nakuhakikishia rafiki huyu babu akitumia tunguri hata panya hawatasalia nyumbani kwake..... chezeya kuaga kwenu wewe
umeona eeeh rafiki!lol! atajileta mwenyewe mpaka kwako mhhhhh! jiandae kupata order ya mitungi mingi 2013 maana inaelekea huhitaji kufanya lolote zaidi ya kuchungulia mtungini :whistle::whistle::whistle:
niliisoma rafiki.....Hahahahah lol! Binti mwenye maringo ya UKWEE lol! kumbe uliisoma ile lol! nimecheka sana....Chezeya Binti mwenye maringo weye!!!! alias @FP....Nyumba itabaki na sisimizi tu lol!
umeona eeeh rafiki!
mwambie pia kuna kusubiria kwa miaka 14, sijui ataweza, lol!
ha haaaaaaa, binti lazima uringe ati........lol! sijui kama ataweza hilo la kukaa kwenye foleni ya miaka 14 na zaidi...mtoto anazaliwa mpaka anamaliza shule ya msingi na kuanza sekondari njemba inasubiri tu!!!! Kweli wewe ni binti mwenye maringo!!!! :majani7::majani7::majani7:
ha haaaaaaa, binti lazima uringe ati........
zumbemkuu nimemwona karudi kule kwenye stress anamwambia Zitto hatamsamehe ni bora yeye na panya wake wasisalie, lol! mitungi imemshinda anaamua kwenda kujisalimisha bora apotee na panya wake.KURINGA muhimu banaaa asikwambie mtu Mkuu @FP... zumbemkuu kapotelea wapi? au ndio kaanza rasmi zoezi la kuchungulia mtungini!? lol! ili amuone binti mwenye maringo? utajiju!!!!
ha haaaaaaa, binti lazima uringe ati........
hahahahaha! mkuu majibu utayapata live hapahapa jukwaaani...KURINGA muhimu banaaa asikwambie mtu Mkuu @FP... zumbemkuu kapotelea wapi? au ndio kaanza rasmi zoezi la kuchungulia mtungini!? lol! ili amuone binti mwenye maringo? utajiju!!!!