Hodi hodi....wenyewe mpooooooooo?????????

Hodi hodi....wenyewe mpooooooooo?????????

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,079
Jamani tupeni macho hapo juu kulia mwa avatar yangu,mwenzenu nimebadili makazi(location).
Wenyeji jamani mpooooooooooooooooooooo??????????????????????
 
Hahahahahaaaa umehamia kwa Lizy?
Lol
Kunani tena jamani au ndo mambo hadharani?
 
Hahahaaaa Bishanga umekamatika kwa mtoto wa Mjini.....
Hapa lazma usahau Bukoba....
Karibu sana kwa wajanja....Lol Hongera sana
B-52....location A TOWN....mmmmmhhhh bishanga ntapona kweli?
 
Hahhaaaa ntasaidia kukupa usalama usijali....mbaya location ingekuwa Unga Ltd
teh
mkuu isije ikawa Unga ltd naingilia anga za watu!Embu nisaidie unitafutie taarifa za kiintelijensia kamanda!
 
Ha ha ha ha, kweli nimeamini wanga hauna maana mbele ya protein.
 
mkuu isije ikawa Unga ltd naingilia anga za watu!Embu nisaidie unitafutie taarifa za kiintelijensia kamanda!
Ok pouwa ngoja ntakujulisha mida fulani ngoja niingie mitaa ya U Ltd kwa shemejiiiiiiiiiiii km kuna noma itanidi uhamie mtaa mmoja unaitwa Esso
 
Ok pouwa ngoja ntakujulisha mida fulani ngoja niingie mitaa ya U Ltd kwa shemejiiiiiiiiiiii km kuna noma itanidi uhamie mtaa mmoja unaitwa Esso
nichekie kabisa na bei za maholi ya harusi kamanda!
 
Back
Top Bottom