Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Eewaaah!!!! Now you're coming!
Kuja chumba cha ukaguzi utanikuta na ninakuhakikishia you'll never regret!
Sidanganyiki ng'ooo!! Tena temana na mimi dogo utaumiaa aalaaah!!!!!!
Eewaaah!!!! Now you're coming!
Kuja chumba cha ukaguzi utanikuta na ninakuhakikishia you'll never regret!
Mi nnayo!
Mwanyasi una miatatu ya noti? Naomba chenji!
Ukizingatia nina mashine ya kutengeneza noti halali kwa malipo ya........! usijali Lady doctor kwani wataka moja tu?
Hata Filipo nilimpatia moja
Umeona eeh
Ha ha ha haaaaa, yaani nimecheka mpaka basi.......uko mapumziko jilie raha zako mwaya
Sijambo,miss u
Nzuri mpendwa...my wife wako hajambo?Sijambo my dia! Kuna wakati nashindwa kujizuia!!! Habari yako mpendwa!
Vipi maendeleo ya huko Tanga?
Nalong off
Nzuri mpendwa...my wife wako hajambo?
Usicheke sana wengine watajua..