hahahahaha!x mke mwenza kwa hili lzm unlipe,yani umenichekesha mpaka konda anaomba naye asome ajue nacheka nn!mbona wamtenda ivo bishanga lol!
wivu tu unamsumbua konnie,alitaka nihamie kwake wakati hana makazi maalum(rejea profile yake)
 
jamani wenyeji wa unga ltd mbona hamjitokezi kwenye uzi huu,upweke unaniuaaaaaaaaaaaaaaa nitakula wapi nitalala wapi mtoto wa Abashaija mie?
 
Back
Top Bottom