Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Mkuu hiyo kitu ni ngumu sana kuelewa!
Last edited by a moderator:
Yaliyopita si ndwele..........!
Mwendawazimu haponi mpendwa, anapata nafuu tu!
kwahiyo unataka kuniambiaje?
kam zis wey, achana na huyo cold guy!
Na kweli hata mie naonaMi niko fiti ki-martial arts,Boxing,Taikondo,Uganga hapa haupiti hata uwe shetani huniwezi..mtafte wa kunipoteza...
Smol hauz??????
Ilikuwa leo au ni kesho??
ukihamishwa guest na kupelekwa homu basi ujue shughuli ndio inaanzia hapo utakula baikoko mpaka utakimbia bila kuaga.
Nalog off
Na kweli hata mie naona
Chezeya hiyo misuli!!!! ni hatariiiii
Nashinda nimepakatwa hata kutoka njee tena najisikia uvivu..
Kuna siku utanitamani lakini utakuta vivian amejaa! Kilio tu kitakuhusu!
nikutamani??? Nikutamani mara ngapi???? Yeah nakutamani, nakutamani ................... lione!