Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Watanzania utalii unatuharibu tukija kwenye uhalisia wa maisha ni vyema ukienda kutalii ama kuangalia kwenye TV mambo mengine tusiyalete kwenye jamii ni aibu sana
Nilikuwa nimekaa sehemu napata chakula pande za Arusha tulikuwepo wabongo Na colour tofauti zingine za watu sikujua ni wa wapi naweza kusema ni watalii walikuwa
Alikuja mtu mmoja mwafrika sitotaja jinsia yake akaagiza chakula Na nyama, nyama ile nadhani alikuwa ni kuku yule ila sikujua kama broiler ama lag
Kero yangu yule kuku alipo anza kuliwa kelele za mifupa utazani machine ya kokoto mtu anakula mpaka mifupa inabaki unga akianza kuitoa mifupa mdomoni sasa anaingiza mkono afu nyama ina pilipili nyingi muda wote anafanya aaaaah ishhiii aaaaah ishhiii kamasi sasa mpaka macho analia mara akohoe ajipige kifuani
Wale rangi tofauti wamegeuka kumwangalia yeye wamekunja sura kuonesha ile ni kero kwao lakin mbongo yule hakuona haya kabisa
Nilisikia mtu akisema Kwa kiingereza uliona kule wanyama walivyokuwa wanakula akasema ndiyo!!!!!
Tubadilike jamani kwani ukila ukaacha mifupa kuna nini jamani haikupunguzii chochote
Kero sana hii tena inakuja Kwa kasi ipo siku tutaomba mifupa ni aibu kubwa