Hodi hodi humu.....

Hodi hodi humu.....

Karibu zumbemkuu ila tu kuwa makini na mabinti wa humu jukwaani. Mwenzio siku hizi kwenda Mbezi beach lazima nizungukie Ubungo hata kama natokea Upanga.
Chezea Kino Clain wewe!!
 
Last edited by a moderator:
zumbemkuu hivi ulimaliza kulipa lile deni la zamani au nalo umehama halo nakufahamu weye kwa kukopa ndo mwenyewe au umekua siku hizi.
hahahahaha! Mamndenyi lile deni dada AshaDii alisema atamalizia kulilipa, hivi hajakupa bado? AshaDii tafadhali uje ujibu hapa, vinginevyo ni mention ili nipate hela, loh!
 
Last edited by a moderator:
Karibuuuuuu sanaaaa
swadaktaaaa! wacha wee, kabinti wewe Arabela ? etieee? loh! kama babu hajakukagua usikubali akukague tena coz yeye anatumia vifaa vya analojia kukagulia mimi natumia digitali...
 
Last edited by a moderator:
rafiki tuheshimiane......... huyu mzee mimi nitampeleka wapi? unataka nipate mada kesi?
hehehehehehehe! FP ng'ombe hazeeki maini ati, njoo nikukagua kwa kutumia vifaa vipya vya digitali, etieeee?
 
Last edited by a moderator:
hehehehehehehe! FP ng'ombe hazeeki maini ati, njoo nikukagua kwa kutumia vifaa vipya vya digitali, etieeee?
we weeeeeee, mimi sitaki kabisa mada kesi.... mambo ya kuambiana sijui maini hayazeeki ni kuuza chai tu.........
labda tuambiane tu I lavu yuuu ai lavu yuu tuuu, hayo ya kukaguana naogopa mie
 
mkuu Erickb52 mifupa haizeeki aisee, teh teh teh! halafu ninamiliki migodi ya mawe kule mererani, atajileta tu, hahahahaha
Hahahaa hao wadada hawatidhiki na kamgodi kako ka Mererani....wao wanamiliki Migodi South Africa na mahotel makubwa kule Marekani na Ulaya!
Chezeya The secretary na FP ? Muulize Bishanga anawajua vizuri
 
Last edited by a moderator:
mkuu Erickb52 mifupa haizeeki aisee, teh teh teh! halafu ninamiliki migodi ya mawe kule mererani, atajileta tu, hahahahaha
he heeeeeeee, hizo sera muuzie lara 1, mimi wala sihusiani na faranga....... nikikudondokea nimekudondokea tu......as simple as that
 
Last edited by a moderator:
umeona eeeh! nani anataka kumjoin lulu kule segerea!
Hahahaaaa kataa mpenzi wangu.
Halafu nataka tufungue ukurasa wetu mpya wa mapenzi ya dhati kuanzia leo jioni....tuachane na akina TANMO na Amyner
Hope unajua nakupenda sana basi tu kaka yako moto2012 alileta chenga.
Nimeongea na dada yako snowhite kanambia unahitaji faraja ya kweli na kwa kuwa nimekuwa kiumbe kipya ntakufaa sana!
Acha kuzunguka njoo na jibu la Yes!
 
Last edited by a moderator:
he heeeeeeee, hizo sera muuzie @lara1 , mimi wala sihusiani na faranga....... nikikudondokea nimekudondokea tu......as simple as that
Heheheee halafu anaanza kuleta jeuri ya pesa lol hajui huku ndiko kwenyewe?
Mapedeshee na ma binti wenye mapesa wako Chit Chat lol
 
Hahahaa hao wadada hawatidhiki na kamgodi kako ka Mererani....wao wanamiliki Migodi South Africa na mahotel makubwa kule Marekani na Ulaya!
Chezeya The secretary na FP ? Muulize Bishanga anawajua vizuri
rafiki kumbe unalijua hili, asante sana kwa kunisaaidia........
anaweza akashangaa nikamgharamia kila kitu na hako kamgodi kake...... chezeya sisi yeye?
 
Heheheee halafu anaanza kuleta jeuri ya pesa lol hajui huku ndiko kwenyewe?
Mapedeshee na ma binti wenye mapesa wako Chit Chat lol
umeona eeehhh!
nani anasubiri kamgodi ka mererani kateme bwana.......
mambo yako huku......... unalala tu home mameneja huko waliko unaletewa bank slip tu kwa raha zako
 
Hahahaa hao wadada hawatidhiki na kamgodi kako ka Mererani....wao wanamiliki Migodi South Africa na mahotel makubwa kule Marekani na Ulaya!
Chezeya The secretary na FP ? Muulize Bishanga anawajua vizuri

Bishanga ananigwaya akiniona tu anasepa nimemfirisi nimemwambia mkono mtupu haulambwi yupo mgodini anahaha kusaka mahela
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa kataa mpenzi wangu.
Halafu nataka tufungue ukurasa wetu mpya wa mapenzi ya dhati kuanzia leo jioni....tuachane na akina TANMO na Amyner
Hope unajua nakupenda sana basi tu kaka yako moto2012 alileta chenga.
Nimeongea na dada yako snowhite kanambia unahitaji faraja ya kweli na kwa kuwa nimekuwa kiumbe kipya ntakufaa sana!
Acha kuzunguka njoo na jibu la Yes!
wewe wewe.....
naomba Teja asisome hapa..... nitakuwa matatani mwenzio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom