Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,075
- 111,682
Mkuu mimi sitii nenoMkuu yaishe nisamehe 🙌🙌🙌 yote kayataka Half american alinambia una kibao cha nazi.
Aje hapa akiri kunambia huu uzushi.
Mkuu mimi sitii nenoMkuu yaishe nisamehe 🙌🙌🙌 yote kayataka Half american alinambia una kibao cha nazi.
Aje hapa akiri kunambia huu uzushi.
Kwanini uliamua kuoa familia za kimasikini ?.Mke akiamka hakuna zaidi ya kukaa koridorni wakipiga stori habari za familia yao, na umbea wa kutosha.
Kuna Huyu kijana ana 35+ hana kazi, hataki kazi. Mama yao ni mkulima kijijini, akiteseka kwa ajili ya watoto watu wazima kama huyu, wavivu.
Chai inakuwa shida kuipata kwa wakati, kuna muda nalazimika kuingalia kati kwa maneno ya hekima kuhusu kucheleweshana kupata break fast au wakati mwingine naingia mwenyewe kuwaandalia watoto break fast na chai.
Kwa kuwa huwa namsifusifu huyu kijana mke anaona naona kawa kuwaona wakipoteza muda miezi na miezi kijana alipoteza muda nyumbani kwangu.
Kunakila dalili kuwa mama mkwe ameridhika sana Mimi kumlea mwanae wa kiume hapa kwangu..
Ukimshauri afnye biashara anaishia kupoteza mtaji. Anataka aoe hana hata shuka, vijana wa siku hizi wanashida gani wajameni.
Hii yote ni malezi mabaya ya kumdekeza mtoto wa kiume. Madekezo hayo yote sasa yameniangukia Mimi, sometimes nashindwa hata kupata tunda Ili shemeji asisikie migumo.
Uko n roho safi sana ila kubolesha roho yako fungua shamba l kilimo cha mboga mboga na kufuga kuku. Peleka yy uko shamba sw.
Kazi ni kipimo cha utu
Mpokee shemeji yako ukioa jiandae kumpokea mpka bibi wa mkeo,
Half american anazingua mkuu..Mkuu yaishe nisamehe 🙌🙌🙌 yote Kayataka Half american alinambia una kibao cha nazi.
Aje hapa akiri kunambia huu uzushi.
Kudekezwa how ?
Mtafutie kazi ........
Mke aamshwe mapema
Tunda kuliwa kwani mnashea room ? Huna ceiling juu, hakuna mziki ?
Mkeo wakati wa gegedo anapiga kelele au ni wewe ?
Nawewe umemuamini ?Half american anazingua mkuu..
Sasa mi kibao cha nazi cha nini ndani..
Kwanza mkuu mimi hata vyombo sina acheni mambo yenu..
Serious mi niwe na kibao cha nini mkuu wangu hata sijaoa umri huu niache kumiliki PS et nisumbuke na kibao cha kukunia nazi yaani nikae kabisa nianze kukuna nazi
Wakuu nitakichafua sasa hivi mi najiweza mjue.. hizi zarau ...
Mi kibao cha nazi cha nini kwanza...
Kosugi safari hii umekunya ninapokojoa ngoja am caming
Mkuu lazima nimuamini...Nawewe umemuamini ?
😂 dah kwahiyo unaona kama nati imelegea sio, dakika 7 mbeleMkuu lazima nimuamini...
Maana na wewe hicho kichwa sometimes kina shida ukute ni kweli...
Hili suala ebu niliweke wazi hapa..mkuu mimi sina kibao cha kukunia nazi...
Hayo mambo ni ya mwachiluwi
Ndio ukute ulimwambia wewe jamaa skuamini...... ....... Yule kosugi nae ana akili mbovu ndo mana kakuchoma😂 dah kwahiyo unaona kama nati imelegea sio, dakika 7 mbele
Familia nyingi ni masikini, yeye hajaoa familia kaoa mke ili wajenge familia yao. Hapo tatizo ni akili.Kwanini uliamua kuoa familia za kimasikini ?.
Alibidi kupima Maji na ungaFamilia nyingi ni masikini, yeye hajaoa familia kaoa mke ili wajenge familia yao. Hapo tatizo ni akili.
Dadaake anampoteza, hafikirii na Mimi nashindwa ukimshauri ataona ninanongwaHuyo siyo kijana,, ni mzee ,,,, wenzake wenye 35 wana wajukuu...
Aiseee una moyo saana, yaani unalea mtu wa aina hiyo, du!
Rudisha mzigo kwa mama mkwe alioutengeneza la sivyo utaletewa na watoto wa shemeji utawalea muda si mrefu...
Mtu asiyejielewa ni wa kuweka pembeni kwenye hili life la sasa..