Hodi hodi hodi Wana Tanga...

Hodi hodi hodi Wana Tanga...

Oohoooh!!!? Umenikumbusha Smile alivyokuchenchia ulipoenda kucheza na yule Madame B wa Nyumbani hotel!
uliona eeeh ila wale mashombeshombe ya pale nyumbani wallah Arushaone kidogo aage jiji la arusha! huyu bwana next time anaitaji uangalizi wa kutosha tukodi hata mgambo ..naomba liwepo kwenye budget ya safari kabisa
 
Last edited by a moderator:

Siku hizi nimekuwa teja kwa Lady doctor tu hasa baada ya kuvishana hayo makitu hapo chini.

images

​
 
Nakuonea huruma sana! Siku utakapongundua, utanena kwa lugha ambayo sote hatutaielewa!

Wewe nawe una wivu uliopitiliza.

Mbaya zaidi umeshasajili kampuni yako ya majungu pale BRELA.

Tutakoma mwaka huu.

Nakujulisha tu kuwa wewe na Bishanga hamtoweza kuivunja ndoa yangu na Lady doctor kamwe!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
uliona eeeh ila wale mashombeshombe ya pale nyumbani wallah Arushaone kidogo aage jiji la arusha! huyu bwana next time anaitaji uangalizi wa kutosha tukodi hata mgambo ..naomba liwepo kwenye budget ya safari kabisa

Nikimwambia Lady doctor anadhani majungu!

Smile embu tutete kidogo, nna jambo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom