zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,362
- 9,882
jamani wenyeji wa humu Chit-Chat naombeni hifadhi walau hata ya wiki moja hadi huu mwaka uishe, nimetokea kule jukwaa la stress kuna wale vijana (siku hizi wanaitwa masalia) wameniudhi sana...
yule babu wa jukwaa hili mwenye vijukuu vingivingi ajitokeze tafadhali walau anipatie hata kajukuu kamoja tu kakustorisha nako... sina makuu mgosi chochote ntakachoandaliwa ntakula tu....
Hodi tena....