Hizi sio ndoto za kawaida

Hizi sio ndoto za kawaida

Acha mambo yako wewe. Unataka kila unachokiandika tukikubali tu hata kama si sshihi?. Sisi pia ni wataalam wa ndoto kushinda wewe.
Kuna mahali nimesema ukubali kila ninachoandika... Acha izo wewe... Jibu shimo linakuwaje nyumba kwenye ulimwengu wa roho achana na majigambo ya kujua sana.. Hapa ni hoja kwa hoja sio mipasho... Twende kwa hoja fafanua tetea maandiko yako
 
Nifafanue nini wakati nimeshafafanua ukanipinga? Hapa hamna mipasho bali ni hoja! Sasa wewe unayenibishia hebu niambie ni wapi umesomea elimu ya kutafsiri ndoto? Usilete porojo mtandaoni kwa vile hatukuoni. Wataalam tupo tunakuangaliaga tu unavyodanganya watu.
 
Natumia jina halisi, natumia avatar halisi elimu yangu ingia hapa a day in the Buddhist college
Nawe fanya kama mimi
 
Natumia jina halisi, natumia avatar halisi elimu yangu ingia hapa a day in the Buddhist college
Nawe fanya kama mimi
Sasa hiyo elimu ya chuo cha budha nawr ndio umeona ni elimu ya maana duniani kuliko zote? Mbona ni kijielimu cha kawaida sana.........'
 
Umeshindwa kutimiza wajibu wako kama mimi.. Hukupaswa kukosoa ulipaswa kuweka CV yako halafu wengine wahukumu..
Ngoja nikuulize swali. Hivi huko chuo cha mabudha mlifundishwa na kufanya practical ya namna ya kuroga yaani namna ya kuendesha uchawi? Ukijibu ndiyo basi tutaendelea na mjadala.....
 
View attachment 421080Ni usiku mwingine tena tunapojiandaa kupumzika vitandani mwetu ( hata kama ni ugenini gesti house au barabarani kuna dakika chache utalala kidogo na kuota)
Ndoto njozi na kuota ni hitaji la kawaida la mwanadamu, shida ipo ni je unaona ndoto za aina gani?

-unaota ndoto za kawaida kutokana na harakati za kawaida za kimaisha kutokana na fikra mawazo matendo na maono?

-Ama la unaota ndoto taarifa au ndoto ujumbe au ndoto maono? Ndoto zenye ujumbe maalum?

- Au je unaota zile ndoto zile ambazo si ndoto bali ni matendo ya giza? Ndoto za
Kuota umelazwa kwenye jeneza
Kuota unazama/unazamishwa baharini
Kuota unakula/unalishwa nyama

Kuota unang'atwa na mdudu na unapata maumivu mpaka asubuhi
Kuota unakimbizwa au kufukuzwa
Kuota umefungiwa kwenye kiota chupa nk
Ndoto zote hizi huwa live mpaka asubuhi au unapostuka na unakumbuka kila kitu saa nyingine hata uchovu maumivu na Ladha....!

Ndoto za namna hii si ndoto za kawaida na huambatana na mambo yako mengi kuharibika! Hizi ni ndoto za kufanyiwa mambo mabaya na watu wabaya
Ukiweza jitahidi kuchunguza ndoto zako leo na siku zijazo utagundua kitu View attachment 421088
Mimi huwa naota napokuwa katika hatr mfano vita,kupigana na maadui huwa napaaa angani nini manake mkuu
 
Mshana Jr na Wadau wengine, poleni kwa majukumu.

Nilikuwa na rafiki yangu mchana wa Leo tukipata lunch, katikati ya mazungumzo akaniambia jana aliota ndoto ya ajabu Sana. Aliota ya kuwa analishwa chakula, wakati chakula kinakaribia kuisha, mwishoni mwishoni anaona kinyesi kwenye chakula kile.

Akastuka kutoka ndotoni, tumbo likawa linamuuma ajabu, lakini Sasa limepoa. Nilikosa majibu, nikaona kwa vile humu Kuna watu mbali mbali na wataalamu wa masuala ya hapa na pale mnaweza kuwa na majibu ya ndoto hii!

Shukrani....
 
Amelishwa kweli na wanga je kala nyama!?
 
Back
Top Bottom