Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
Ngoja cku isonge halafu kesho Nipe mrejeshoMkuu nimeingia usiku nimefikia hoteli fulan...pemben yangu nina mtoto wa kibondei chotara fulani hv...
Ngoja cku isonge halafu kesho Nipe mrejeshoMkuu nimeingia usiku nimefikia hoteli fulan...pemben yangu nina mtoto wa kibondei chotara fulani hv...
Zongo mbona cha mtoto atatupiwa jini moja tu akili zake zimkae sawasawa!!Ukiwa huko Tanga inabidi utulize ule ubabe wako...maana ukijifanya mjuaji huko utabwa zongo
Alijifanya..."Ooooh, naenda kwa jamaangu yupo hapo jirani na jeshini"Hivi si ulirudi kesho yake ukawa hutaki hata kusikia ndiofu
Alijifanya..."Ooooh, naenda kwa jamaangu yupo hapo jirani na jeshini"
Mara nilikuwa kule karibu na chuoni kwa akina Arabela,...kumbe jamaa alishamalizwa na maji ya ukili!
Taratibu naingia ndani ya jiji lenye mbwembwe nyingi.....
......waja leo kuondoka majaliwa...
Alijifanya..."Ooooh, naenda kwa jamaangu yupo hapo jirani na jeshini"
Mara nilikuwa kule karibu na chuoni kwa akina Arabela,...kumbe jamaa alishamalizwa na maji ya ukili!
hah hah hah haa!! Umesahau ulivyokuwa unamwomba sister Maria Salome akupe "maji ya ukili" ukaishia kupata "chips maharagwe!!?"
Alijifanya..."Ooooh, naenda kwa jamaangu yupo hapo jirani na jeshini"
Mara nilikuwa kule karibu na chuoni kwa akina Arabela,...kumbe jamaa alishamalizwa na maji ya ukili!
sijakuelewe hapa shem unamaanisha nini vile?
Ukipitia hizo links utaelewa kilichotokea Tanga.
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/374903-wana-jf-karibuni-tanga.html
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/375668-wanajf-ndani-ya-tanga.html
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/368940-weraaa-weraaa-walioconfirm-safari-ya-tanga.html
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/375974-khaaa-tunahitaji-jf-gym.html
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/377758-arushaone-arejea-arachuga.html
copy: Lady doctor
Ha ha haaaa, jeshi likawa jeeeshiiii.
Akaibuka kesho yake jioniiiiiii
Tanga mchezoo.....!