Hizi sio ndoto za kawaida

Hizi sio ndoto za kawaida

Watu wengi sana wanaota wako shule tena za kiwango cha chini kuliko ukweli wa elimu yao ya sasa, mtu ana masters au hata phd lakini anaota yupo shule ya msingi. maana halisi ya ndoto hii nikuwa unakiwango kidogo cha maarifa ya kiroho juu ya jambo fulani.

Kumbuka binadamu anaishi rohoni tena mwilini, unasoma rohoni na unasoma mwilini, elimu nia yake ni kuongeza maarifa, hivyo ukiongeza maarifa mwilini unasonga mbele kidato hadi kidato, lakini ukifeli kwenye elimu ya kawaida unabaki hapohapo huwezi vuka kidato kingine.

Rohoni hivyohivyo kuna maarifa unatakiwa uwenayo na uipate ndiyo usonge mbele, kwahiyo rohoni kuna darasa la kwanza hadi profesor na lazima usome na upate maarifa ikusaidie kusongo mbele, ukiota upo darasa la tatu na huko mwilini una masters maana yake ni kuwa rohoni upo darasa la tatu hivyo baadhi ya changamoto za maisha huwezi tatua kwa kuwa unamaarifa kidogo.

sasa fuatilia hiyo ndoto vizuri na endelea kumuomba Mungu akusaigie uvuke, na maranyingine Mungu atakuapa hata mtihani ili ufanye na ufaulu, sasa ni wewe kujiweka kwenye ufahamu wa kujua uko shule na kujibidiisha kutafuta maarifa ya kimuungu ili ufaulu.

Naa degree ya rohoni in nguvu mara infinity kwenye degeree ya mwili, ndiyo maana mtu unaota uko darasa la saba lakini unamaisha tu ya maana na unashanga ungepaje mali hizo na elimu ya darasa la saba na hizo presentaion nzitonzito unazofanya na watu wanakutegeme na kukusifia?

Aliyevizuri kwenye maarifa ya rohoni yuko mbali sana weather amepata kwa shetani au kwa Mungu, mtoto wa mika 4 anaweza kulogo na mtu mzima akafa hiyo ni maarifa ya rohoni, asienda shule anaweza shuka kuzimu akapata maarifa akawatajiri na akaajili mwenye phd hiyo ni maarifa ya rohoni. hivyo hivyo mtu wa MUNGU anaweza kupata maarifa hizo na akawa mbali sana.

Soma na endelea kutafauta maarifa za rohoni ukimshirikisha Mungu utaona mabadiliko na ndoto pia zitabalika.
I've got something big I didn't expect
 
Ndoto mbaya kuliko zote ni mwanaume kuota unajifungua mtoto,aisee ukianza kuota hiyo ndoto shtuka ukimbie chooni,ukizubaa utakuta ushachafua nguo na shuka kwa kinyesi.
 
Ndoto mbaya kuliko zote ni mwanaume kuota unajifungua mtoto,aisee ukianza kuota hiyo ndoto shtuka ukimbie chooni,ukizubaa utakuta ushachafua nguo na shuka kwa kinyesi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi huota ndoto ya kuwepo kwenye nyumba ambayo tuliishi zamani. Mara nyingi nakuwa na wazazi ambayo ktika ndoto huwa hai licha ya kwamba walishafariki. Ndiloto hiyo hujirudia sana.
 
Juzi hapa nimeota mtu ananipiga sindano kichwani na dawa inaingia naisikia. Mtu mwenye huwa hanitakii mema. Niliogopa licha ya kwamba huwa siamini mambo hayo.
 
Mi nilijiota nna mtoto mzuri wa kike (wkt sina mtoto) yaaani nikashtuka nasisimka mwili kwa hisia za mwanangu mwenyewe ingawa sikujiona nikimzaa[emoji4], wiki zimepita naikumbuka bado!!! Mshana
 
Mi nilijiota nna mtoto mzuri wa kike (wkt sina mtoto) yaaani nikashtuka nasisimka mwili kwa hisia za mwanangu mwenyewe ingawa sikujiona nikimzaa[emoji4], wiki zimepita naikumbuka bado!!! Mshana
Hutamaliza mwaka utashika mimba
 
Mimi huota ndoto ya kuwepo kwenye nyumba ambayo tuliishi zamani. Mara nyingi nakuwa na wazazi ambayo ktika ndoto huwa hai licha ya kwamba walishafariki. Ndiloto hiyo hujirudia sana.
Bado kuna connection fulani kwenye hiyo nyumba
 
Bado kuna connection fulani kwenye hiyo nyumba
mshana jr kuna ndoto hizi,
1. Nikiota nimekutana na Nyoka hasa akikatiza mbele yangu au akinipitia miguuni basi kesho yake huwa napata Pesa.
2. Kuna siku nililala chali ghafla nikaota mtu nisiyemuona sura yake anataka kunifyeka na panga (nikiwa nimelala vile vile chali), ilelinakaribia tu kutua shingoni nikalikwepa, sasa ule uelekeo niliokwepea ndo ukutani, nikajibamiza pale na nikatoka jeraha kubwa kiasi (huyo mtu nimemuota kwenye ndoto,lakini tukio la kukwepa panga liliambatana na kufumbua macho na kujibamiza ukutani). Kesho yake kwenda hospital nikatunga uwongo wa kujieleza.

