Hodi hodi hodi Wana Tanga...

Hodi hodi hodi Wana Tanga...

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hivi wewe uliahidi nini? kama ninayo nikupatie upeleke, ila Madame B aliahidi atawapa nanilii so itabidi apeleke mwenyewe
Sio vingi ni bata mzee,miguu ya mende na kuku aliyenaniliwa akiwa kifaranga
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa Arabela huyu Filipo bado wanapendana sana na mkewe mpya viviana hasa baada ya kutemwa na yule my wife wake wa awali kama unamkumbuka alikuwa anaitwa marejesho ambaye ni mke halali wa St. Paka Mweusi kwa sasa.

CC Mwenyekiti Erickb52

Ahsante kwa umbea huu, hata sikuwa na taarifa, desemba mje tena Pangani ili viviana akae katikati yangu na Filipo, tukifika chumvini nikapige picha chumvi (kibao) na simu ya viviana.
nb: marejesho + Filipo = ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom