Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
You are missing the point, haya sio mashindano. Mimi nimeuliza tu na pia sio kwamba ni muhimu sana hizo lift ziwepo. Kama hakuna jengo refu sana ni wazi hakuna haja ya kuwa na lift.
Kwa hiyo acha mashindano yasiyo na msingi kwa sababu hata nikikutajia haisaidii chochote wala kuwepo au kutokuwepo kwa hivyo vitu hakuniongezei wala kunipunguzia chochote ukizingatia sasa hivi wala siishi katika mkoa ninaotokea.
/ulikua mchepuko nini huko?ila ni kweli karibu na lolezasoko matola nakupata huko
karibu na loleza girls
Hivi kweli "jiji" la Mbeya halikuwa na lifti yeyote hadi 2014??!! Ujue mimi niliiona hii nikadhani jamaa wameamua kufanya komedi.
Nami pia Kiongozi,nilidhani ni utani wa aina yake.Hivi kweli "jiji" la Mbeya halikuwa na lifti yeyote hadi 2014??!! Ujue mimi niliiona hii nikadhani jamaa wameamua kufanya komedi.