na chozi la kwi kwi lol chumvini ilileta taabu sana
cc. Werawera
Kijana adabu imekuisha kichwani kwa penzi la kichina kutoka kwa Lady doctor hadi huoni tena mvi za Babu DC. Nitamwambia Dark City wakae kama kamati na CHUAKACHARA wakufunze adabu!
Zongo mbona cha mtoto atatupiwa jini moja tu akili zake zimkae sawasawa!!
Kijana adabu imekuisha kichwani kwa penzi la kichina kutoka kwa Lady doctor hadi huoni tena mvi za Babu DC. Nitamwambia Dark City wakae kama kamati na CHUAKACHARA wakufunze adabu!
Hah hah hah haaa! Jamani umesahau nilikuwa na wife! lol..
Kijana adabu imekuisha kichwani kwa penzi la kichina kutoka kwa Lady doctor hadi huoni tena mvi za Babu DC. Nitamwambia Dark City wakae kama kamati na CHUAKACHARA wakufunze adabu!
Hata mimi nimeshangaa mdogo wangu...
Hapa inabidi kushikilia maneno ili jamaa asijekumwagiwa laana kali..
Babu DC!!