Hahahaaa mwambie aombe msaada kwa Nyani Ngabu kama hali ni mbaya sana ingawa na haka Kanyani kanakutaka sana lol uko tayari kupendwa na Nyani?Bishanga ananigwaya akiniona tu anasepa nimemfirisi nimemwambia mkono mtupu haulambwi yupo mgodini anahaha kusaka mahela
Anakuja kichwa kichwa na sifa ndogondogo eeeh?rafiki kumbe unalijua hili, asante sana kwa kunisaaidia........
anaweza akashangaa nikamgharamia kila kitu na hako kamgodi kake...... chezeya sisi yeye?
Hahahaaa mwambie aombe msaada kwa Nyani Ngabu kama hali ni mbaya sana ingawa na haka Kanyani kanakutaka sana lol uko tayari kupendwa na Nyani?
Hahahaaaa ngoja kwanza aongeze juhudi ya kubeba maboksi maana Hizo safari sio mchezo lolsitaki mtu awe na mme mwenza ila kama atahakikisha safari za uswisi kila week basi atume barua ya maombi
Hahahaaaa ngoja kwanza aongeze juhudi ya kubeba maboksi maana Hizo safari sio mchezo lol
Nasikia Bishanga anataka kuanzisha shamba la mihogo kule Ikwiriri ni kweli?
labda aanzishe kilimo cha majungu hana mtaji
Hahahaaaa kataa mpenzi wangu.
Halafu nataka tufungue ukurasa wetu mpya wa mapenzi ya dhati kuanzia leo jioni....tuachane na akina TANMO na Amyner
Hope unajua nakupenda sana basi tu kaka yako moto2012 alileta chenga.
Nimeongea na dada yako snowhite kanambia unahitaji faraja ya kweli na kwa kuwa nimekuwa kiumbe kipya ntakufaa sana!
Acha kuzunguka njoo na jibu la Yes!
wewe bwana najua teja anapita sana hapa na ameshakukariri, usitake mwenzio niuanze mwaka vibaya.....Hawezi kusoma bana...!
We siunajua ninavyokupenda FP ?
Mbona unataka niuanze mwaka vibaya?
Come to my world love!
umeona eeh!Anakuja kichwa kichwa na sifa ndogondogo eeeh?
Au hajui hata Fast Jet ni yako?
Huna njaa mama Ila nakufa kwa ajili yako...kubali basi FP wangu
salamu zimefika mchumba wa zamani, lol!Arifu mbona unatongoza huku unajihami?
Anyway, Kila la Heri kwenye Mtongozo wako. Na heri ya Mwaka Mpya...
Msalimie FP
Asprin aliweka poni kale kalaputop ili apate nauli ya kwenda na kurudi kwao huko rombo,
sasa anahaha kusaka hela kwa njia yoyote iwe halali au haramu ili aweze kuwa hewani tena.
akuuuuu, nilishajikatalia mapemaaaaaaaa, cha kwenda segerea kwa mada kesi nini?Yaani Erickb52 huyu babu zumbemkuu na babu Asprin lao moja, nimeshtukia baada ya zumbemkuu kuja na kuanza kuomba apewe wajukuu awalee, mara akasema baba Asprin amechoka sasa na leo nakutana na thread ya babu Asprin akisema ati anatafuta mtu wa kumkabidhi wajukuu wa kulea.... hebu ngoja nimuulize FP kama yupo tayari kulelewa na kibabi zumbemkuu
akuuuuu, nilishajikatalia mapemaaaaaaaa, cha kwenda segerea kwa mada kesi nini?
umeona eeehh! eti mwenyewe anajitutumua kwa kusema kuwa ng'ombe hazeeki maini, lol!Ha ha haaaaa! Afadhali umesema mwenyewe niliogopa kuusemea moyo..... mara babu anapata heart attack.... mweee! ungeeleza aisee
measkron usidharau uchakavu wa mahakama, teh teh teh! embu nisaidie kunipigia chapuo kwa huyo binti FP aisee.., ntakutafutia zawadi...Yaani Erickb52 huyu babu zumbemkuu na babu Asprin lao moja, nimeshtukia baada ya zumbemkuu kuja na kuanza kuomba apewe wajukuu awalee, mara akasema baba Asprin amechoka sasa na leo nakutana na thread ya babu Asprin akisema ati anatafuta mtu wa kumkabidhi wajukuu wa kulea.... hebu ngoja nimuulize FP kama yupo tayari kulelewa na kibabi zumbemkuu