zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Taratibu naingia ndani ya jiji lenye mbwembwe nyingi.....
......waja leo kuondoka majaliwa...
......waja leo kuondoka majaliwa...
Angalia usije hamishwa gesti ukapelekwa hm, ukaogeshwa na chicha la nazi huku umekalishwa kwenye kigoda chenye nakshi na maji yametiwa iliki na jasmini...!
Wallah huchomoki.. utaniambia
Hizi huduma ndio zinatufaa watu kama sisi,nipo tanga kimapumziko
Hahahaaaaa haya bwana ila naona bado hujazipata la sivyo usingekuwa jamvini muda huu
Angalia usije hamishwa gesti ukapelekwa hm, ukaogeshwa na chicha la nazi huku umekalishwa kwenye kigoda chenye nakshi na maji yametiwa iliki na jasmini...!
Wallah huchomoki.. utaniambia
Kweli kabisa Katibu....
Tuko tayari mkuu...
Babu DC!!