Hodi hodi humu.....

Hodi hodi humu.....

kuna zumbe wa kike siku hizi. Chezeiya globalaizesheni?
hahahahahahahaah! loh hii kali, King'asti nakumbuka ulikuwa miongoni mwa watu walionipokea hapa JF, huna kabinti aisee kaje nikape tution ya hesabu?
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahaah! loh hii kali, King'asti nakumbuka ulikuwa miongoni mwa watu walionipokea hapa JF, huna kabinti aisee kaje nikape tution ya hesabu?

Wewe zumbemkuu yaani ufindishe hesabu wewe, ufanye Maombi wewe! Duh!! Hii kiboko, Aisee shosti King'asti huyu jamaa asisogee karibu na mabinti manake anaonekana highly malignant Kama ni tumor tutasema poorly differentiated yaani ana- infiltrate hata Kama umevaa nguo...lol
 
hivi huna habari siku hizi wachungaji pia huwapa mabinti na tution za hesabu? uliza uambiwe....
halafu nimesikia tetesi tetesi kuwa babu Asprin amezeeka sana anatafuta mrithi wa kukagua mabinti, nasikia ananitajataja sana huenda anataka aniachie urithi loh!
 
Last edited by a moderator:
Asprin aliweka poni kale kalaputop ili apate nauli ya kwenda na kurudi kwao huko rombo,
sasa anahaha kusaka hela kwa njia yoyote iwe halali au haramu ili aweze kuwa hewani tena.

Watoto wanafanyiwa maombi na mama yao mdogo Madame B, kwa wengine hadi babu Asprin atoe kibali
 
Last edited by a moderator:
zumbemkuu hivi ulimaliza kulipa lile deni la zamani au nalo umehama halo nakufahamu weye kwa kukopa ndo mwenyewe au umekua siku hizi.

jamani wenyeji wa humu Chit-Chat naombeni hifadhi walau hata ya wiki moja hadi huu mwaka uishe, nimetokea kule jukwaa la stress kuna wale vijana (siku hizi wanaitwa masalia) wameniudhi sana...
yule babu wa jukwaa hili mwenye vijukuu vingivingi ajitokeze tafadhali walau anipatie hata kajukuu kamoja tu kakustorisha nako... sina makuu mgosi chochote ntakachoandaliwa ntakula tu....
Hodi tena....
 
Last edited by a moderator:
new_year_wallpaper_2013-5.jpg

Good morning Mamndenyi! Nakutakia mwaka mwema 2013.
 
Pole sana babu zumbemkuu, karibu jukwaa lisilo na stress kabisa, huku kuna babu Asprin ila kwa sasa yupo Rombo mamsera anakula sikukuu ya xmas na mwaka mpya, kuna bepari la kihaya humu linaitwa Bishanga huwa na mbwembwe sana atakuja kukufungulia champaign ya ukaribisho. Kuuna vijana wana fujo sana hapa kina Erickb52, Filipo, Arushaone, Baba V, manoah, St. Paka Mweusi. Kina dada wenye fujo sana humu ni Kongosho, marejesho, Preta, Madame B, Arabela. Mimi nimeolewa nina mume wangu kipenzi watu8 na mungu ametujalia watoto beibe nasty, charminglady, sweetlady, WiseLady na wana kaka yao aitwae Davie S.M. Sote tunakukaribisha sana
Heheheheeeee sasa measkron niko natafakari huyu tumpe mjukuu gani nimeshindwa....hivi unadhani FP atamfaa zumbemkuu ?
 
Last edited by a moderator:
hivi huna habari siku hizi wachungaji pia huwapa mabinti na tution za hesabu? uliza uambiwe....
halafu nimesikia tetesi tetesi kuwa babu Asprin amezeeka sana anatafuta mrithi wa kukagua mabinti, nasikia ananitajataja sana huenda anataka aniachie urithi loh!
We zumbemkuu utawaweza mabinti wa humu?
Heheheee wako vizuri yan ukipewa umkague mmoja lazma uresign kabla hujamaliza kazi....watakupeleka mbio tena wanakujaga wote kusimamia ukaguzi wa mwenzao.
Kuna kajamaa kanaitwa platozoom kalipewa ukagizi na Asprin hadi leo kamepotea yan kanachunguliaga tu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom