Hizi sio ndoto za kawaida

Hizi sio ndoto za kawaida

Mimi ndoto ya kula inanirudia mara nyingi sana hadi leo nimeota.....Pia kuna shangazi yangu aliota Mbwa kamng'ata mkononi kuanzia ile siku ameota mpaka leo mkono unamuuma na unavimba balaa...hospital zote tumezunguka hadi kwa wasabato tunapigwa hela tu
 
Asee mkuu Mimi kila usiku lazima niote moments za shule ya msingi wakati mwaka wa pili huu sijakamata daftari ila usiku ndotoni nipo zangu primary afu walimu kila siku wanabadilika Mara walionifundisha O'level au A'level . hii sijui nini maana yake
 
Nkuu mshana jr karibu tena... Mimi ninaweza kuota ndoto ikajirudia hata week nzima. Ingawa sio moja ila huwa inajirudia kwa namna tofauti. Kuna ndoto km aina 3 huwa zinajirudia rudia saaana. 1. Kuhusu samaki, yaan haipiti week lazima niiote. 2. Msiba au sherehe ukweni kwangu. 3. Naota niko kijijini kwetu. Sasa hii ndio kabisaaa inaweza kutokea hata mara 2 kwa week.
Asante sana charminglady kijijini mataa ya mwisho kwenda ilikuwa lini? Kuna ndugu wamezikwa kule? Jitahidi uende
Hizo nyingine kama hakuna madhara yoyote yanayotokea zitapotea tu zenyewe
 
Asee mkuu Mimi kila usiku lazima niote moments za shule ya msingi wakati mwaka wa pili huu sijakamata daftari ila usiku ndotoni nipo zangu primary afu walimu kila siku wanabadilika Mara walionifundisha O'level au A'level . hii sijui nini maana yake

Unatakiwa kurudi shule wewe
 
Hivi Mshana Jr ukiota makuburi maana yake nini.. Juzi mke wangu kaota anatembelea makaburini.
 
asante sana kaka.. nisamehe nina jingine kuna kitu kinaitwa chango la tumbo kwa mtoto, tumbo linakuwa kama linaunguruma embu nisaidie
Pole usijali hilo la tumbo kuna dawa inaitwa makata lakini pia hata kitunguu saumu ni tiba nzuri tu unakiponda unachanganya na maji kidogo masafi unamnyweshwa
 
Mimi ndoto ya kula inanirudia mara nyingi sana hadi leo nimeota.....Pia kuna shangazi yangu aliota Mbwa kamng'ata mkononi kuanzia ile siku ameota mpaka leo mkono unamuuma na unavimba balaa...hospital zote tumezunguka hadi kwa wasabato tunapigwa hela tu
Mmh asubuhi unaamka umevimbiwa? Hiyo nyingine ya shangazi yako subiri
 
View attachment 421080Ni usiku mwingine tena tunapojiandaa kupumzika vitandani mwetu ( hata kama ni ugenini gesti house au barabarani kuna dakika chache utalala kidogo na kuota)
Ndoto njozi na kuota ni hitaji la kawaida la mwanadamu, shida ipo ni je unaona ndoto za aina gani?

-unaota ndoto za kawaida kutokana na harakati za kawaida za kimaisha kutokana na fikra mawazo matendo na maono?

-Ama la unaota ndoto taarifa au ndoto ujumbe au ndoto maono? Ndoto zenye ujumbe maalum?

- Au je unaota zile ndoto zile ambazo si ndoto bali ni matendo ya giza? Ndoto za
Kuota umelazwa kwenye jeneza
Kuota unazama/unazamishwa baharini
Kuota unakula/unalishwa nyama

Kuota unang'atwa na mdudu na unapata maumivu mpaka asubuhi
Kuota unakimbizwa au kufukuzwa
Kuota umefungiwa kwenye kiota chupa nk
Ndoto zote hizi huwa live mpaka asubuhi au unapostuka na unakumbuka kila kitu saa nyingine hata uchovu maumivu na Ladha....!

Ndoto za namna hii si ndoto za kawaida na huambatana na mambo yako mengi kuharibika! Hizi ni ndoto za kufanyiwa mambo mabaya na watu wabaya
Ukiweza jitahidi kuchunguza ndoto zako leo na siku zijazo utagundua kitu View attachment 421088
Mshana nisaidie kwa hili naota ndoto za ajabu sana Mara nazamishwa majini mara natumbukia mahali parefu Mara nasagana Mara nalazimishwa kuingiliwa kinyume cha maumbile mara sioni mara nimekua bubu ni ndoto za aina gani hizi hua nikizifikiria nakosa amani kabisa
 
Asee mkuu Mimi kila usiku lazima niote moments za shule ya msingi wakati mwaka wa pili huu sijakamata daftari ila usiku ndotoni nipo zangu primary afu walimu kila siku wanabadilika Mara walionifundisha O'level au A'level . hii sijui nini maana yake
Hizo ni kumbukumbu tu za zamani zimestick kwenye ubongo kuna wakati zitapotea kabisa
 
Asante sana charminglady kijijini mataa ya mwisho kwenda ilikuwa lini? Kuna ndugu wamezikwa kule? Jitahidi uende
Hizo nyingine kama hakuna madhara yoyote yanayotokea zitapotea tu zenyewe

Ok thanks

. Sasa juzi nilikuwa nahitaji kumwona specialist fulani ambaye ana clinic yake bunafsi ila anafanya hospital ya rufaa pia. Nikaota nimemfuata ktk hiyo hospital ya rufaa kumuuliza iwapo anaweza kunipa huda akiwa hapo.

