Duh!nifanyeje mkuu ili mipango yangu iweze kukamilika.Ni aina ya ndoto za kawaida ambazo ni kutokamilika kwa mambo mengi uliyopanga kuyafanya
sasa mshana kama ni hivyo kwanini wote tusiote ndoto kama ya huyo maana si wote ndoto zetu hazitimii zote???Ni ngumu huwezi kutimiza ndoto zote mpaka kifo komaa tu na kujibidiisha hizo ni ndoto tuu...hakuna hata mmoja alishawahi kutimiza ndoto zake zote maishani
Nakushukuru sana, ndio maana wanasemaga watoto walale upande upande au kifudifudi. kingine japo ni nje ya mada, mwanangu huwa analala then katikati ya usingizi anaangua kilio kikali kwa sekunde 10-15 then anaendelea kulala, mara nyingi mda wa mchana, na akia amka huwa kama ameshituka ( gari la kustua linavyokua) unaweza kunidadavulia mkuuView attachment 421175Dunia ni duara na anga liko juu huku tukiishi kwenye nguvu ya uvutano, dunia ina pande kuu kumi ambazo zote zinashikiliwa kwenye mhimili wa kati
Paji la uso ndio penye njia ya jicho la tatu unapolala chali ni kama unauangalia ulimwengu kupitia mhimili wa kati kuelekea angani ambako huko angani kunapita vitu vya kila aina vinavyoonekana na visivyoonekana vizuri na vibaya
Ni katika hali hiyo ya usingizi jicho la tatu likinasa jambo zuri utaota ndoto nzuri au usiote kabisa lakini kama ni jambo baya basi ndoto zitakuwa za kutisha sanaView attachment 421174lakini kwa style yako hiyo ya kukunja nne huko sio kulala chali
Unapolala tumia vitu hivi viwili au vitatu kitunguu saumu jipake kwenye paji na uso na viganjani kipande cha ndimu weka chini ya mto na olive oil jipake pia mikononi na miguuni na utosini
Angalizo: kichwa kinaweza kukuuma sana na kutoka jasho usiogope
endelea kulala sana!!!!! natania, panga mpango mmoja na hakikisha unaukamilisha then kabla ya kuanza kuutekelezea wekea nadhiri kwa Mungu akufanikishe ukifanikiwe katoe sadaka..Duh!nifanyeje mkuu ili mipango yangu iweze kukamilika.
sijui ulikula maharage ya wapi wewe kabla ya kulala....mimi leo nimeotaa ndoto ya ajabu sana mpaka nashindwa kuielewa,nimeota natoka shule kule posta naenda kituon nakutana na wa2 barabarani wamepiga magoti wanaomba maombi ya nguvu kweli ila cha ajabu katika ndoto hii nimeota wa2 wakubwa tu tena na maarufu alikuwepo masanja,baadhi ya mawaziri sasa nkawa najiuliza why wako barabaran halafu wanaomba wakat natafakari hayo akaja mdada eti mumewe ni christian ronaldo huyu wa majuu eti ndo kaka yangu wakasema 2mekuja kukuombea wakaanza kuniombea ghafla nikaanza kutoka v2 vya ajabu masikion kama mifuko meus ya rambo ikitoka na uchafu mweupe pindi naombewa nkawanashangaa naota ama n kweli kiufup ni hvyo mkuu mshana ata nkieleza ndoto yote haitaisha ila huo n muongozo naomba nisaidie itakuwa na maana gani hyo mana nmeogopa sana.
asante
kwaninisijui ulikula maharage ya wapi wewe kabla ya kulala....
Ahsante mkuu.Ulitaka kupigana vita isiyo yako lakini inayohusika nawe kwa namna moja au nyingine
Off course siwezi timiza zote,ila nataka nitimize nyingi katika hizoNi ngumu huwezi kutimiza ndoto zote mpaka kifo komaa tu na kujibidiisha hizo ni ndoto tuu...hakuna hata mmoja alishawahi kutimiza ndoto zake zote maishani
Sisi wote ni binadamu lakini tunatofautiana vitu vingi sana na huo ni mfano tu kwake ndoto za namna hiyo huja kwa njia nyingi tofauti kwa mfano hata kupanda milima isiyoisha au kusafiri safari usiyofika nknksasa mshana kama ni hivyo kwanini wote tusiote ndoto kama ya huyo maana si wote ndoto zetu hazitimii zote???
Uwe unampaka ndimu kwenye paji la uso kifuani na tumboni hiyo hali itaishaNakushukuru sana, ndio maana wanasemaga watoto walale upande upande au kifudifudi. kingine japo ni nje ya mada, mwanangu huwa analala then katikati ya usingizi anaangua kilio kikali kwa sekunde 10-15 then anaendelea kulala, mara nyingi mda wa mchana, na akia amka huwa kama ameshituka ( gari la kustua linavyokua) unaweza kunidadavulia mkuu
Unajua ndoto nyingi hizi za kawaida ni mchanganyiko wa matukio mengi vague memories! Matukio ya kila siku tunayoyasoma kuyaona kuyatenda na hata kuwazamimi leo nimeotaa ndoto ya ajabu sana mpaka nashindwa kuielewa,nimeota natoka shule kule posta naenda kituon nakutana na wa2 barabarani wamepiga magoti wanaomba maombi ya nguvu kweli ila cha ajabu katika ndoto hii nimeota wa2 wakubwa tu tena na maarufu alikuwepo masanja,baadhi ya mawaziri sasa nkawa najiuliza why wako barabaran halafu wanaomba wakat natafakari hayo akaja mdada eti mumewe ni christian ronaldo huyu wa majuu eti ndo kaka yangu wakasema 2mekuja kukuombea wakaanza kuniombea ghafla nikaanza kutoka v2 vya ajabu masikion kama mifuko meus ya rambo ikitoka na uchafu mweupe pindi naombewa nkawanashangaa naota ama n kweli kiufup ni hvyo mkuu mshana ata nkieleza ndoto yote haitaisha ila huo n muongozo naomba nisaidie itakuwa na maana gani hyo mana nmeogopa sana.
asante
Roho yake bado haiko mbali nawe na hii inaweza kuwa ni sababu ya ukaribu uliokuwa nao kwake kabla hajaondoka milele, kuna baadhi ya watu hawana ukaribu na wazazi waoMshana jr, mie tokea mama yangu alivyofariki huwa kila mara namuota tena ndoto za Enzi nilivyokuwa mdogo, na weza kuongea naye kama vile yupo na hata kumueleza yanayonisibu au hata furaha yangu yaani ANAKUWA KAMA VILE YUPO TU