NB; Hii ilikuwa kijijini kwetu Msowero, Kilosa, Morogoro
Pia niliwahi kusikia tetesi kwamba watu wananiogopa wakidai mimi mchawi wakati sijawahi kufanya tukio lolote la kichawi, Binafsi naona wananiheshimu tu, ila kuna mzee alishawahi kunionyesha kitendo cha kichawi lakini nikamwangalia tu bila uoga wala kubabaika na sikumwambia kitu nikaondoka kimya kimya na mpaka leo nikienda huyo mzee akikutana na mimi njiani lazima anisalimie.

Pia kuna hizi ndoto za kuchafua shuka nataka niziepuke maana nimejaribu kufuata taratibu za LUCID DREAMING lakini mimi nalala masaa matano tu
 
Siku za Karibuni nijikuta Anita ndoto then naipenda ile ndoto, hasa ndoto za mapenzi inawezekana shida ni nini na nifanyeje
 
Nilipokuwa jeshini niliwahi kuota kuwa kuna jiwe kubwa linaniangukia usoni. Kustuka nikakuta ni tone la maji toka darini limeniangukia usoni. Mpaka leo sijaweza kuhusisha hivyo vitu viwili.

Mie iliwahi kutokea kipindi kile nacheza martial. Ila sio hivyo ingawa some events was happening in real world.. the only problems ilikuwa ni concetrate it happen.. au will happen au happpened dakika chache zilizopita..
 
Siku za Karibuni nijikuta Anita ndoto then naipenda ile ndoto, hasa ndoto za mapenzi inawezekana shida ni nini na nifanyeje
Hili ni jambo la kifikra zaidi 'inawezekana' kabisa una hobi kubwa na hiyo makitu lakini pengine muda na mazingira vinakuzuia kutimiza hamu zako[emoji3]
 
mshana jr kuna ndoto hizi,
1. Nikiota nimekutana na Nyoka hasa akikatiza mbele yangu au akinipitia miguuni basi kesho yake huwa napata Pesa.
2. Kuna siku nililala chali ghafla nikaota mtu nisiyemuona sura yake anataka kunifyeka na panga (nikiwa nimelala vile vile chali), ilelinakaribia tu kutua shingoni nikalikwepa, sasa ule uelekeo niliokwepea ndo ukutani, nikajibamiza pale na nikatoka jeraha kubwa kiasi (huyo mtu nimemuota kwenye ndoto,lakini tukio la kukwepa panga liliambatana na kufumbua macho na kujibamiza ukutani). Kesho yake kwenda hospital nikatunga uwongo wa kujieleza.

NB; Hii ilikuwa kijijini kwetu Msowero, Kilosa, Morogoro
Pia niliwahi kusikia tetesi kwamba watu wananiogopa wakidai mimi mchawi wakati sijawahi kufanya tukio lolote la kichawi, Binafsi naona wananiheshimu tu, ila kuna mzee alishawahi kunionyesha kitendo cha kichawi lakini nikamwangalia tu bila uoga wala kubabaika na sikumwambia kitu nikaondoka kimya kimya na mpaka leo nikienda huyo mzee akikutana na mimi njiani lazima anisalimie.

Pia kuna hizi ndoto za kuchafua shuka nataka niziepuke maana nimejaribu kufuata taratibu za LUCID DREAMING lakini mimi nalala masaa matano tu
Nilichogundua kwenye hii mada ya ndoto ni kwamba tuna watu wengi wenye uwezo wa ziada bila kujitambua! Masomo ya elimu ya utambuzi yangepewa kipaumbele hapa nchini hakika tungekuwa na wataalam wengi sana!kuna vitu vinatutokea sio ndoto bali ni mambo ya jicho la tatu....
Kuhusiana na ndoto nyevu jitahidi upate wa kukunyoosha kiuno, kuna faida kuliko hasara
 
mshana jr Kutafuta wa kuninyoosha kiuno! Ni mgegedo au? Pia kuhusu somo la kujitambua ndo maana naangalia uwezekano wa kuonana na wewe
Ndio maana yake! Kiwango cha juu kabisa cha mwanaume kuvumilia bila ngono ni miezi mitatu baada ya hapo ndoto nyevu zitakuwa hazikomi
 
Ndio maana yake! Kiwango cha juu kabisa cha mwanaume kuvumilia bila ngono ni miezi mitatu baada ya hapo ndoto nyevu zitakuwa hazikomi
Duh! Kuna kipindi nilikaa miaka minne bila sex wala kujichua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh! Kuna kipindi nilikaa miaka minne bila sex wala kujichua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku 1460[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] ni tatizo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom