Hizi tabia ni za wanyama kama fisi

Emma M Bai

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
223
126
Watanzania utalii unatuharibu tukija kwenye uhalisia wa maisha ni vyema ukienda kutalii ama kuangalia kwenye TV mambo mengine tusiyalete kwenye jamii ni aibu sana

Nilikuwa nimekaa sehemu napata chakula pande za Arusha tulikuwepo wabongo Na colour tofauti zingine za watu sikujua ni wa wapi naweza kusema ni watalii walikuwa

Alikuja mtu mmoja mwafrika sitotaja jinsia yake akaagiza chakula Na nyama, nyama ile nadhani alikuwa ni kuku yule ila sikujua kama broiler ama lag

Kero yangu yule kuku alipo anza kuliwa kelele za mifupa utazani machine ya kokoto mtu anakula mpaka mifupa inabaki unga akianza kuitoa mifupa mdomoni sasa anaingiza mkono afu nyama ina pilipili nyingi muda wote anafanya aaaaah ishhiii aaaaah ishhiii kamasi sasa mpaka macho analia mara akohoe ajipige kifuani

Wale rangi tofauti wamegeuka kumwangalia yeye wamekunja sura kuonesha ile ni kero kwao lakin mbongo yule hakuona haya kabisa

Nilisikia mtu akisema Kwa kiingereza uliona kule wanyama walivyokuwa wanakula akasema ndiyo!!!!!

Tubadilike jamani kwani ukila ukaacha mifupa kuna nini jamani haikupunguzii chochote

Kero sana hii tena inakuja Kwa kasi ipo siku tutaomba mifupa ni aibu kubwa
 
Ni makuzi mura.. watu tumekua tunakula ule uroto wa ndani ya mifupa!
 
PESA YAKE MWACHENI ALE KWA KUJINAFASI KILA WATU NA TAMADUNI ZAO UZUNGU WAO WAPELEKE KWAO
Mwingine utamu wa nyama anaupata kwenye mifupa
 
Jamaa hakujiheshimu..
Lakini hao mabeberu kumfananisha na mnyama ni ukuda uliotukuka..
Mimi tungebadirishana majengo ya serikali aiseeh
 
Watanzania utalii unatuharibu tukija kwenye uhalisia wa maisha ni vyema ukienda kutalii ama kuangalia kwenye TV mambo mengine tusiyalete kwenye jamii ni aibu sana

Nilikuwa nimekaa sehemu napata chakula pande za Arusha tulikuwepo wabongo Na colour tofauti zingine za watu sikujua ni wa wapi naweza kusema ni watalii walikuwa

Alikuja mtu mmoja mwafrika sitotaja jinsia yake akaagiza chakula Na nyama, nyama ile nadhani alikuwa ni kuku yule ila sikujua kama broiler ama lag

Kero yangu yule kuku alipo anza kuliwa kelele za mifupa utazani machine ya kokoto mtu anakula mpaka mifupa inabaki unga akianza kuitoa mifupa mdomoni sasa anaingiza mkono afu nyama ina pilipili nyingi muda wote anafanya aaaaah ishhiii aaaaah ishhiii kamasi sasa mpaka macho analia mara akohoe ajipige kifuani

Wale rangi tofauti wamegeuka kumwangalia yeye wamekunja sura kuonesha ile ni kero kwao lakin mbongo yule hakuona haya kabisa

Nilisikia mtu akisema Kwa kiingereza uliona kule wanyama walivyokuwa wanakula akasema ndiyo!!!!!

Tubadilike jamani kwani ukila ukaacha mifupa kuna nini jamani haikupunguzii chochote

Kero sana hii tena inakuja Kwa kasi ipo siku tutaomba mifupa ni aibu kubwa
Huo ndio umbea sasa. Wewe ulitumwa kumuangalia si ungeendelea na yako
 
PESA YAKE MWACHENI ALE KWA KUJINAFASI KILA WATU NA TAMADUNI ZAO UZUNGU WAO WAPELEKE KWAO
Mwingine utamu wa nyama anaupata kwenye mifupa
Hela zenyewe tunazipata kwa shida bado upangiwe namna ya kula
 
Ni tabia mbaya sana kukera wengine nyakati za kula...

Kuna wale pia ambae hunywaga chai kwa mluzi...

Cc: mahondaw
 
Ipo siku tutaomba mifupa? Mbona hilo tusi tushatukanwa na wazungu kuna documentary/ movie inaitwa Darwin's Nightmare itafute uone
 
Back
Top Bottom