bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
Mshana umetutenga rughaKwa wale wote wanaoota ndoto za nyoka kwenye hali zozote zile hebu wapite hapa waone hizi tafsiri za ndoto za nyoka hapaView attachment 421168
Mshana umetutenga rughaKwa wale wote wanaoota ndoto za nyoka kwenye hali zozote zile hebu wapite hapa waone hizi tafsiri za ndoto za nyoka hapaView attachment 421168
Ototo usiku una mengi yasiyo na tafsiri kwenye ulimwengu wa kawaida kuna wakati tunaota ndoto ambazo si ndoto za kawaida bali michezo ya wanga na walozi tuwapo usingizini! Nyingi ya hizi ndoto hazina madhara lakini zinaleta usumbufuMkuu mshana mimi nimeota hivi majuzi tu, ilikua hivi,
Nikiwa kwenye kituo cha daladala, ghafla akatokea mama mmoja akanishika kidole gumba cha mkono, nikashituka na kutaka kukimbia, lakini akanituliza na kuniambia nisimwogope Kwani anataka kunitoa mdudu kwenye kidole changu, kugeuka na kumwangalia kumbe ni mama jirani yetu ninaye mfahamu, baada ya kubinya kidole changu na kweli akatoka mdudu ambaye sikumuelewa ni mdudu wa aina gani, baada ya kubinya kidole changu kikabadilika kikawa na mwonekano wa mdudu pamoja miguu kabisa, na nikaanza kuhisi maumivu, lakini Ile hali haikunitisha hata kidogo
NB: mimi huwa sina Kawaida ya kuota ndoto za kutisha, lakini hii ndio imenitatiza sana, sasa mkuu mshana sijui ina maana gani hii ndoto.
Mmh dawa yake ndimu tuuMshana Mimi ata sijui nifanyeje aipiti mwezi ladhima niote nyoka au kula nyama na ninahamka najiona nimevimbilwa na radha ya ajabu mdomoni dawa yake nini ?
Hizi ndoto basi tuKabla ya kulala unalamba ndimu hii inasaidia sana hata ile hali ya kujitafuna ndotoni
Hiyo ndimu pia unaweza kuikamua na kuinywa na maji ya moto
Nilitoka kidogo salazar ila nimerejea
Baadhi ya ndoto tafsiri yake ni kinyume
Kwa kawaida mwanadamu hutembea kwenda mbele sio kinyume nyume kama kifurukobe
Ni sawa na zile ndoto za kuanguka kwenye kina kirefu kumbe ni udenda lakini hiyo yako jicho la tatu hufunguka uwapo usingizini na kama picha ya kitu chochote inapokaa katikati ya macho huonekana ni kitu kimoja kikubwaNilipokuwa jeshini niliwahi kuota kuwa kuna jiwe kubwa linaniangukia usoni. Kustuka nikakuta ni tone la maji toka darini limeniangukia usoni. Mpaka leo sijaweza kuhusisha hivyo vitu viwili.
Ni sawa na zile ndoto za kuanguka kwenye kina kirefu kumbe ni udenda lakini hiyo yako jicho la tatu hufunguka uwapo usingizini na kama picha ya kitu chochote inapokaa katikati ya macho huonekana ni kitu kimoja kikubwa
what and sababu ya kutolala chali??!! maana mie mkinga huwa nalala chali na huku nimepandanisha miguu kwa style ya kukunja 4.. umenistua mshanaFahamu kupitia jicho la tatu ndio huona ndio maana tunashauriwa tusilale chali
Fahamu kupitia jicho la tatu ndio huona ndio maana tunashauriwa tusilale chali
what and sababu ya kutolala chali??!! maana mie mkinga huwa nalala chali na huku nimepandanisha miguu kwa style ya kukunja 4.. umenistua mshana
Mimi huota ninakimbizwa,huwa ninastutaka usingizini ninapokaribia kukamatwa.