Lakini akanijibu hapana hapa hakuna vifaa vizuri ni heri uje kule kwenye clinic yangu kuna vifaa vizuri zaidi.

Of course sijaenda mpaka leo bado najiuliza niende clinic kwake au niende kumwona katika hiyo hosp ya rufaa... hii ndoto sijui inanielekeza ukweli? Huwa mara nyingi napata ndoto taarifa....
 
Fuata kama ndoto ilivyokuelekeza kwakuwa hizo zako sio hizi ndoto za kawaida
 
Ni ngumu huwezi kutimiza ndoto zote mpaka kifo komaa tu na kujibidiisha hizo ni ndoto tuu...hakuna hata mmoja alishawahi kutimiza ndoto zake zote maishani
Mimi ndoto zangu nyingi ni kupaa, kuna ambazl naota nakimbizwa ila nashindwa kupaa though nahisi uwezo wa kupaa ninao ,siku zingine naota napaa vizuri sana na kwa speed ,nishawahi kuliongea nyumbani maana ni toka nikiwa mdogo kaka zangu wakaniambia usiku nikila nikashiba ndio sababu toka kipindi hicho mpaka leo hii mimi usiku sili chakula kigumu kama ugali na sili sana ila ndoto hizo hazijakomaa,huenda ikawa nini suluhu kaka maana saa nyingine zinaniacha na stress au uchovu wa kutwa nzima!?
Kingine nikiota ndoto nikashtuka na kusikia adhana ya asubuhi lazima hilo litokee siku hiyo yaani kama mabadiliko machache ila theme uwa ile ile ,hii nayo ikoje kaka !?
Lastly maisha yangu ni kama ya marudio mpaka saa zingine yananikera yaani asilimia nyingi mambo yananikuta au nakuta na mazingira ambayo akili inaniambia hili lishanitokea ila sikumbuki wapi na lini,ina isaidia hata kwenye kuamua mambo yangu saa zingine ,je nina tatizo gani kaka!?Ahsante sana
 
View attachment 421080Ni usiku mwingine tena tunapojiandaa kupumzika vitandani mwetu ( hata kama ni ugenini gesti house au barabarani kuna dakika chache utalala kidogo na kuota)
Ndoto njozi na kuota ni hitaji la kawaida la mwanadamu, shida ipo ni je unaona ndoto za aina gani?

-unaota ndoto za kawaida kutokana na harakati za kawaida za kimaisha kutokana na fikra mawazo matendo na maono?

-Ama la unaota ndoto taarifa au ndoto ujumbe au ndoto maono? Ndoto zenye ujumbe maalum?

- Au je unaota zile ndoto zile ambazo si ndoto bali ni matendo ya giza? Ndoto za
Kuota umelazwa kwenye jeneza
Kuota unazama/unazamishwa baharini
Kuota unakula/unalishwa nyama

Kuota unang'atwa na mdudu na unapata maumivu mpaka asubuhi
Kuota unakimbizwa au kufukuzwa
Kuota umefungiwa kwenye kiota chupa nk
Ndoto zote hizi huwa live mpaka asubuhi au unapostuka na unakumbuka kila kitu saa nyingine hata uchovu maumivu na Ladha....!

Ndoto za namna hii si ndoto za kawaida na huambatana na mambo yako mengi kuharibika! Hizi ni ndoto za kufanyiwa mambo mabaya na watu wabaya
Ukiweza jitahidi kuchunguza ndoto zako leo na siku zijazo utagundua kitu View attachment 421088
Yaani wewe watu wanakusifia, lakini katika post zako sijaona cha maana zaidi ya kuandika vitu ambavyo havipo kwenye reality
Unaharibu mind za watoto
Mimi niliwahi kuota hivi,kuna jirani yetu alikuwa na kijana wake sasa yule kijana ile siku ikatokea akawa anampiga sana mtumishi wao wa ndani na yule mtumishi akawa anapiga kelele sana,ikanibidi nitoke kwenda kumsaidia ila nkiwa njian nkapita sehemu palikuwa na wadudu wengi sana na miongoni mwao walikuwa ni nyoka na hapo ndipo nyoka mmoja akaniuma mguuni na katika ndoto ile wala mimi sikujali nikaendelea na safari yangu ila nkiwa na kumbukumbu kwamba nyoka kaniuma!!
Mpaka nilipostuka nilikuwa bado naikumbuka ndoto hiyo japo ckuwa na maumivu yoyote,je inawezakuwa ilimaanisha nini!?@Mshana jr
 
Back
Top Bottom