Hizi tabia hazivumiliki

Hizi tabia hazivumiliki

mager6

Senior Member
Joined
Jul 5, 2025
Posts
149
Reaction score
226
Mke akiamka hakuna zaidi ya kukaa koridorni wakipiga stori habari za familia yao, na umbea wa kutosha.

Kuna Huyu kijana ana 35+ hana kazi, hataki kazi. Mama yao ni mkulima kijijini, akiteseka kwa ajili ya watoto watu wazima kama huyu, wavivu.

Chai inakuwa shida kuipata kwa wakati, kuna muda nalazimika kuingalia kati kwa maneno ya hekima kuhusu kucheleweshana kupata break fast au wakati mwingine naingia mwenyewe kuwaandalia watoto break fast na chai.

Kwa kuwa huwa namsifusifu huyu kijana mke anaona naona kawa kuwaona wakipoteza muda miezi na miezi kijana alipoteza muda nyumbani kwangu.

Kunakila dalili kuwa mama mkwe ameridhika sana Mimi kumlea mwanae wa kiume hapa kwangu..

Ukimshauri afnye biashara anaishia kupoteza mtaji. Anataka aoe hana hata shuka, vijana wa siku hizi wanashida gani wajameni.

Hii yote ni malezi mabaya ya kumdekeza mtoto wa kiume. Madekezo hayo yote sasa yameniangukia Mimi, sometimes nashindwa hata kupata tunda Ili shemeji asisikie migumo.
 
Kijana wa kiume aliye na 35+yrs anaishi kwa shemeji? Ana matatizo gani? Au sababu kuu ni ipi?

Kwa kua mtaji wa biashara anakula hovyi, mtimue hapo kwako, na dada ake akileta ngenga, fukuza woteee. Lol
😂😂😂😂😂
 
FB_IMG_17516274011014300.jpg
 
Hapa lazima niwaite Monetary doctor Dr am 4 real PhD na Poor Brain.

Tabia mbofu mbofu sana hii!
Afukuzee huyo kijana anamlea wa Nini amfundishe awe mwanaume.

Kua mwanaume ni pale utakapo WEZA kuweka food kwa meza chakwako mwenyewe na Cha wanao kuzunguka.

Namshaur ahakikishe huyo kijana anapata fani anayo ipenda pia Aanze kujitegemea maana Maisha ya KUISHI kwa shemeji mpaka lini
 
Huyo kijana akiendelea hivyo mleaji ndiye atakayepata lawama maana hakumwonesha njia sahihi ya maisha.
 
Kijana wa kiume aliye na 35+yrs anaishi kwa shemeji? Ana matatizo gani? Au sababu kuu ni ipi?

Kwa kua mtaji wa biashara anakula hovyi, mtimue hapo kwako, na dada ake akileta ngenga, fukuza woteee. Lol
😂😂😂😂😂
Kuna raha wewe kusikia shemeji anashenyenta mbususu ya sista.
Usubuhi unataniana na sista..aisee jana shem amieshenyenta mbususu sana
 
Back
Top Bottom