Hizi shule binafsi dawa yao ni moja tu kulipa madeni yao halafu kuhamisha mtoto kwenda shule ya umma hata kwa mwaka mmoja tu

wazazi mnalia nn lakin ukipiga hesabu watoto wenu hawajsoma miez 2 tu haya katen hela ya miez 2
 
Tatizo lenu wazazi mnaishi kwa kuridhisha jamii. Uwezo wako mtu ni mdogo; nyumba umepanga, ila unalazimisha kumpeleka mwanao shule za milioni na kuacha shule za bure, ili majirani wakuone unapenda wanao.

Kama kweli unampenda mwanao, tumia pesa yako vizuri maana elimu ya bure ipo na watu wanafaulu na kufikia malengo yao.

Ni bora umsomeshe mwanao shule ya bure na kumlipia tution kwa walimu wake ili wamsimamie vizuri. Hizo milioni unazomlipia Tusiime mjengee vyumba vya kupanga, nina imani mwanao akiwa mkubwa atakuja kukushukuru.

Kuliko kumlipia mamilioni huku hujamwachia asset yeyote.

Maana elimu ya Tanzania hailipi sana ukubwani kiasi cha kuiwekezea mamilioni. Huku wewe maisha unaunga unga
Hii point mwanawane
 
Ulitumwa upeleke, kwy shule za binafsi. Kuzaa ni asset au liability. Muwe mnazaaa watoto na mnawapa na bajeti, sio kulalamika kama ukizaa na kuilaumu dunia na wakati ni starehe zako
 
Mi nadhani ada inatakiwa ilipwe kama ilivyopangwa kwasababu zifuatazo:

-Wazazi tunasema tutalipaje ada kamili wakati muhula haujakamilika au wamesoma kidogo tu.

Sasa mzazi jiulize kwani unapolipa ada unalipia muhula kama muhula au unalipia mtoto apate elimu na huduma zote wezeshi, na swala la muhula nadhani limewekwa kwa makusudi mengi moja wapo ni unafuu wa kulipa ada kwa awamu.

Jiulize tena je mwanafunzi anaporudi shule atafundishwa yale yote aliyopaswa kufundishwa? Kama jibu lako ni ndio basi huduma imebaki vilevile kilichobadilika ni muda tu.

Lipeni ada masomo yapo palepale watasomeshwa kila kitu kama ni muda mnalipia na si elimu mna haki ya kugoma kulipa ila kama ni huduma ya elimu mnalipia basi mfanye hivyo bila hiyana.
 
Haujaelewa tatizo na hujaeleza Kwa kuelezea mambo ya msingi, umeeleza habari Kwa ujumla, Elimu kukamilika itakamilika tu maaana wewe ni mfanya biashara utatafuta namna Ya kuikamilisha ili uendelee kuwa kwenye biashara, pia serikali ilitoa muongozo kuwa kuna Siku ambazo kisheria zinatakiwa kufikiwa kwa wanafunzi kuwa darasani ili kukamilisha masomo, na wanadai Siku hizo zilikuwa zinafikiwa Kwa masaa tisa Kwa kila Siku ya masomo, hapa wamemaanisha kuwa kabla Ya hapo masomo yalikuwa yanakamilika Kwa masaa yanayoishia saa tisa jioni na ndio muda wa shule za umma zilikuwa zinakamilisha masomo, hivyo Kwa sasa Kama itaendelea hivyo masomo hayatakamilika hivyo wameongeza muda had saa 11 jioni ili kutimiza zile Siku kwa ajiri Ya kukamilisha masomo, sasa rudi Nyuma Faham kuwa shule za private zilikuwa zinaenda had saa 12 jioni Siku zote Kwa maanaa hiyo hiyo hakutakuwa na shida Ya kukamilisha sirabus ndio maaana private walikuwa wanakamilisha mwezi wa tisa sirabus zao
 
Sipendagi kabisa kubishana hoja na wanawake.. sababu najua mnatumia hisia kufanya decisions.. huku wanaume tunatumia akili.. ndio maana kwenye uzi wangu umechagua vya kujibu, huku point za muhimu kama tutions umeziruka.

