Dah....ukilala kifudifudi mwili unaweka upesi.... Kisayansi kulala kwa ubavu wa kushoto ni salama zaidi [emoji13]Ndio maana tunashauriwa tusilale chali
Nyoka ni giza kabisa, hadi unaona wanatokea kabisa katika maisha halisi jua wanajenga na wamewekeza kwako, wakishika kabisa kila kitu watafanya more than hayo....Fight hizo hali.Mimi huwa naota ndoto za manyoka na huwa hayaniumi ila asubuh nkiamka lazima ntakutana na nyoka na ntamuua Mara chache sn wamekimbia yaan ndoto za manyoka zimekuwa kawaida na kuna siku wanakuwa wengi sn ndani baba yng anawaambia ndugu zngu msiwauwe eti mpk nije mie.yaaan ndoto zimekuwa hvyo km matukio ya kweli.
ndoto nyingi za namna hyo siyo za kuzipuuza hata kidogo.Mkuu mshana mimi nimeota hivi majuzi tu, ilikua hivi,
Nikiwa kwenye kituo cha daladala, ghafla akatokea mama mmoja akanishika kidole gumba cha mkono, nikashituka na kutaka kukimbia, lakini akanituliza na kuniambia nisimwogope Kwani anataka kunitoa mdudu kwenye kidole changu, kugeuka na kumwangalia kumbe ni mama jirani yetu ninaye mfahamu, baada ya kubinya kidole changu na kweli akatoka mdudu ambaye sikumuelewa ni mdudu wa aina gani, baada ya kubinya kidole changu kikabadilika kikawa na mwonekano wa mdudu pamoja miguu kabisa, na nikaanza kuhisi maumivu, lakini Ile hali haikunitisha hata kidogo
NB: mimi huwa sina Kawaida ya kuota ndoto za kutisha, lakini hii ndio imenitatiza sana, sasa mkuu mshana sijui ina maana gani hii ndoto.
Mimi ndoto zangu nyingi ni kupaa, kuna ambazl naota nakimbizwa ila nashindwa kupaa though nahisi uwezo wa kupaa ninao ,siku zingine naota napaa vizuri sana na kwa speed ,nishawahi kuliongea nyumbani maana ni toka nikiwa mdogo kaka zangu wakaniambia usiku nikila nikashiba ndio sababu toka kipindi hicho mpaka leo hii mimi usiku sili chakula kigumu kama ugali na sili sana ila ndoto hizo hazijakomaa,huenda ikawa nini suluhu kaka maana saa nyingine zinaniacha na stress au uchovu wa kutwa nzima!?
Kingine nikiota ndoto nikashtuka na kusikia adhana ya asubuhi lazima hilo litokee siku hiyo yaani kama mabadiliko machache ila theme uwa ile ile ,hii nayo ikoje kaka !?
Lastly maisha yangu ni kama ya marudio mpaka saa zingine yananikera yaani asilimia nyingi mambo yananikuta au nakuta na mazingira ambayo akili inaniambia hili lishanitokea ila sikumbuki wapi na lini,ina isaidia hata kwenye kuamua mambo yangu saa zingine ,je nina tatizo gani kaka!?
Ahsante sana
Mmh maranyingi ndoto kuna wakati zinakuja kinyume lakini hii ni shari fulani umeepushiwaMkuu.. nimeota nimeingia chooni nikakuta choo kimejaa had kinyesi kinatoka nje... nikatoka nikaenda choo cha upande mwingine wa nyumba, nikakuta hali ni hyo hyo, ghafla nikaamka. Je nin maana ya ndoto hii mkuu?
Utapata pesa mingi HV karbuni komaakutafutaMkuu.. nimeota nimeingia chooni nikakuta choo kimejaa had kinyesi kinatoka nje... nikatoka nikaenda choo cha upande mwingine wa nyumba, nikakuta hali ni hyo hyo, ghafla nikaamka. Je nin maana ya ndoto hii mkuu?
avatar na username mmh....[emoji779] [emoji781] [emoji779] [emoji781] [emoji779]Mimi nilikua nikilala mtu anakuja anataka anishike tumboni basi nikawa napiga kelele hadi nalia kabisa ila wakati nipo [HASHTAG]#Mjamizto[/HASHTAG]
Haikuwa ndoto bali michezo ya wangakuna siku nilitoka kwenye mtihani kwangu ulikuwa mzuri nkawa n furaha mno lakini usiku wa siku hyo nikaota paka anaingiza mkono wake kama wa binadam kichwani mwangu eneo la mbele la ubongo kwenye paji la uso. nilipiga kelele hadi nkaamka bado napiga kelele hadi kupelekea kuamsha watu wengine. hadi leo innitatiza sn