Hodi hodi humu.....

Hodi hodi humu.....

zumbemkuu nimemwona karudi kule kwenye stress anamwambia Zitto hatamsamehe ni bora yeye na panya wake wasisalie, lol! mitungi imemshinda anaamua kwenda kujisalimisha bora apotee na panya wake.
chezeya huku stress free kuna wenyewe
halafu weee, kwanini unachungulia wakubwa wakioga?
 
wee ringa tu, utatafuta namba zangu za simu hadi uvimbe nywele, ntakuwa nakuchora tu kwenye luninga ya asili...hadi uanzishe uzi hapahapa chitchat wakunitafuta ndo ntajitokeza loh!

hahahahaha! mkuu majibu utayapata live hapahapa jukwaaani...
ha haaaa, you wish, lol!
 
lol! hahahahaha nasikia kila ukichungulia mtungini humuoni mrembo FP alias binti mwenye maringo bali unaona njemba za ajabu ajabu lol! Mtungi wako uko salama lakini au [B FP kishacheza nao!?[/B] :majani7::majani7::majani7:

Last edited by a moderator:

aiseee! umenifumbua...
kuna kitu huyu binti ananichezea... ngoja nitulie, nikimgundua atakoma na mimi...
 
rafiki pamoja na maringo yangu lakini "nimeaga" kwetu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ha haaaaaaaaa, hukufunga mlango babu....
uwe unabisha hodi basi, hujui nilishaaga kuwa sirudi kule kwa wiki nzima hadi niuone mwaka! ntaonekana muongo..
halafu mbona mitambo yangu inasumbua? umeifanya nini? ole wako nigundue kuwa umeikorofisha... let me work on it, naongea kisambaa kuonyesha msisitizo...
 
aiseee! umenifumbua...
kuna kitu huyu binti ananichezea... ngoja nitulie, nikimgundua atakoma na mimi...
ha ha haaaaaaa, omba msamaha tu babu.... nimeaga kwetu na mimi, unafikiri utanipata kirahisi rahisi tu?
 
uwe unabisha hodi basi, hujui nilishaaga kuwa sirudi kule kwa wiki nzima hadi niuone mwaka! ntaonekana muongo..
halafu mbona mitambo yangu inasumbua? umeifanya nini? ole wako nigundue kuwa umeikorofisha... let me work on it, naongea kisambaa kuonyesha msisitizo...
ha haaaaaaaa, yaani ufanye kazi ya ziada kuona ninachofanya, nimeaga kwetu ati.....
sawa babu nitakuwa napiga hodi next time. mbaya sana babu kuonekana muongo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
[h=4]alright! naona ndugu yangu yupo hapa, njoo unisaidie haka kabinti kanakoitwa FP kamekorofisha mitambo yangu.
Topic Information[/h][h=5]Users Browsing this Topic[/h]There are currently 8 users browsing this thread. (3 members and 5 guests)

Last edited by a moderator:
alright! naona ndugu yangu yupo hapa, njoo unisaidie haka kabinti kanakoitwa FP kamekorofisha mitambo yangu.
Topic Information

Users Browsing this Topic

There are currently 8 users browsing this thread. (3 members and 5 guests)

ha ha haaaaaaaaa, ungejaribu mamluki toka Kigoma....... huko Tanga si ndo mnakaribia kushindwa?
 
Mkuu FP zumbemkuu anaona giza tu kwenye mtungi wake lol!
halafu anatafuta mamluki wa kumsaidia toka Tanga huko huko....
mi namshauri akatafute Kigoma ambako hata panya hawabaki kwenye nyumba.... haoni kama huko ndo watakuwa wakali sana? anaweza kuninasa mara moja, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ha ha haaaaaaaaa, ungejaribu mamluki toka Kigoma....... huko Tanga si ndo mnakaribia kushindwa?
aisee hapo kwenye red ndo unazidi kuharibu kabisa.......
embu ngoja niende kwnye kikao cha wazee wenzangu nikaelezee na hii kesi.....
 
Anaweza kukunasa au mtanasana!? LoL!!! Hahahaha!

halafu anatafuta mamluki wa kumsaidia toka Tanga huko huko....
mi namshauri akatafute Kigoma ambako hata panya hawabaki kwenye nyumba.... haoni kama huko ndo watakuwa wakali sana? anaweza kuninasa mara moja, lol!
 
Anaweza kukunasa au mtanasana!? LoL!!! Hahahaha!
ha haaaa, Kigoma ndo kunatokea ule utaalamu wa kunasana? sijui...... mimi najua tu ukipewa huko ujue mbaya wako hata panya hawatabaki nyumbani kwake, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
aisee hapo kwenye red ndo unazidi kuharibu kabisa.......
embu ngoja niende kwnye kikao cha wazee wenzangu nikaelezee na hii kesi.....
ha haaaaaaaa, kwa sababu umegoma kuwasamehe watu wa Kigoma?
 
wee ntake radhi,mie sio mdini wala mkabila, mwafrika halisi ndo mimi, kuoga siku ya xmass tu.
kwani wee hujui watu wa huko wananunulia wapi sumu ya panya?? uliza uambiwe... teh teh teh teh teh! FP unajua bado dakika 40 tu?
 
Last edited by a moderator:
wee ntake radhi,mie sio mdini wala mkabila, mwafrika halisi ndo mimi, kuoga siku ya xmass tu.
kwani wee hujui watu wa huko wananunulia wapi sumu ya panya?? uliza uambiwe... teh teh teh teh teh! FP unajua bado dakika 40 tu?
ndo nazisubiria hizo dk 40 kwa hamu.....
happy new year babu......
niku-wish kabisa maana huo muda unaweza kusahaulika, lol!
 
ewaaaaaa!
mitambo inaanza kufanya kazi zake sasa...
hepi nyuu ia na wewe pia,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom