Hizi tabia hazivumiliki

🤔🤔🤔Broooo mie sio kosa langu aisee.
Naahidi sitolitamka neno kibao cha mbuzi tena🤐🤐🤐🤐🙌🙌🙌.
 
Pole sana mkuu, kuna mdau amesema uanzishe kilimo cha mboga mboga umuweke huyo shemeji yako naona ni wazo zuri, na kama akishindwa hapo unapata sababu ya kumfukuza akamsaidie mama yake kulima.
 
Huenda ni Mume mwenzio Kwa Jina la Shemeji..
 
Hapo wewe ndio MPUMBAVU
kwani ukimwambia humtaki arudi kwao utapungukiwa nini?
 
Hapo wewe ndio MPUMBAVU
kwani ukimwambia humtako arudi kwao utapungukiwa nini?
Atamwambiaje hamtaki wakati mke wake ndo ana control kila kitu hapo. Tatizo kubwa ni yeye mwenyewe wala sio shemeji yake.
 
Sema usimnyanyase huyo shemeji yako tumia njia za kitaalamu kumuoandoa kwako bila yeye kujua .
 
Miaka 35+ kuishi kwa wazazi ni sawa ila kwa mtu kama shemeji ,mjomba ,kaka sio sawa .

Muitie polisi ili apewe kesi ya kuhujumu uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…