Hahaha aseeh 😂Hawakosagi kelele
🤔🤔🤔Broooo mie sio kosa langu aisee.Half american anazingua mkuu..
Sasa mi kibao cha nazi cha nini ndani..
Kwanza mkuu mimi hata vyombo sina acheni mambo yenu..
Serious mi niwe na kibao cha nini mkuu wangu hata sijaoa umri huu niache kumiliki PS et nisumbuke na kibao cha kukunia nazi yaani nikae kabisa nianze kukuna nazi
Wakuu nitakichafua sasa hivi mi najiweza mjue.. hizi zarau ...
Mi kibao cha nazi cha nini kwanza...
Kosugi safari hii umekunya ninapokojoa ngoja am caming
Daaaah😂😂😂😂😂 mie nina akili mbovu tena!??Ndio ukute ulimwambia wewe jamaa skuamini...... ....... Yule kosugi nae ana akili mbovu ndo mana kakuchoma
Atakuja kupigwa mtu hapa🤔🤔🤔Broooo mie sio kosa langu aisee.
Naahidi sitolitamka neno kibao cha mbuzi tena🤐🤐🤐🤐🙌🙌🙌.
Wewe umetunga uwongo wako hapaDaaaah😂😂😂😂😂 mie nina akili mbovu tena!??
Uwongo wangu tena kaka!?Wewe umetunga uwongo wako hapa
Ndio kwanza nimeona hiyo id leoNdio ukute ulimwambia wewe jamaa skuamini...... ....... Yule kosugi nae ana akili mbovu ndo mana kakuchoma
Mbona anakujua na yupo kuni tag kwenye uzi ambao ulimwambia kila kitu ahahahNdio kwanza nimeona hiyo id leo
Simjui na sinaga hizo pigo mastaMbona anakujua na yupo kuni tag kwenye uzi ambao ulimwambia kila kitu ahahah
Ngoja ni deal nae vzri mkuu maana hii skendo mbaya sanaaSimjui na sinaga hizo pigo masta
Hapo wewe ndio MPUMBAVUMke akiamka hakuna zaidi ya kukaa koridorni wakipiga stori habari za familia yao, na umbea wa kutosha.
Kuna Huyu kijana ana 35+ hana kazi, hataki kazi. Mama yao ni mkulima kijijini, akiteseka kwa ajili ya watoto watu wazima kama huyu, wavivu.
Chai inakuwa shida kuipata kwa wakati, kuna muda nalazimika kuingalia kati kwa maneno ya hekima kuhusu kucheleweshana kupata break fast au wakati mwingine naingia mwenyewe kuwaandalia watoto break fast na chai.
Kwa kuwa huwa namsifusifu huyu kijana mke anaona naona kawa kuwaona wakipoteza muda miezi na miezi kijana alipoteza muda nyumbani kwangu.
Kunakila dalili kuwa mama mkwe ameridhika sana Mimi kumlea mwanae wa kiume hapa kwangu..
Ukimshauri afnye biashara anaishia kupoteza mtaji. Anataka aoe hana hata shuka, vijana wa siku hizi wanashida gani wajameni.
Hii yote ni malezi mabaya ya kumdekeza mtoto wa kiume. Madekezo hayo yote sasa yameniangukia Mimi, sometimes nashindwa hata kupata tunda Ili shemeji asisikie migumo.
Atamwambiaje hamtaki wakati mke wake ndo ana control kila kitu hapo. Tatizo kubwa ni yeye mwenyewe wala sio shemeji yake.Hapo wewe ndio MPUMBAVU
kwani ukimwambia humtako arudi kwao utapungukiwa nini?
Ata mimi nimenotice kuna shida mahali😂Najarib kufikiria namna ya kisaidia ila naona kama kuna shida somewhere
Sema usimnyanyase huyo shemeji yako tumia njia za kitaalamu kumuoandoa kwako bila yeye kujua .Mke akiamka hakuna zaidi ya kukaa koridorni wakipiga stori habari za familia yao, na umbea wa kutosha.
Kuna Huyu kijana ana 35+ hana kazi, hataki kazi. Mama yao ni mkulima kijijini, akiteseka kwa ajili ya watoto watu wazima kama huyu, wavivu.
Chai inakuwa shida kuipata kwa wakati, kuna muda nalazimika kuingalia kati kwa maneno ya hekima kuhusu kucheleweshana kupata break fast au wakati mwingine naingia mwenyewe kuwaandalia watoto break fast na chai.
Kwa kuwa huwa namsifusifu huyu kijana mke anaona naona kawa kuwaona wakipoteza muda miezi na miezi kijana alipoteza muda nyumbani kwangu.
Kunakila dalili kuwa mama mkwe ameridhika sana Mimi kumlea mwanae wa kiume hapa kwangu..
Ukimshauri afnye biashara anaishia kupoteza mtaji. Anataka aoe hana hata shuka, vijana wa siku hizi wanashida gani wajameni.
Hii yote ni malezi mabaya ya kumdekeza mtoto wa kiume. Madekezo hayo yote sasa yameniangukia Mimi, sometimes nashindwa hata kupata tunda Ili shemeji asisikie migumo.
Dili nae huyo si unaona jobo pro max washamla kichwaNgoja ni deal nae vzri mkuu maana hii skendo mbaya sanaa