nashukuru ila tatizo ndoto zang nying huwa kama matukio ila lazima kuwe na jambo ambalo c lakawaida mbonaUnajua ndoto nyingi hizi za kawaida ni mchanganyiko wa matukio mengi vague memories! Matukio ya kila siku tunayoyasoma kuyaona kuyatenda na hata kuwaza
Ni ngumu kupata tafsiri ya kila ndoto labda tu ziwe ndoto taarifa maono au zile zinazoletwa na michezo ya wanga
Asante sana ndugu yangu nitafanya hvyo nimwkuwa nkikutafta sana muda kuweza kukuuliza Ila nashukuru sana ndoto zinatisha sana hasa unapoikumbuka yote asubuh
Asante
Yaan Yesu anaponya bure bila hata kujipaka kitunguu swaumu mbona, Yesu asie na masharti hamumtaki
Maisha yana alternatives nyingi na kila kilichopo chini ya jua ni uumbaji wake MunguChagua kulamba ndimu au kusema Yesu nilinde tu,
Maisha yana alternatives nyingi na kila kilichopo chini ya jua ni uumbaji wake Mungu
Hizi ni tiba kama tiba nyingine usizifananishe na ushirikina
Mshana respect to you ulikua wapi bro
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] ndoto mahaba hizo lohmimi nimeota nakula mayai mboga mboga juice nzuri kwenye garden nzuri nimevaa nguo fupi nyeupe, ila kuna binti ila ana dushe ananitomasa na kafanikiwa kunishawishi hadi nikavua kofuli akawa kama ananichezea nikashtuka .. sasa hii inamaana gani ? ila nimeaka huku kwa bibi kupo kawaida
khee kwa hiyo nahitaji mahaba?[emoji2] [emoji2] ndoto mahaba hizo loh
asante sana kaka.. nisamehe nina jingine kuna kitu kinaitwa chango la tumbo kwa mtoto, tumbo linakuwa kama linaunguruma embu nisaidieUwe unampaka ndimu kwenye paji la uso kifuani na tumboni hiyo hali itaisha
heee kumbe ukiwa karibu sana na mtu akifa roho yake inakaa karibu nawe??? mshana unaweza ukawa una ukweli fulaniRoho yake bado haiko mbali nawe na hii inaweza kuwa ni sababu ya ukaribu uliokuwa nao kwake kabla hajaondoka milele, kuna baadhi ya watu hawana ukaribu na wazazi wao