Hodi hodi hodi Wana Tanga...

Hodi hodi hodi Wana Tanga...

You are my best friend, my shoulder to lean on, the one person I know I can count on, you're the love of my life, you're my one and only, you're my everything and most important you, you Lady doctor you are my wife!!!!!

I love you!

thank you for loving me darling, nakupenda sana na nitaendelea kukupenda daima mume wangu!
 
Last edited by a moderator:
Alijifanya..."Ooooh, naenda kwa jamaangu yupo hapo jirani na jeshini"
Mara nilikuwa kule karibu na chuoni kwa akina Arabela,...kumbe jamaa alishamalizwa na maji ya ukili!

Unachezea maji ya ukili, siku hizi anakuja kimyakimya, juzi nimemkuta nyumani hotel wapo na.....! anasema kaja kwa dharura
 
Last edited by a moderator:
ukihamishwa guest na kupelekwa homu basi ujue shughuli ndio inaanzia hapo utakula baikoko mpaka utakimbia bila kuaga.
Nalog off
 
Unachezea maji ya ukili, siku hizi anakuja kimyakimya, juzi nimemkuta nyumani hotel wapo na.....! anasema kaja kwa dharura

Hah hah hah haaaa! Mkuu na wewe unanifanyia "intelijensia!!?" Ninatekeleza mipango yangu na Arabela Mkuu, usishangae kuniona ona Tanga!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom