Hodi hodi....wenyewe mpooooooooo?????????

Hivi bishanga ataweza ngumi kweli wakati kazeeka hadi mifupa yake imakubwa kama imebunguliwa na wadudu wa mahindi?
Akirusha ngumi anakuachia mkono mzima.

Afu usimuone, ngozi inavutika kama jojo.

Hujambo lakini?

Mweh B wa watu.... hahahahaha ulivyomvua nguo lol

Haki ya mama sitaingia kwenye malani na wewe ...

Mtu mzima nipo poa sana jamani.
 
Hivi bishanga ataweza ngumi kweli wakati kazeeka hadi mifupa yake imakubwa kama imebunguliwa na wadudu wa mahindi?
Akirusha ngumi anakuachia mkono mzima.

Afu usimuone, ngozi inavutika kama jojo.

Hujambo lakini?
we konnie na huyo chaliii wako gwalu nawaangalia tu......dawa yenu iko jikoni....
 
Ah we kwisha habari yako...

Hapo namshtua Saint Ivuga akumwagie kitu cha Arusha, afu utatukuta ViaVia na Kong..

Sijhui hata kama utaweza kurusha japo konde hahahahaha
 
Wee Rick, mbona kibuzi chako ki Amyner kimetoka na Sugar dady Bishanga mie sikusema kitu?
Ushakunaku nimeanza lini?
Weweweweeeeeeeeeee
Haiwezekani kwa bibie kutoka na Bishanga kwa kuwa anawajua akiwa na Bishanga atakuwa nyumba ndogo ya 12 wakati Lizy ni ya 11....Lol
Jamaa yuko juu sana
 
huu sasa umbea,ya Lizzy yametoka wapi?
 
Ah we kwisha habari yako...

Hapo namshtua Saint Ivuga akumwagie kitu cha Arusha, afu utatukuta ViaVia na Kong..

Sijhui hata kama utaweza kurusha japo konde hahahahaha
watu ws A town wala msikonde,bishanga sina gharama,shida yangu nifanyieni mpango ninunue shamba la burka nataka nijenge hapo a mansion with a private golf course,spool,tennis court na helipad,nikitaka kutembea unga wa ltd nafikia hapo tajiri la kihaya kudadadadeki.
 
Umetisha Bishanga lol,na mie niko kwenye mchakato wa kuhamia Atown lol!nikishachagua mtaa ntakutafuta tajiri la kihaya c unajua mme wangu ni papaa so kapan ya tajiri ndio mwake!
 
Umepata Kiseyeye?
Mbona unaweweseka mchana kweupe?

Back
Top Bottom