Kama unaamini kumsomesha mtoto private kuanzia chekechea hadi high school ni urithi mkubwa kuliko kumnunulia assets kama viwana au kujenga nyumba nyingi. Endelea na kuamini hivyo hivyo, time will tell.

Ishi maisha kutokana na kipato chako, kama kinaruhusu kumsomesha IST somesha sio dhambi. Hata kina dewji walisomesha IST na vyuo Marekani, ila bado wakapewa urithi wa kampuni yenye mtaji wa mabilioni.

Ila sio huna kitu, mshahara laki 5. Unalazimisha kusomesha Tusiime, unakopa kila siku, stress za madeni , nyumba umepanga, unalazimisha kusomesha tusiime badala ya kuwekeza, mwanao atakuja kukulaumu siku moja.
Well narrated
 
Watoto wangu watasoma shule zinazoendana na kipato changu.

Uzwazwa wa kupeleka mtoto shule ambayo haiendani na mapato na matumizi yangu hautokaa utokee.
 
Hizo shule za bure zenyewe hazipokei hao wanaotokea private.

Tena na ufuatiliaji ulivyo mkubwa awamu hii,kazi unayo mzazi.

Andaa hongo ya maana Head teacher a-risk ajira yake!
 
Mmmmh tatizo watanzania mnalaza Sana ubongo wenu, tangu Mwaka Jana utaratibu ulishabadilika Mkuu, Siku hizi ukitaka kumtoa Mtoto private kumpeleka shule za umma hakuna wa kukuzuia unachukua tu na kupeleka, kuna ndugu zangu wengi wameishahamisha watoto wao toka private kwenda za bure Siku hizi unahamisha tu ndugu utaratibu ulishabadilika tangu Mwaka Jana January labda tu haujui
 
Kumbe! Ni kwa ngazi zote za elimu?(Primary/O&A- level)
 
Tatizo lenu wazazi mnaishi kwa kuridhisha jamii. Uwezo wako mtu ni mdogo; nyumba umepanga, ila unalazimisha kumpeleka mwanao shule za milioni na kuacha shule za bure, ili majirani wakuone unapenda wanao.

Kama kweli unampenda mwanao, tumia pesa yako vizuri maana elimu ya bure ipo na watu wanafaulu na kufikia malengo yao.

Ni bora umsomeshe mwanao shule ya bure na kumlipia tution kwa walimu wake ili wamsimamie vizuri. Hizo milioni unazomlipia Tusiime mjengee vyumba vya kupanga, nina imani mwanao akiwa mkubwa atakuja kukushukuru.

Kuliko kumlipia mamilioni huku hujamwachia asset yeyote.

Maana elimu ya Tanzania hailipi sana ukubwani kiasi cha kuiwekezea mamilioni. Huku wewe maisha unaunga unga
Asset ni elimu Wala sio nyumba za kupanga,hiyo nyumba ikibomoka inakuwaje?
 
Tatizo lenu wazazi mnaishi kwa kuridhisha jamii. Uwezo wako mtu ni mdogo; nyumba umepanga, ila unalazimisha kumpeleka mwanao shule za milioni na kuacha shule za bure, ili majirani wakuone unapenda wanao.

Kama kweli unampenda mwanao, tumia pesa yako vizuri maana elimu ya bure ipo na watu wanafaulu na kufikia malengo yao.

Ni bora umsomeshe mwanao shule ya bure na kumlipia tution kwa walimu wake ili wamsimamie vizuri. Hizo milioni unazomlipia Tusiime mjengee vyumba vya kupanga, nina imani mwanao akiwa mkubwa atakuja kukushukuru.

Kuliko kumlipia mamilioni huku hujamwachia asset yeyote.

Maana elimu ya Tanzania hailipi sana ukubwani kiasi cha kuiwekezea mamilioni. Huku wewe maisha unaunga unga
Kwamba ndio unatupa za uso au?
 
Tatizo kubwa siyo ada. Ni gharama za chakula na usafiri kubaki kama zilivyo licha ya kwamba siku za kusoma zimepungua. Naona serikali imeshatoa mwongozo wa gharama za chakula na usafiri. Tuishukuru kwa kuliona hilo!
 
Back
Top Bottom